mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtoto amekua, kawa pisi kali

    Naona binti huyu amekuwa sijui Rayvany mla watoto hajamuona. Hivi anafanya mishe gani huyu mtoto kwa sasa. Ni binti ambaye hana skendo za kipumbavu kama wenzake
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Mbeya Mjini atuhumiwa kumrubuni kimapenzi mwanafunzi wa miaka 15. Baba mtoto alalamika kunyimwa ushirikiano na uongozi mkoa Mbeya

    Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini. Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya. Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake. Chanzo: HAROUBTV.
  3. JamiiForums Tanzania Usitoe mimba, usitupe mtoto

    A short story 1: 2: 3: 4: 5: 6: 7:Just open the latch and drop your newborn 8: 9:Anawalea watoto kama wajwake vile 10: 11:Na anao watoto wa kila rangi😂😂 12: 13: 14: 15: 16: The story of a big man with a big heart
  4. JamiiForums Tanzania Ni umri gani hutakiwi kuvuka kabla ya kupata mtoto wa kwanza?

    Mtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila kitu kwa maisha yako ya hapo baadae. Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza kukupata umri unaopochelewa kupata mtoto. Hebu leo tujaribu kujuzana ni umri gani hautakiwi uwe umeuvuka...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Hii ni habari mbaya sana maana ni ngumu kuiamini. ---- Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Ilala linamshikilia Juma Shamata kwa kushindwa kuhifadhi eneo salama bastola yake, hali iliyosababisha mtoto wake wa miaka 17 kuitumia kwa kumpiga risasi mtoto mwenzie Ikhissan Abdilahi (10) na kumsababishia...
  6. JamiiForums Tanzania PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

    Wasaalam wakuu Hivi tunakwenda wapi na DUNIA yetu Mwaka uliopita kulizuka habari juu Paris Jackson, binti wa Fundi wa pop marehemu Michael Jackson, anahusika katika filmu mpya ambayo yeye atacheza kama ,Yesu Kristo kama mwanamke msagaji katika filamu hiyo mpya ya Habit Habit, pia itachezwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wale wa mkoa wa Mbeya: Mwili wa John mtoto wa Mama John umewasili Jioni hii Kyela kwaajili ya Mazishi siku ya kesho

    Je, unafahamu sehemu inayoitwa Mama John? Mwili wa John hatimaye umesafirishwa kuelekea Kijiji Cha Lugombo kata ya Mwaya wilaya ya kyela kwaajili ya Mazishi. Atazikwa karibu na mama yake mtu maarufu mama John. Historia imemaliza mwendo Apumzike salama KAMANDA. Walaaniwe walioudhulumu uhai...
  8. JamiiForums Tanzania Mimi nimechagua kuwa mtoto wa mama

    Kuwa mtoto wa mama kuna raha sana, Hivi unajua mama anavyodekeza eeh hasa kwa watoto wake sasa imagine unakuwa mtoto wa mama yaani ni full kudeka, ukiwa mtoto wa mama mtoto wa jirani akikufinya tu ukiita ma... hata ujamaliza kupiga kelele mama huyu hapa kashafika, Ukiwa mtoto wa mama hata...
  9. JamiiForums Tanzania Mkakati wa kurahishisha maisha ya watoto: Nawezaje kufanya mtoto apate uraia wa Zanzibar?

    Sote tunajua Mzanzibari ni mtu mwenye nafasi kubwa sana nchi nzima ya kupata ahueni ya maisha. Tukianza kazi Wazanzibari walioelimika hata kidogo tu wakija kuomba kazi bara huwa wanapewa kipaumbele kikubwa kwasababu ya kuwa Wazanzibar. Ukija hata jeshini huku wazanzibar huwa wanapewa upendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania My True Love Story: Dear Single Mother, huyo mtoto siyo wangu

    2018 Siku moja nilikua bored home, nikajiunga BADOO nikakutana nae. Tukawa friends then Fuc* mates. Maisha yakasonga, nilichompenda yeye alikua hapendi hela na ni mrembo kweliii. Kwenye hela na matumizi yake yaani unajiongeza wewe, unapiga show siku kadhaa unalipia siku kadhaa na outing na...
  11. JamiiForums Tanzania Hai: Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA aachiwa huru kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi baada ya DNA kuonesha Mtoto aliyezaliwa sio wake

    Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Marire. Akisoma hukumu hiyo Leo, Hakimu Mkazi wa Wilaya...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mkulima awamiminia risasi mke na mtoto wake, sababu zaelezwa

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alson Shangali (61) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kimashuku kata ya mnadani katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anatajwa kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi mke wake Magret Shangali (51) na mwanae Albert Shangali (28). Chanzo Bongo five
  13. JamiiForums Tanzania Kuzaa kila mtoto na baba yake ni kudhihirisha ukahaba

    Thamani ya ndoa itabaki palepale sababu ndoa ni mpango wa Mungu ndoa ni kielelezo cha utu na heshima ya mwanadamu ndoa ni kilele cha malengo na matarajio ya mwili wa mwanadamu.Ndoa ni jambo muhimu kwa maisha ya binadamu na kizazi chake. Moja ya dalili mbaya ya mmonyoko wa maadili na kukithiri...
  14. JamiiForums Tanzania Bima ya mtoto wa mtumishi wa umma itasaidia matibu ya Moyo Taasisi ya Jakaya Kikwete?

    Habari wana JF, na poleni kwa msiba pia. Mwanangu mwenye miezi 10 kaonekana ana shida ya moyo na madakitari wa BUGANDO wamesema suala lake lipo serious inabidi kupewa rufaa ya Taasisi ya Moyo ya JAKAYA. Hivi Bima ya mtoto itasaidia gharama zote za matibabu na Operation?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa kufanya Mapenzi katika kipindi cha ujauzito ina faida kwa Afya ya Mama, Baba na mtoto?

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu kufanya mapenzi au tendo la ndoa kama ni salama ama si salama katika kipindi cha ujauzito. Makala hii fupi imelenga kukufahamisha faida za kufanya mapenzi katika kipindi cha ujauzito Faida zake Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito kuna faida nyingi. Hizi...
  16. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia, mtu aliepata mtoto pasipo kuwahi kuishi kabisa

    Unaweza kufikiria ilikuwaje mtu ambae hajawahi kuishi kupata mtoto? Familia moja huko marekani ilipata mtoto na baba alipoamua kufanya kipimo cha DNA majibu yalimshangaza Hakuwa baba wa mtoto Familia iliamua kufanya kipimo maalumu cha 23andMe na matokeo yaliwashangaza zaidi Baba halali wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 13 amebuni huu mji wake. Hivi ni vipaji vya ubunifu vinatakiwa kuendelezwa

  18. JamiiForums Tanzania Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

    Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano. Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

    Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi. Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida kwa mzazi kumchukia mtoto wake, je nini chanzo?

    Ni kipi kinachosababisha wazazi kuwachukia watoto? Kuna jirani yangu ana mtoto mdogo, Kama mwaka mmoja na miezi michache, mtoto hupigwa, huteswa, husimangwa yaani ni mateso. Akiona mama yake anakuja huanza kulia kwa Hofu. Mtoto anakuwa na amani anapokuwa kwa watu baki lakini si kwa mama yake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…