Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Haya leo nirudi tena kwa ndugu zangu ambao wamehangaika kupata mtoto. Kwa wanawake huona kuwa mtoto huwa ni mokozi wa ndoa zao, inaweza kuwa kweli kwa kuwa mahusano mengi huvunjika kwa kukosa mtoto
Lakini zikumbukwe ndoa nyingi zimeingia matatizoni kwa kuwa na mtoto kwa kuwa mara nyingi...
Mzuka wanajamvi!
Ni hivi unamchukua waifu ama demu wako mnaenda mbali ama maporini huko uliposhaanda na kujenga nyumba. Una hakikisha umenunua msosi wa nguvu na mahitaji yote yatakayowatosheleza miezi miwili.
Pia huko mnapoenda unahakikisha kuna fensi na geti kali.
Kabla hamjaingia humo...
Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo.
Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
Habari wataalamu wa Masuala ya Afya.
Ulizo langu ni kuwa, Je inawezekana kumpima mtoto DNA siku moja baada ya kuzaliwa? Binafsi sio mtaalamu wa masuala ya Afya nimeona ni vyema kutafuta jawabu lenye uhakika wa kitaalamu zaidi.
Kama haiwezekani, basi ni muda upi unakuwa ni sahihi kiafya kumpima...
Vituko, huko New York, mwizi baada ya kuiba gari na kutokomea kusikojulikana, katika harakati za kukagua gari akakuta kuna mtoto ndani yake, ikabidi arudi hadi alipoiiba na kumkuta mama wa mtoto.
Baada ya kumkuta mama na mtoto akatishia kuita polisi kwa uzembe wa mama wa mtoto kuacha mtoto peke...
Kwa mujibu wa kifungu namba 4 (1) ya Sheria ya Mtoto inaeleza Mtoto ni mtu yeyote aliye chini ya miaka kumi na nane (18)
Lakini Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 katika kifungu cha 13 kinaruhusu Mtoto wa kike kuozwa akiwa na umri wa miaka 14.
Hivyo Sheria hizi mbili zinakinzana na kusababisha...
Takwimu zinaonesha kuwa kila mwaka watoto milioni 15 wanazaliwa njiti, yaani ujauzito ukiwa haujatimiza wiki 37 wakiwa na uzito mdogo
Jamii inapaswa kujua #WatotoNjiti wanauwezo wa kukua kama Watoto wengine hivyo imani potofu hazina budi kukoma
Watoto Njiti wanahitaji uangalizi maalumu kwani...
Wadau wa humu JF habari za harakati na mapigo ya ada za January hii
Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia umri fulani wa kujitambua mama yake afanye whatever possible kum-link na mie baba yake halisi.
Mtoto...
Umuhimu wa kunyonyesha kwa mama ni kama ifuatavyo:-
Mama anayenyonyesha huepukana na adha za uzazi na kurejea katika hali yake ya kawaida kwa haraka na kirahisi. Hii ni kutokana na Homoni za Oxytocin ambazo hutoka wakati wa kunyonyesha zinazosaidia kurudisha mji wa mimba katika hali yake ya...
Uvumililivu ulinishinda kiukweli.
Yani jamaa nilimkopa Novemba 28, kaja mikono nyuma kichwa chini na sauti ya kinyonge nikamkopa kiasi alichohitaji.
Baada ya kumaliza shida zake mshahara wake akapokea ila kimya, nilimwinda sana lakini nikimpigia hapokei, nikituma sms hajibu, whatsapp status...
WanaJF hebu tupeane uzoefu kwenye hili
Je, kuna uhusiano wowote wa kuchelewa kuolewa na kuanza kujitegemea kwa wadada kuna watu wanasema wadada wakianza kujitegemea wanakuwa wahuni kupelekea watu kutokuwachumbia na kuwaoa.
Watu wanasema wanawake wakiwa makwao wanaolewa haraka je ni kweli.
Wataalamu wa masuala ya uzazi naomba elimu na msaada hapa.
Watu husema mficha maradhi kifo humfichua.
Ukweli Ni kwamba, Sisi wa Afrika tunapenda Sana watoto, tena watoto wengi.
Tuna watoto wawili tunataka.
Mtoto wa tatu na wa nne imeshindikana tatizo Ni Nini? Ni la Nani? Tutafanyaje? Tiba Ni...
Wakuu natumai mu wazima.
Kama una girlfriend amekuzidi miaka 2 je ni umri gani sahihi wa kupata mtoto ikiwa mimi niko 20yrs na nina kazi yangu na gari.
Ushauri tafadhali
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Bado kuna watu wazima wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili.
Siku ya sherehe ya mwaka mpya nilikutana na...
Nakumbuka mimi nilipokuwa na umri 6-13 nilikuwa mkorofi natukana sana watu sichagui mkubwa au mdogo, nilikuwa na matusi hatari na kupenda kurushia watu mawe, pale mtaani wakawa wanamwita mama yangu 'mama mawe'. Hadi watu wazima wakawa waniogopa kwa matusi. Mtu akinichokoza mbona ataisoma namba...
MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda.
Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.