mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

    Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi. Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida kwa mzazi kumchukia mtoto wake, je nini chanzo?

    Ni kipi kinachosababisha wazazi kuwachukia watoto? Kuna jirani yangu ana mtoto mdogo, Kama mwaka mmoja na miezi michache, mtoto hupigwa, huteswa, husimangwa yaani ni mateso. Akiona mama yake anakuja huanza kulia kwa Hofu. Mtoto anakuwa na amani anapokuwa kwa watu baki lakini si kwa mama yake
  3. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Meghan, mke wa Prince Harry amefichua kuwa familia ya kifalme Uingereza iligoma kumkabidhi mwanaye haki za kuwa Mwanamfalme (Prince) kwa kile alichotaja kama hofu ya ngozi ya Kiafrika. “Nikiwa hata bado sijamzaa mwanangu, tayari walikuwa wameanza kusema kwamba itifaki (protocol) hazitaruhusu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto kucheka usingizini ina maana gani?

    Habarini! Nashuhudia hii tabia ya haka katoto kangu ka miezi mi5 ya kuchekacheka na kutabasamu kila anapokuwa amelala. Amekuwa na tabia tangu mapema sana, yaani tangu alipokuwa na mwezi mmoja. Ni mara chache ameonyesha hali ya kama kutaka kulia hivi. Wazazi wazoefu na wajuzi, hii ina maana gani?
  5. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amepoteza fomu ya usajili kidato cha nne private je hatua ni zipi?

    Wakuu, Mtoto wa kaka yangu amepoteza karatasi yake ya NECTA private yaani ile ambayo unapewa baada ya usajili halafu unaambiwa upige copy upeleke kituo unachofanyia mtihani na ni muhimu sana. Je tumsaidieje?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina mtoto analelewa na baba mwingine

    Habari wakuu, Leo ngoja niwashirikishe jambo hili lililonitokea miaka kadhaa nyuma. Mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha 6 nikiwa katika kipindi cha kusubiria kujiunga na chuo nilikutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano. Nakumbuka tulikutana kwa bahati tu kwa maana nakumbuka ilikua siku ya...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nimeona aibu kwa niaba ya master aliyepigwa na mtoto

    Wadau kuna ligi ya kick boxing inandelea Azam Sports, kwa sasa kila Alhamisi kuna mapambano. Alhamisi iliyopita kuna masta mmoja ambaye wanasema ni mkali wa Kung Fu, Shaolin na Gujuluu aliingia kupambana na kijana mdogo, master akagongwa knock out Ushauri kwa ma-masta wengine aisee watoto ni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa umri gani anapaswa kuvaa barakoa?

    Watoto wenye umri wa miaka 5 kushuka chini hawatakiwi kuvaa barakoa Hii ni kwa sababu ya usalama na uwezo wa mtoto kutumia barakoa ipasavyo bila msaada wa mtu mzima. WHO na UNICEF wanashauri kwamba uamuzi wa kutumia barakoa kwa watoto wenye umri wa miaka 6-11 unapaswa kuzingatia mambo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye maambukizi ya Korona hawezi kumuambukiza Mtoto kwa kumnyonyesha

    Tafiti zinaonesha kuwa virusi vya Korona haviambukizwi kupitia njia ya kunyonyesha Hivyo mama aliyethibitika au kuhisiwa kuwa na Virusi vya Korona anaweza kuendelea kunyonyesha mtoto wake isipokuwa atazingatia yafuatayo:- Kuosha mikono mara kwa mara na sabuni na maji tiririka au kwa kutumia...
  10. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Sodoma na Gomola ni cha mtoto kwa dunia ya leo

    Historia na maandiko yanasema kwamba Sodoma na Gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao, kinyaa kibao, ushenzi kibao... Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa Ila nionavyo mimi..kwa dunia hii ya leo.. Wale wa Sodoma wakasome... Kuna muvi moja ya xxx naiangalia hapa daaaah!!! Ni...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Tuwe waangalifu: Mtoto afariki kwa kumeza betri ya remote

    In late October, Texas mom Trista Hamsmith took her 17-month-old daughter, Reese, to visit a pediatrician after she noticed some irregularities with her breathing. While the doctor suspected a common case of croup, the situation was ultimately, far more serious. After returning home, assured by...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wenye nia ya kumsaidia mtoto Charles Mbena wakumbuke bado ni mtoto anahitaji malezi ya wazazi wake

    Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee. Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka huyu mtoto?

    Unamkumbuka huyu mtoto? Mwaka 2015 aliokotwa Abuja Nigeria akiwa na utapiamlo mkali. Wazazi wake walimtupa wakihisi wamezaa jini. Raia mmoja wa Norway Anja Ringgren Lovén alimuokota, akamuogesha na kumpeleka hospitali. Akapata matibabu kisha akarudi kuishi nae. Akamlisha vyakula vyenye...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Freddie Figgers ,mtaalamu wa teknolojia milionea aliyetupwa katika takataka akiwa mtoto mchanga

    Aliyetupwa katika dangulo la takataka sasa ni milionea - BBC News Swahili CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Freddie Figgers alikejeliwa kama mtoto "aliyenenepeana kwa kula " vyakula vyenye mafuta lakini aligeuka kuwa milionea mbunifu. Kwa mujibu wa orodha ya hivi karibuni ya watu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza tumboni!

    Habari wakuu Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Mtoto Charles Mathias arushwe Darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada

    Serikali mkoani Morogoro imeagiza mtoto Charles Mathias mwenye umri wa miaka 6 arushwe darasa kutoka Chekechea hadi darasa la kwanza baada ya kuonyesha kipaji kikubwa kwenye somo la Hisabati. Afisa tawala wa mkoa bwana Kobehelo amesema agizo hilo lianze kutekelezwa mara moja. Naye mbunge wa...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaitwa mtoto wa mama...

    Habari za majukumu members, ngoja nielekee moja kwa moja kwenye kisa husika. Nimepanga chumba hapa moro, vyumba viwili vinavyofuata baada ya chumba changu ni vya mshikaji wangu ambaye ni mtoto wa mwenye nyumba anaishi hapo kwao na mkewe pamoja na mtoto wake mmoja. Siku moja akaniambia twenzetu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumueleza Mtoto kuwa ni Muathitika wa Virusi vya UKIMWI

    Namna ya Kumueleza mtoto: Ni muhimu mzazi au mlezi kwa kushirikiana na mtoa huduma kuandaa mpango wa namna ya kumueleza mtoto hali yake ya maambukizi ya VVU, kabla ya mtoto huyo kupata habari hiyo kutoka vyanzo vingine. Kusikia habari kuhusu hali yake ya maambukizi toka kwa mtu mwingine...
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Muone mtoto wa ajabu anayejua hesabu

    Huyu dogo ni kiboko, inabidi apelekwe secondary kabisa.
  20. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka leo kuna mtu anaamini kuwa kila mtoto anakuja na bakuli yake?

    Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni. 1. Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani? 2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu? Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha...
Back
Top Bottom