Unawezaje kumfanya mtoto ajiamini (awe na confidence)?

Kitu cha kwanza kabisa, mfundishe kuweza kukuangalia machoni wakati mnaongea, asiangalie chini wala pembeni, akukodolee machoni kwa muda wote mkiongea na afanye hivyo na kila mtu, hiyo ni hatua ya kwanza akifaulu huo mtihani unaweza kusema 50 % ya kazi inakuwa imeisha, pili usimpige wala kumgombeza na usiruhusu mtu yoyote kumpiga au kumgombeza mtoto wako bali jaribu kumuelezea alichokosea, tatu kama ni mdogo anajifunza kuongea usiongee naye kitoto, bali wewe ongea naye kama unaongea na mtu mzima, kamwe usitamke maneno kitoto au usitumie lugha ya kitoto kama yeye bali wewe tamka kiutu uzima maneno yote pamoja na magumu, ...
 
Safi ww nimekuelewa mnooo
 
Watoto bwana,mwanangu ana miaka 3.5 huwa nikijaribu kumuongelesha kwa ukali au kumkalipia afanyi hicho kitu anachohitaji na wala haogopi ila ukiongea kwa upole anafanya na anakusikiliza.

Kiufupi naona kabisa nimejizaa maana nami nipo hivyo,uki ni command ndio umeharibu kabisa.
 
Mpe muda wa kucheza na wenzake. Na akikosea usimfokee kupita kiasi.
Asante sana wakuu nitafanyia kazi mawazo yenu. Maana nina mtoto wa kike ana miaka mitano anaelekea sita, niko karibu sana naye ila naona hana confidence yani ana element za kujishtukia hata akipita mbele ya watoto wenzake wakacheka anahisi wanamcheka yeye. Pia ni muoga sana wa kukokesea, yani anaona bora asijalibu kufanya jambo kuliko ajarbu akosee.
 
Safi ww nimekuelewa mnooo
Safi ww nimekuelewa mnooo
Kitu cha kwanza kabisa, mfundishe kuweza kukuangalia machoni wakati mnaongea, asiangalie chini wala pembeni, akukodolee machoni kwa muda wote mkiongea na afanye hivyo na kila mtu, hiyo ni hatua ya kwanza akifaulu huo mtihani unaweza kusema 50 % ya kazi inakuwa imeisha, pili usimpige wala kumgombeza na usiruhusu mtu yoyote kumpiga au kumgombeza mtoto wako bali jaribu kumuelezea alichokosea, tatu kama ni mdogo anajifunza kuongea usiongee naye kitoto, bali wewe ongea naye kama unaongea na mtu mzima, kamwe usitamke maneno kitoto au usitumie lugha ya kitoto kama yeye bali wewe tamka kiutu uzima maneno yote pamoja na magumu, ...
Usiwe mwepesi wa kumkalipia kalipia,

Akifanya kitu kizuri mpongeze,

Mpe kipaombele, mwonyeshe kuwa unamwamini
Asante sana wakuu nitafanyia kazi mawazo yenu. Maana nina mtoto wa kike ana miaka mitano anaelekea sita, niko karibu sana naye ila naona hana confidence yani ana element za kujishtukia hata akipita mbele ya watoto wenzake wakacheka anahisi wanamcheka yeye. Pia ni muoga sana wa kukokesea, yani anaona bora asijalibu kufanya jambo kuliko ajarbu akosee.
 
Asante sana wakuu nitafanyia kazi mawazo yenu. Maana nina mtoto wa kike ana miaka mitano anaelekea sita, niko karibu sana naye ila naona hana confidence yani ana element za kujishtukia hata akipita mbele ya watoto wenzake wakacheka anahisi wanamcheka yeye. Pia ni muoga sana wa kukokesea, yani anaona bora asijalibu kufanya jambo kuliko ajarbu akosee.
Hahah mwache akacheze na wenzie tu ila kwa mtoto wa kike it can be a bit hard. Maana wengine inakuwa ndio nature yao.

You can improve her experience hio shida ipo pia kwa mtoto wa dada yangu yani mpaka anachukia hio hali kwani mtoto anakuwa so emotional...hawezi kuji express herself hata kama kitu kinamkwaza.
 
Wakuu ambao ni walezi na mna uzoefu, hivi ni mbinu gani mtu unaweza kutumia kumjengea mtoto kujiamini mwenye umri wa miaka 5?
The best technique ni kumhandle kama mtu mzima. Usimfanye ajihisi kama mtoto.

That includes kutokumkalipia hovyo...hii itamfanya aone kila anachofanya sio sahihi mwisho anakuwa muoga wa kuthubutu na hata kujieleza.

Ili kumjaza mtoto confidence jifunze kuwa appreciating parent kwa mambo mazuri ambayo atakuwa anafanya. Mpongeze na mpe zawadi. Make her feel appreciated na mchango wake ni mkubwa. Taratibu ataipaisha thamani yake. Pia jitahidi kumfanya ajione the best kid out of the crowd at most of the times.

Anapizingua basi mwite kwa upile mkanye na umwambie facts kwanini asifanye anachofanya. Usimfokee ongea nae kama mtu mzima.
 
Hahah mwache akacheze na wenzie tu ila kwa mtoto wa kike it can be a bit hard. Maana wengine inakuwa ndio nature yao.

You can improve her experience hio shida ipo pia kwa mtoto wa dada yangu yani mpaka anachukia hio hali kwani mtoto anakuwa so emotional...hawezi kuji express herself hata kama kitu kinamkwaza.
Kwa anaowafahamu anacheza anapiga kelele mpaka basi. Hata huyo ni so emotion yani kudondosha chozi bila kutoa sauti kwake ni rahisi.
Yani leo kanishangaza, shuleni wana uniform tatu tofauti, sasa akaniambie zile mbili hazipendi anapenda moja ni jezi kwa ajili ya michezo. Nikamuuliza kwanini, akasema eti pale school bus inapomshushia kuna watoto wanamcheka akivaa hizo unifoorm nyingine. Nikamuuliza ulisikia wanakucheka kabisa wewe, aksema mimi niliskia wanacheka tu. Yani ananikera anajshtukia sana. Hata mimi kuna muda anaweza niuliza mbona unanitazama nimefanya nini? Hiyo hali inanikera maana dunia ya leo bila kujiamini utakuwa mzee wa back bencher
 
Hata mkiwa nyumbani kila jioni mnasoma au mnasikiliza story halafu mnakaa kama family mnadiscuss kwa zamu
 
Kwa anaowafahamu anacheza anapiga kelele mpaka basi. Hata huyo ni so emotion yani kudondosha chozi bila kutoa sauti kwake ni rahisi.
Yani leo kanishangaza, shuleni wana uniform tatu tofauti, sasa akaniambie zile mbili hazipendi anapenda moja ni jezi kwa ajili ya michezo. Nikamuuliza kwanini, akasema eti pale school bus inapomshushia kuna watoto wanamcheka akivaa hizo unifoorm nyingine. Nikamuuliza ulisikia wanakucheka kabisa wewe, aksema mimi niliskia wanacheka tu. Yani ananikera anajshtukia sana. Hata mimi kuna muda anaweza niuliza mbona unanitazama nimefanya nini? Hiyo hali inanikera maana dunia ya leo bila kujiamini utakuwa mzee wa back bencher
Dah hapo kazi ipo...ila mzoeshe tu kuwa rigid usimdekeze sana na mwambie she has to stand for herself. Otherwise atakuja kuwa anategemea akili na opinion za watu kufanya vitu. Hio shida pia nilimkuta nayo gf wangu ila nilimbadilisha now she is atleast better. Tuna sail on the same level of vibrance. Alikuwa hajiamini kabisa yani kila kitu unachomueleza anakuwa kama mjumbe ndio! Au dada yake atamfikiriaje.
 
kuna mstari mwembamba sana kati ya mtoto kujiamini na kuwa mjeuri.

Mungu akutie nguvu.
mfano A.

baba,kwanini hujaenda shule leo??
junior,baba mimi naumwa hata mama nimemwambia kaniambia nimsubiri twende hispital.

mfano B

baba,kwanini hujaenda shule leo??
junior,baba mimi naumwa hata mama nimemwambia kasema eti nimsubiri twende hospital.
 
Dah hapo kazi ipo...ila mzoeshe tu kuwa rigid usimdekeze sana na mwambie she has to stand for herself. Otherwise atakuja kuwa anategemea akili na opinion za watu kufanya vitu. Hio shida pia nilimkuta nayo gf wangu ila nilimbadilisha now she is atleast better. Tuna sail on the same level of vibrance. Alikuwa hajiamini kabisa yani kila kitu unachomueleza anakuwa kama mjumbe ndio! Au dada yake atamfikiriaje.
Unajua mkuu mwaka na miez kadhaa nyuma nilipoanza ishi naye, nilikuwa mkali sana kwake nikawa namchapa sana nilikuwa naona anazingua plus nilikuwa na mastress yangu basi alikula kichapo sana. Akawa hawezi kaa na mimi nikikaa sebuleni anahamia chumbani nikimfuata chumbani anarudi sebuleni.
Later on nikaja realize nakosea na ni kitu kinaniuma hadi leo kila nikifkiria. Si kwamba namdekeza, hata sasa nikikasrika anajua kuwa anaweza shushiwa kipigo ila nimepunguza kummpiga hata akikosea na prefer kuongea naye kuliko kumpga au kumpa adhabu asifanye vitu anavyopenda. Actually mimi na yeye ni marafiki, vitu vingi anavyofanya uwa kwa namna moja ama nyngine nashiriki kumweka karibu nami. Sema hilo la confidence ni zero. Shule anafanya vizuri ila kujshtukia yani ni kama mwizi.
 
mimi binafsi nimelelewa na shemeji yangu mume wa dada binamu.

kipindi nikiwa naanza shule 7yrs nilikuwa mtundu sana shule,naishi kwake ila kila akija darasani mimi ndio nahamasisha wenzangu kucheza darasani,napigwa sana mixer adhabu za kichura nk.halafu nikiharibu matokeo ananisimanga sana,mpaka nakosa amani.

nilipofika darasa la nne,akawa hanipigi,nikikutwa nacheza ananiita mbele ya darasa ananisema naenda kukaa,nikidrop max ananitia moyo.darasa la 5 nikabadirika kabisaaa
nikawa sichezi tena class na sijawahi kupata max za kuhuzunisha mpaka namaliza shule.
 
Duh basi huenda na yeye labda atapata confidence jinsi anavyoendelea kukua.
 
Kumjengea mtoto kujiamini si kitu kigumu bali kinaanzia pale tangu mtoto akiwa mdogo, kwa kutopenda kumkaripia mtoto mara kwa mara au kila kosa kutaka kumchapa, maana kufanya hivyo ndio kunamuondolea mtoto kujiamini.
 
Back
Top Bottom