mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupewa uchungu ili mtu ajifungue mtoto

    Wakuu habari Ndugu yangu anasumbuliwa sana na kuumwa tumbo tangu alipopata ujauzito. Kwa Sasa ujauzito ni wa miezi tisa nadhani na siku kadhaa. Je anaweza kwenda hospitalini akapewa dawa au sindano apate uchungu wa kujifungua, ili ajifungue mtoto ili apumzike na maumivu Naomba kuwasilisha
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watz mkimzingua Zuchu na hizo kauli zenu za "Nipe mkono kama unabisha" tutaonana wabaya, huyu mtoto anapendwa sana +254

    Hili toto la Kizanzibari limefunika mbaya mno Kenya, kwa umaarufu huu msije mkamfanyia maushirikina kama Harmonize na kauli zenu za "Hauniwezi Kiserikali, Kipesa, Kishirikina na kama unabisha nipe mkono"
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

    Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini? Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako akikuuliza swali ili utamjibu nini...

    Mwanangu Wa darasa la 3 kaniuliza swali ili .... Baba, sisi ni watanzania na tumepata uhuru , mbona shuleni tunakatazwa kuongea kiswahili na tunalazimishwa kuongea English tena wameweka na bango NO ENGLISH NO SERVICE...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza fedha nyingi kwa mtoto wako hasa kwenye elimu na malezi; Je, huwa ni uwekezaji au ni wajibu?

    Kumekuwa na hali ya wazazi kutumia fedha nyingi kwa watoto wao ili waweze kupata elimu bora au malezi bora. Wapo wazazi wengine wapo tayari walale njaa, ili watoto wao waweze kwenda kusoma shule ya chekechea ya milioni 5 kwa mwaka. Sasa najiuliza, kutumia fedha nyingi kwa mazingira hayo, je...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba amshtaki Mtoto wake akitaka akatwe 20% ya mshahara na apewe yeye ili kutunza familia

    Mzee Gideon Kisira Cherowo (73) Mkazi wa Birunda nchini Kenya amemfungulia kesi Mtoto wake aitwaye Washington Chepkombe akitaka akatwe asilimia 20 ya mshahara wake ili apewe Mzee huyo kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Familia kwakuwa Mtoto wake huyo hampi msaada licha ya kuwa na kazi nzuri na...
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

    Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake. Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na...
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuunguza mtoto sehemu za siri kwa moto wa sigara

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito. Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia...
  10. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na kuchepuka mama yake?

    Wana jamvi nadhani mtanichoka ila muendelezo wa maswali nayouliza yanamaana kwangu. Nadhani jinsi nitavyojibiwa na wataalamu mbalimbali humu hivi kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na Mwanamke kuchepuka?
  11. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  12. mama D

    JamiiForums Tanzania Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  13. Uchumi wa Mifugo

    JamiiForums Tanzania Kitabu-Malezi bora ya mtoto wa kiume

    Watoto wa kiume wanapitia changamoto nyingi sana ,kama matumizi ya madawa ya kulevya,udhalilishaji wa kijinsia, uchaguzi wa marafiki wabaya, makundi maovu na nyingine nyingi. Kitabu ni ebook bei 4000. Simu na whatsapp 0756625286.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwachisha mtoto kunyonya kidole?

    Ni katoto ka mwaka mmoja na miezi kama mitatu hivi. Kakiwa na usingizi tu basi ni lazima kanyonye kidole chake ndo kanalala vizuri, ukijaribu kukatoa tu anaamka na ugomvi (kilio) unakuwa mkubwa. Hadi awe amelala sana (fofofo) ndo unaweza ukamtoa. Hii tabia imekuwa sugu hadi ukucha wa kidoleni...
  15. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inafaa kufanywa na mtoto mdogo?

    Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu. Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo. Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili. Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbinu za malezi ziendane na hatua za ukuaji wa Mtoto

    Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika namna ya saikolojia ya mtoto huwa na kawaida ya kuuliza kwanini, “kwanini nioshe vyombo mimi na sio...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Novemba 17, 2021: Maadhimisho ya Siku ya Mtoto Njiti Duniani

    Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa ulimwenguni kote kwa lengo la kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo. Kuzaliwa kabla ya wakati ni pale Mtoto anapozaliwa kabla ya wiki ya 37 ya Ujauzito. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) takriban...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke ana lipi la kumfunza mtoto wa kiume linapokuja suala la urijali?

    Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu urijali wa mwanaume. Ili kumlea mtoto wa kiume awe rijali ni lazima kwa kiasi fulani kuwe na mlezi...
  19. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mwanaume na Mwanamke, ni yupi kama mtoto?

    Katika semina wanazopeana wanawake huwa na msemo huu, ya kuwa mwanaume ni kama mtoto wakiwa na maana ya kwamba ili umuweze mwanaume inakubidi uishi naye kama unaishi na mtoto yani mambo ya kubembeleza n.k Lakini si kwa wanawake tu hata sisi wanaume tunapokutana kupeana semina huwa tunaambiwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo? If so,poleni familia
Back
Top Bottom