mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

    Hapo patatosha kweli? - Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi - Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe? - Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto mchanga wa Marehemu Mbunge Irene Ndyamkama afariki dunia

    Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022. Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
  4. Poker

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Michezo ya utotoni, ni hatari katika ukuaji wa mtoto.

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo, shule ya msingi nilikwenda kumtembelea ndugu yangu mmoja, alikuwa anafanya kazi kijiji kimoja huko kanda ya ziwa, miaka hiyo. Baada ya kufika kule kijijini, nikakutana na marafiki wa rika langu; wakawa wananitembeza mtaa kwa mtaa, ili niweze kufahamu mazingira ya...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mama mzazi amzika mwanaye usiku wa manane baada ya mtoto kufa kwa njaa

    Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru Mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha mama yake mzazi kumzika kimyakimya usiku wa manane. Mtoto huyo anadaiwa kuzikwa na mama yake mzazi aitwaye Rebecca Siowi (30) usiku wa kuamkia Aprili 22, 2022...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya Viboko: Upi ni umri sahihi, sehemu sahihi na kwa makosa yapi?

    Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi? Ni umri upi wa kuacha kumtandika? Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza? Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi? Idadi ya viboko? Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukilazimisha kuachana na ukang'ang'ania watoto kaa ukijua sitakuhudumia wewe na huyo mtoto

    Kwema Wakuu! Nisikilize mke wangu, nisikilize vizuri Kabisa, sipo hapa kumwakilisha yeyote Yule isipokuwa Nafsi yangu na Yule aliyenipa Nafsi hii. Usiniangalie Kwa macho yako mabaya Kama ya Kondoo, Kama ukijua ukilazimisha kuniacha na kuwachukua watoto kimabavu kaa ukijua kabisa Kwanza...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo atangaza kufiwa na mtoto wa kiume

    Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume bila kufafanua ni yupi amefariki licha ya juhudi kubwa za madaktari katika kuokoa uhai wake...
  10. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siri gani kati ya mtoto wa pili kuzaliwa na kufanikiwa kimaisha?

    Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine? Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa...
  11. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bora wa shule ya kumpeleka mtoto wako

    Habari wakuu. Leo ningependa tushirikishane jambo moja muhimu hususani kwa wazazi na walezi hasa wanapofanya maamuzi juu ya uchaguzi wa shule ya kumpeleka mwanafunzi au mtoto kwajili ya kupata elimu na maendeleo ya elimu kwa ujumla wa mwanafunzi. Awali ya yote ni kiri au ku declare interest...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

    Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000. Baba yake Nichola ni millionaire huko Marekani.
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania DAR: Amuua mtoto wa mdogo wake kwa kipigo, aufunga mwili kwenye ndoo kisha kuutupa Ubungo

    Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wa Mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili (2) na miezi minne. Mtuhumiwa huyo LATIFA BAKARI (33), mkazi wa Mabibo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake kwa lengo la malezi na Tarehe 05/04/2022...
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume

    Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usimnyang'anye mwanamke mtoto

    USIMNYANG'ANYE MWANAMKE MTOTO! Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Hapa Duniani kitu cha thamani kuliko vyote Kwa mwanamke ni mtoto wake. Hata hivyo watoto ndio huweza kuonyesha waziwazi Mchango wa mwanamke ndani ya jamii. Huko kwingine inaweza isiwe sana lakini linapokuja suala la watoto na...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mbaroni kwa tuhuma kumnajisi mtoto wake wa kambo

    Mkazi wa Ndala Manispaa ya Shinyanga (26) (jina limehifadhiwa), anashikiliwa naJeshi la Polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wake wa kambo mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11. Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Shinyanga, George Kyando akitoa taarifa kwa vyombo vya habari...
  17. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unawezaje kuishi kwa amani ukijua kuna mtoto umemtelekeza sehemu?

    Imagine mwanaume upo bar unakula bata kama kawaida na kuwalipia marafiki waliokuzunguka pia, lakini kuna sehemu umetelekeza Mtoto damu yako kabisa na hujui anakula nini, anavaa nini anaishije? Kweli kabisa unaweza kwenda kitandani ukalala usingizi kabisa na huku umetelekeza damu yako? Mwanaume...
  18. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

    Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu." Haipendezi bint wako wa...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

    Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!. Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
  20. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu za kumrekebisha mtoto mkorofi

    Na Jerome Mmassy, Arusha Moja ya changamoto jamii inayokumbana nayo nyakati hizi katika malezi na makuzi ya watoto ni watoto kuwa wakorofi na wasiotii kile wanachoambiwa.Na pengine wazazi ama walezi wamekuwa wakitamani sana watoto wao wawe kama wao walivyokuwa miaka ya 1970/1980. Ni vyema...
Back
Top Bottom