Mama atupa mtoto wa siku 3 chooni na kutoweka

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Mtoto mwenye umri wa siku tatu, jinsia ya kike amekutwa amefariki dunia baada ya kutupwa ndani ya shimo la choo na mwanamke ambaye bado hajafahamika huku Jeshi la Polisi mkoani Mbeya likiendelea na msako mkali kumkamata mwanamke aliyefanya unyama huo.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, amesema kuwa tukio hilo limetokea jana Oktoba 20, 2021, wilayani Rungwe na jeshi hilo limelaani mauaji ya mtoto huyo asiyekuwa na hatia.

EATV
 
Angenipa Mimi huyo mtoto
Yupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.

ana mtoto wa miezi mitatu (wa kike) ametelekezwa kiaina na mume wake (mwanaume ana wake wawili).

Naona huyu mama yuko kwenye risk ya kutupa huyu mtoto maana ana siku 5 bila kupewa pesa za matumizi na mume wake.

Nimefahamiana nae siku 3 zilizopita, nimempa kiasi kidogo cha fedha aendelee kujikimu lakini aendako ni kubaya sana maana niliwasiliana na mume wake (jamaa ni dereva wa kampuni flani hapa Mwanza), jamaa akawa anakata simu tu hataki kuongea.

nikapiga tena kwa namba nyingine, aliposikia sauti ya mke, akakata!!

Huyu mama (actually ni binti wa 25-28yrs) ni mkazi wa geita, nilimshauri aongee na wazazi wake, lakini huko nako ni kuchungu sana maana baba analalamika sana kwamba mwanae alilazimisha ndoa (hawakuibariki) kwa hiyo acha ateseke.

The story is long, lakini hata jana angelala njaa huyu mama na mwanae.

Huruma yangu ni kwa mtoto, anaweza kutupwa
 
Msaidie tu bro ! Mungu atakuongezea unapotoa
 
Jaribu kumfariji fariji na kumpa vimisada vidogo vidogo angalau kumpunguzia maumivu na kuokoa hicho kiumbe.

Jipe muda wa kuongea na wazazi wake juu ya kiumbe kuteseka na mtoto wao kuteseka, wazee wanaweza kuelewa na kumsitiri binti wao. Jipe muda pia kumpigia huyo mme wake na kumuelewesha anaweza kuelewa na kuwa muungwana akatake care ya mtoto pia.
 
Kuliko kutupa mtoto ambaye umeshamzaa, si ni bora ungetoa tu hiyo Mimba ikiwa changa ukaendelea na maisha yako.

Kama hutaki kuzaa siungetumia tu P2 aka antpregnancy ili usipate hizo mimba.

Kama hutaki kuzaa siuende tu ukafunge kizazi kwa muda mpaka utakapohitaji.

Kama hutaki kuzaa siutumie tu kalenda ujue siku zako za hatari vizuri ili ujikinge.

Kama hutaki kuzaa huyo mpenzi wako simtumie tu Kondom au awe anamwga nje siku za hatari.

Elimu itolewe sana kwa mabinti juu ya kujikinga na mimba ili wazijue options za kutopata mimba kuepukana na haya mambo ya kutupa watoto nk. Taifa lina kiasi kikubwa cha watu primitive wasioelewa mambo mengi duniani hivyo elimu inapaswa kutolewa sana kuokoa hawa watu.
 
Jaribu kumfariji fariji na kumpa vimisada vidogo vidogo angalau kumpunguzia maumivu na kuokoa hicho kiumbe.

Jipe muda wa kuongea na wazazi wake juu ya kiumbe kuteseka na mtoto wao kuteseka, wazee wanaweza kuelewa na kumsitiri binti wao. Jipe muda pia kumpigia huyo mme wake na kumuelewesha anaweza kuelewa na kuwa muungwana akatake care ya mtoto pia.
I did my best for two days. Lakini nimeona ninakoelekea naweza nunua matatizo.

nimewasiliana na baba yake (ex captain wa JWTZ), mzee ana masheria kibao hataki hata kumsikia mwanae.

nilimuomba basi amtumie nauli ili angalau mtoto akalelewe na bibi yake, akawa kidogo ameelewa lakini baadae amekata mawasiliano

mkuu huyu mama ananiangalia tu mimi kwa sasa, naogopa nisije nikaingia kwenye matatizo maana mumewe yuko hapo tu karibu. Huyu mama anasema walishapelekana mpaka dawati la jinsia lakini jamaa anakaza.

mtoto wao wa kwanza ana miaka 7 lakini yuko tu nyumbani hajaanza shule

kama wazazi ndio hao wamemzira mtoto wao kisa kaolewa kama mke wa pili, sasa mimi mtu baki naweza nunua kesi
 
Mungu azidi kukubariki mno
 
Bila shaka Baba yake yuko na mama yake..kwa maana yake mzazi na huyo binti...

Kama iko hivyo jipige umpe nauli aende mpaka huko then wakamfukuze, damu ni nzito wakimuona wanaweza kupata huruma hasa mama....Huyo mwanamme mwenzetu naye PUMBAVU unawezaje kutelekeza mtoto wa 7yrs....? basi chukua watoto wako muache dada wa watu aende zake....Hao watu wa dawati nao watoe amri huyo jamaa akamatwe wawe wakali kidogo...au waitwe ndugu zake wachukue jukumu la watoto..Pumbavu kabisa...
 
Anao wawili kwa huyo dada.
mmoja wa 7yrs, hajaanza shule mpaka sasa.

na mwingine ndio wa huruma zaidi maana ni mchanga wa miezi mitatu.
 
Yupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.

ana mtoto wa miezi mitatu (wa kike) ametelekezwa kiaina na mume wake (mwanaume ana wake wawili).

Naona huyu mama yuko kwenye risk ya kutupa huyu mtoto maana ana siku 5 bila kupewa pesa za matumizi na mume wake.

Nimefahamiana nae siku 3 zilizopita, nimempa kiasi kidogo cha fedha aendelee kujikimu lakini aendako ni kubaya sana maana niliwasiliana na mume wake (jamaa ni dereva wa kampuni flani hapa Mwanza), jamaa akawa anakata simu tu hataki kuongea.

nikapiga tena kwa namba nyingine, aliposikia sauti ya mke, akakata!!

Huyu mama (actually ni binti wa 25-28yrs) ni mkazi wa geita, nilimshauri aongee na wazazi wake, lakini huko nako ni kuchungu sana maana baba analalamika sana kwamba mwanae alilazimisha ndoa (hawakuibariki) kwa hiyo acha ateseke.

The story is long, lakini hata jana angelala njaa huyu mama na mwanae.

Huruma yangu ni kwa mtoto, anaweza kutupwa
Msaidie mpeleke dawati la jinsia.
Au kachukue polisi wakamkate wamuweke ndani
 
Msaidie tu bro ! Mungu atakuongezea unapotoa
Inshaallah!

Hofu yangu ni kwamba wazazi wamekuwa kama wamemtelekeza mtoto wao, niliongea na baba mtu nae kanirushia kitu kizito kichwani, anasema kama naona vipi nikae nae... Bullshit!

Picha zake na mwanae ikiwezekana na namba nitaziweka muda si mrefu kama akiridhia
 
Dah,huyo jamaaa amezingua sana.,sasa si bora ahudumie hata watoto tu.
 
Inshaallah!

Hofu yangu ni kwamba wazazi wamekuwa kama wamemtelekeza mtoto wao, niliongea na baba mtu nae kanirushia kitu kizito kichwani, anasema kama naona vipi nikae nae... Bullshit!

Picha zake na mwanae ikiwezekana na namba nitaziweka muda si mrefu kama akiridhia
Fanya hivyo mkuu ni heri kuliko kuchangia mbio za mwenge.
 
Inshaallah!

Hofu yangu ni kwamba wazazi wamekuwa kama wamemtelekeza mtoto wao, niliongea na baba mtu nae kanirushia kitu kizito kichwani, anasema kama naona vipi nikae nae... Bullshit!

Picha zake na mwanae ikiwezekana na namba nitaziweka muda si mrefu kama akiridhia
Muweke hapa tena ziende viral mtandaoni ili waziri wa ishu za jinsia na watoto aone. Mbona wanaume wengine wanakuwa machiziii
Unapenda kutoooo halafu ukiulizwa matumizi ya matokeo ya mkojo wako unakimbia...
Asee mwanaume asije kukosea njia ustawi nitakuwa mimi, mahakama nitakuwa mimi na polisi dawati nitakuwa mimi. Nikimshindwa basi hata hizo idara husika hazitamuweza.
 
Yupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.

ana mtoto wa miezi mitatu (wa kike) ametelekezwa kiaina na mume wake (mwanaume ana wake wawili).

Naona huyu mama yuko kwenye risk ya kutupa huyu mtoto maana ana siku 5 bila kupewa pesa za matumizi na mume wake.

Nimefahamiana nae siku 3 zilizopita, nimempa kiasi kidogo cha fedha aendelee kujikimu lakini aendako ni kubaya sana maana niliwasiliana na mume wake (jamaa ni dereva wa kampuni flani hapa Mwanza), jamaa akawa anakata simu tu hataki kuongea.

nikapiga tena kwa namba nyingine, aliposikia sauti ya mke, akakata!!

Huyu mama (actually ni binti wa 25-28yrs) ni mkazi wa geita, nilimshauri aongee na wazazi wake, lakini huko nako ni kuchungu sana maana baba analalamika sana kwamba mwanae alilazimisha ndoa (hawakuibariki) kwa hiyo acha ateseke.

The story is long, lakini hata jana angelala njaa huyu mama na mwanae.

Huruma yangu ni kwa mtoto, anaweza kutupwa

Msaidie huyo mama mkuu ikiwezekana mkutanishe na taasisi zinazoweza kumpa msaada,anaweza kuchukua maamuzi mkubwa zaidi hata kujitoa uhai
 
Yupo mama mwingine ni mzazi wa miezi mitatu hapa mtaani kwangu, mkoani mwanza.

ana mtoto wa miezi mitatu (wa kike) ametelekezwa kiaina na mume wake (mwanaume ana wake wawili).

Naona huyu mama yuko kwenye risk ya kutupa huyu mtoto maana ana siku 5 bila kupewa pesa za matumizi na mume wake.

Nimefahamiana nae siku 3 zilizopita, nimempa kiasi kidogo cha fedha aendelee kujikimu lakini aendako ni kubaya sana maana niliwasiliana na mume wake (jamaa ni dereva wa kampuni flani hapa Mwanza), jamaa akawa anakata simu tu hataki kuongea.

nikapiga tena kwa namba nyingine, aliposikia sauti ya mke, akakata!!

Huyu mama (actually ni binti wa 25-28yrs) ni mkazi wa geita, nilimshauri aongee na wazazi wake, lakini huko nako ni kuchungu sana maana baba analalamika sana kwamba mwanae alilazimisha ndoa (hawakuibariki) kwa hiyo acha ateseke.

The story is long, lakini hata jana angelala njaa huyu mama na mwanae.

Huruma yangu ni kwa mtoto, anaweza kutupwa

Huyo mama amesoma mpaka level gani Mkuu, kama akipata ajira itamsaidia
 
Back
Top Bottom