mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Malezk: usimuwekee dhamana mtoto wako

    Baadhi ya wazazi out of love or foolishness wanamuamini mtoto undoubtably wakimchukulia kama malaika mtoto hadi kufikia hatua ya kutokuamini baadhi ya makosa yanayoripotiwa juu ya mtoto au hatua ya kutofikiri kwambaa huenda mtoto ana abc ambazo si njema. Kuna muda yule mtoto anaeonekana ni...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utaratibu wa kufanya vipimo vya DNA kutambua kama mtoto ni wako au la!

    Suala la kupima vinasaba kwa baadhi ya wazazi limekuwa la kawaida katika Dunia ya sasa, zamani ilikuwa ikitumika mara nyingi kama kuna majanga au watu waliopoteana muda mrefu lakini siku hivi mambo yamebadilika, uaminifu umekuwa mdogo ndio maana matumizi ya DNA yamekuwa mengi. Wakili Bashir...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sitelekezi mtoto niliyezaa nje ya ndoa

    Watoto ni baraka ndani ya familia; wengi wanatafuta watoto na wengine hukosa kabisa kupata watoto, na hatimaye kukimbilia kulea watoto wa ndugu au wa jamii nyingine. Watoto wakiwa wadogo huwa ni changamoto hasa kwa kuhitaji malezi bora, huduma muhimu, ambazo zitahitajika huduma za kifedha...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

    Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori. Katika stori zao wakaanza kumsema mke wa jamaa kuwa huyu mtoto baba yake ni nani? Mbona hawajafanana hata ukucha...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

    Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana. Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutolelewa Na Baba na Mama humfanya mtoto asiwe na Upendo, hii ni sababu upendo wa ndani ya jamii Zama hizi kupungua

    Kwema Wakuu! Ni ngumu Sana kukuta upendo Kwa watoto ambao hawajalelewa na Baba na Mama, hiyo ndio sababu siku hizi kwenye jamii upendo wa wengi umepoa. Mtoto asipolelewa na wazazi wawili, Baba na Mama yake hisia na vyanzo vya upendo hufa POLEPOLE Kwa uhakika. Kuachana Kwa wenza, Baba na Mama...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wazazi wadai fidia ya Tsh bilioni 1.5 kwa mtoto wao kama asipoleta mjukuu

    Familia moja ya wazazi Nchini India imefungua kesi kwa mtoto wao wa kiume na mkwe wao wakitaka waletewe mjukuu ndani ya mwaka mmoja au walipwe Rupia milioni 50 (Rupia milioni 25 kutoka kwa kila mmoja) sawa na Tsh bilioni 1.5. “Mwanangu amekuwa kwenye ndoa kwa miaka sita lakini bado hawajapata...
  8. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Shingo ya mtoto kulegea

    Habari wanajukwaa? Mtoto wangu ana miezi mitatu na siku kadhaa, shingo yake bado haijakaza, ukimkalisha anainamisha shingo kwa mbele, yaani anaangalia chini. Hii hali inanitia wasiwasi, naombeni ushauri nifanye nini ili shingo ya mwanangu ikaze. Nimeoa, na ninaishi na mama wa mtoto.
  9. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Jichunguze hapa kama wewe au mtoto wako mnatatizo la Dyslexia

    y’all..... Kutokana na uelewa na muamko hafifu wa elimu ya malezi ya watoto from prenatal to postnatal (Psychology) kuna mambo hua yanawakumba watoto na wazazi bila kuelewa wanachukulia ni swala la kawaida mtoto kua hivo. Wengine wanaweza ihusisha hali Fulani aliyonayo mtoto na maswala ya nguvu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Ukatili wa kiuchumi kwa Wanaume umeongezeka, kunyimwa haki ya kuwa na mtoto pia ni Ukatili

    Msaidizi wa Mratibu wa Dawati la Jinsi na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, ACP Faidha Suleiman akiwa katika moja ya majukumu yake ya kutoa elimu kwa wananchi. Licha ya kuzoeleka matukio ya wanaume kuhusika kuwafanyia ukatili wanawake mara nyingi, utafiti umebaini kibao imegeuka na kuna...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda

    Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
  13. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya mtoto anayelia lia hovyo kama zezeta au kulilia vitu vya watu

    Hawa ni wale watoto ambao hawana competition na watoto wenzao, ukiona mtoto wako analia kila mara au kulilia vitu vya watu kila wakati, jitahidi utafute mtoto mwenzake wa rika lake uishi nao pamoja utaona atavyo badilika na kuwa mtoto mzuri. Njia nyingine nzuri ya kumkanya huyu mtoto, siku...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Dikteta Marcos, BongBong Marcos Jr anaelekea kupata Urais Ufilipino

    09 May 2022 Manila, Philippines 🇵🇭 Katika muendelezo wa watoto wa marais kuibuka baadaye kushika uongozi wa nchi, huko nchi ya visiwa vya Philippines watoto wa Dictator Marcos na dictator Rodrigo Duterte wanaelekea kushinda uchaguzi unaoelezewa wa kihistoria nchini humo. Source : Bongbong...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama, ndio maana tunasema "Nani kama mama"

    Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao. Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo. Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya...
  16. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Kwa mtoto mtundu ambaye hasikii fanya hichi kitu

    Piga kofi moja usawa wa shingo chini ya kisogo ili kurestore setting ya brain. Hakikisha unampiga kofi moja kubwa sana la kushtukiza apepesuke arukie mbali kabisa, nakuapia hatorudia tena. Msiwadekeze watoto na kuwafanya mayai, nyumba ambayo haina bakora iliyo ning'inizwa juu ni nyumba isiyo na...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtoto kutumia muda mwingi shuleni, inasaidia au inabomoa nidhamu yake?

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya shule za msingi na zile za awali zikiongezeka, hiyo imeendana sambamba na ongezeko la ratiba ya masomo kwa wanafunzi. Zamani ilizoeleka wanafunzi wanaotumia muda mwingi shuleni ni wale wanaosoma bweni, lakini hivi sasa hata wale wanaosoma ‘day’...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

    Hapo patatosha kweli? - Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi - Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe? - Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto mchanga wa Marehemu Mbunge Irene Ndyamkama afariki dunia

    Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022. Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
Back
Top Bottom