Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

Mawawa

JF-Expert Member
May 2, 2020
466
1,197
Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori.

Katika stori zao wakaanza kumsema mke wa jamaa kuwa huyu mtoto baba yake ni nani? Mbona hawajafanana hata ukucha na baba yake? Mke wa jamaa akabaki anachekacheka tu.

Jamaa baada ya kusikia hivyo katoka kafura na kuondoka pasipo kuaga siku ya tatu hajatokea nyumbani, baada ya kurudi nyumbani ugomvi mkubwa baina yake na mkewe.

Tumejaribu kumuweka sawa kuwa ule ulikuwa ni utani tu jamaa kaweka ngumu, kesi ni kubwa jamaa anataka DNA.

Nb: Kwa dunia ya sasa uhaminifu ni sifuri hawa viumbe wanatupiga sana, nakumbuka kipindi wife alipojifungua, mama alikuja akamcheki mtoto akasema yes hii ni damu yetu.
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,414
8,546
Wanawake ni washenzi sana sema wao ubaya wote wanautupia kwa mwanaume baada ya reaction ya mwanaume ili waonekane innocent.

We jiulize Hawa wanawake tunaokula kila siku na Wana mabwana zao Ila wakikaa utadhani hawapanuliwi Hadi makalio.

Shenzi sana jamaa apime DNA mambo ya kitanda hakizai haramu huo ni ufala wa wanaume wa zamani

Heri kama nijue kabisa kwamba sina uwezo wa kuzalisha ila sio kutunza shahawa za mwanaume mwenzangu na mwanamke anakung'ong'a tu eti anakuwekea heshima, yaani heshima ipi? Ngoja siku umzingue na mtoto ameshakua umeshamsaidia kusomesha utaipata fresh.

Men should stop entertaining these daughters of Jezebel.
 
Others

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,108
2,298
Kwakua ameskia kutoka kwa Wanawake walio karibu na Mkewe (kuna uwezekano mkubwa wa ukweli ndani yake kwa maana wanawake wanajuana), hapo kweli Ndoa ipo Matatani na huyo Mama Mtoto yupo matatizoni.

Endapo wakafuata Utaratibu na kipimo cha DNA kikafanyika kisha majibu yakasema sio wake; hali itakua mbaya sana (Japo sio rahisi kwa Tized yetu hii).

Nimeskia za kunyapianyapia ya kwamba sikuhizi kwakua hizi kesi zimekua nyingi basi huko wanakopima DNA wana 'utaratibu mpya' ili kupunguza watoto wa mitaani.

Mwanaume Akili Kichwani Mwako.
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,316
10,298
Pesa ya DNA anayo.... Vitu vimepanda bei mwambie atulie nyumbani panya road wamechachamaa
Hiyo DNA labda akapime nje ya nchi. Hapa Tz hata kama mtoto ni Mchina, Baba Mmatumbi bado utaambiwa DNA zenu zime match, kwamba mtoto ni wa kwako.

Kisa? Wanaepusha wazazi kuingia kwenye mgogoro ama kuachana eti Mtoto atakosa malezi sahihi
 
Lovelovie

JF-Expert Member
Oct 2, 2021
3,331
6,788
Hiyo DNA labda akapime nje ya nchi. Hapa Tz hata kama mtoto ni Mchina, Baba Mmatumbi bado utaambiwa DNA zenu zime match, kwamba mtoto ni wa kwako.

Kisa? Wanaepusha wazazi kuingia kwenye mgogoro ama kuachana eti Mtoto atakosa malezi sahihi
Duh Bora iwe hvo migogoro ya ndoa hapana
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,446
5,126
Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori.

Katika stori zao wakaanza kumsema mke wa jamaa kuwa huyu mtoto baba yake ni nani? Mbona hawajafanana hata ukucha na baba yake? Mke wa jamaa akabaki anachekacheka tu.

Jamaa baada ya kusikia hivyo katoka kafura na kuondoka pasipo kuaga siku ya tatu hajatokea nyumbani, baada ya kurudi nyumbani ugomvi mkubwa baina yake na mkewe.

Tumejaribu kumuweka sawa kuwa ule ulikuwa ni utani tu jamaa kaweka ngumu, kesi ni kubwa jamaa anataka DNA.

Nb: Kwa dunia ya sasa uhaminifu ni sifuri hawa viumbe wanatupiga sana, nakumbuka kipindi wife alipojifungua, mama alikuja akamcheki mtoto akasema yes hii ni damu yetu.
Mwanamme unakuwa mjinga kiasi gani mpaka upigwe matukio na mkeo kwa kusingiziwa moto ni wako? Kuna DNA siku hizi, enzi za wazazi wetu ilikuwa kawaida kuona familia ya Watoto 4 mmoja akawa tofauti na wenzake wote kuanzia rangi, tabia nakadhalika.
 
TheMnyonge

JF-Expert Member
Mar 25, 2022
474
1,053
Wanawake ni washenzi sana sema wao ubaya wote wanautupia kwa mwanaume baada ya reaction ya mwanaume ili waonekane innocent.

We jiulize Hawa wanawake tunaokula kila siku na Wana mabwana zao Ila wakikaa utadhani hawapanuliwi Hadi makalio.

Shenzi sana jamaa apime DNA mambo ya kitanda hakizai haramu huo ni ufala wa wanaume wa zamani

Heri kama nijue kabisa kwamba sina uwezo wa kuzalisha Ila sio kutunza shahawa za mwanaume mwenzangu na mwanamke anakung'ong'a tu eti anakuwekea heshima, yaani heshima ipi? Ngoja siku umzingue na mtoto ameshakua umeshamsaidia kusomesha utaipata fresh.

Men should stop entertaining these daughters of Jezebel.
Kwa uzoefu wangu, kama anapima DNA basi akapimie Kenya huko, lakini akipima hapa kwetu nakuhakikishia ataambiwa NI WA KWAKE HATA KAMA SI WAKE!
Sheria yetu inamtaka mtoa majibu kuzingatia "MASLAHI MAPANA YA USTAWI WA MTOTO"

Nimeshuhudia kabisa jamaa akipata majibu ya kuwa MTOTO ni wake ilhali mdau anajua fika mkewe aliteleza akiwa safari ya mbali!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

5 Reactions
Reply
Top Bottom