mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtoto chini ya miaka 10 kumkatisha usingizi kisa masomo uchwara; Saa 11 Alfajiri?

    Kwema Wakuu! Shida zako zisikufanye uwe Mpumbavu kiasi hicho mpaka umtese mtoto wako WA kumzaa mwenyewe. Yeye anamakosa gani gani umtese hivyo. Yaani matatizo yako ya maisha unavyodhani yalisababishwa na wewe kutokusoma ndio unahamishia hasira na Mateso yote Kwa mtoto, huo ni upumbavu...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kukuza Mtoto anayependa kusoma

    Kama wazazi, tunapenda kuona watoto wetu wakijifunza mambo mapya. Si ajabu kumuona mama akimuuliza mtoto maswali huku akijua mtoto atatoa jibu la kufurahisha. Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo zinaweza kukusaidia kukuza mtoto anayependa kusoma. Panga kusoma na mtoto wako iwe ratiba ya kila...
  3. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Sauti Sol, Chimano hayupo tayari kupata mtoto

    Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto. Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema kwamba kupata mtoto ni jukumu kubwa ambalo bado hayuko tayari kulichukua. "Kwa sasa bado nakua. Kupata...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hapa Bongo kuna msanii anamfikia DJ Nalimison kwa kumiliki mtoto mkali?

    Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kushughulika na Mtoto Mwenye Milipuko ya Hasira

    Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe mtoto wako kwamba hutalegeza msimamo wako. Elewa hali yake. Mtoto wako si mtu mzima. Kwa kuwa hajui...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, huu mchezo wa kuwasha na kuzima switch za umeme kama mtoto anachezea, maana yake nini?

    Tangu waziri wa nishati mpya aingie madarakani, kumeibuka mchezo wa kuwasha na kuzima switch mithili ya mtoto anaecheza na toy. Sababu nyingi sana za kijinga jinga zimetolewa na wahusika, waziri akiwemo. Yalianza mambo ya ‘scheduled maintanance’, baadae wakasema miaka mitano hapakuwa na...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iringa: Upelelezi wakamilika, mtoto anayedaiwa kuwalawiti wenzake kupandishwa kizimbani

    Kesi nane za ukatili wa kingono kati ya 19 zinazohusu watoto waliodhalilishwa na mtoto mwenzao mwenye umri wa miaka 15 mkoani Iringa, zinatarajiwa kufikishwa mahakamani wiki hii. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bulumbi amesema kuwa uchunguzi wa daktari umebaini kuwa watoto wote...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

    Shirikia la Hifadhi la Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kifo cha Faru Rajabu aliyekuwa na umri wa miaka 43, leo Jumatatu Machi 21, 2022 akiwa katika Hifadhi ya Serengeti sababu ikitajwa kuwa ni uzee. Faru Rajabu alikuwa mtoto wa Faru John ambaye alifariki mwaka 2015 akiwa na miaka 47. Faru...
  11. ragin

    JamiiForums Tanzania Ipi njia sahihi ya kumlea mtoto akiwa na mzazi mmoja?

    Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema, Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya watoto mliozaa kukosa malezi ya wazazi wawili. Je, tufanyaje Watoto hawa tuwaleeje ikiwa wapo na...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Swali; Baba huwa anarithisha size ya uume wake kwa mtoto?

    Naombeni msaada wenu watu mliosomea na kuelewa mambo ya Biology hasa kwenye ile topic ya Genes. Nimekuwa na hili swali kwa mda mrefu bila jibu, Size ya uume wa mtoto inatoka kwa baba yake au ni independent? Binafsi nina watoto wavulana wawili nimeona wamefanana na mimi size yangu ya utotoni...
  13. May Day

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutoka damu puani kwa Mtoto, ni Wakati gani nikamuone Dokta?.

    Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara. Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida. Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua gani ikifikia inabidi kwenda kumuona Daktari?.
  14. luangalila

    JamiiForums Tanzania Iringa: Watoto 19 wafanyiwa unyanyasaji wa kulawitiwa na mtoto wa miaka 15

    Hii habari niliyo isikia punde toka katika taarifa ya habari ya Ufm Ni huko Iringa mitaa ya Kiesa ambapo mtoto mmoja wa umri wa miaka 15 anaedaiwa kuwalawiti watoto wenzie zaidi ya 10 kwa kuwahadaa kwa vipipi na kuwawashia luninga nyumban kwao kisha kuwafanyia mchezo huo mbaya wa kikatili...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mzazi, mlezi kumpa mtoto haki zake ikiwemo uhuru wa kujieleza siyo ‘Uzungu’, ni wajibu

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli waathirika wa ukimwi wanaweza kujifungua Mtoto asie na maambukizi na Mtoto huyo akakua vizuri

    Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu. Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na...
  17. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Yoweri Museveni kuwa Rais huko Uganda? Mvua huanza na mawingu

    Hello Banzukulu, I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics. Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa jeshi la Uganda kwa mtoto wa Rais Museveni wa Uganda, ndugu Lt. Gen Muhoozi, si ajabu si mshituko...
  18. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Upi ni umri sahihi wa mtoto kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wake?

    Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule, Haijalishi una umri gani yani hata uingie jando na miaka 8 Ni MARUFUKU KABISA na kamwe hautakaa uingie...
  19. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  20. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo kuhisi kiu usiku ni tatizo?

    Wakuu Salaam Kwenu nyote Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima aamke adai Mma(Maji) sijui hii itakuwa ni tatizo ama ni jambo la kawaida? Naomba mwenye ufahamu...
Back
Top Bottom