Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Kigoma. Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia.
Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa...
Alice alikua jirani yangu huku Kwamtogole, nilipomfahamu Alice alikua mwajiriwa katika Taasisi ya Serikali. Alifika Dar akitokea mkoani baada ya mjomba wake kumsaidia kupata ajira hii kabla hajastaafu. Elimu ya Alice ni kidato cha sita.
Alice alikutana na Bill aliyemuahidi ndoa, baada ya...
Assalam mwana MMU, pole na majukumu ya kimaisha.
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2015 baada ya kuhitimu elimu nilanza harakati zangu kitaa, nilitoka mkoa niliokulia na kuja kanda ya ziwa Mwanza.
Maisha ya kuwa mwenyewe, sijaoa, nikajikuta nakula kwa mama mmoja alikua na sehemu ya...
Habari wakuu kama mnakumbuka kisa changu cha shemeji yangu wabkike Dada wa mke wangu aliekuwa akipendelea mtoto kukaa kwangu ili yeye apate muda wa kwenda kazini kwake kutafuta riziki...
Sasa rasm kaamua kutokomea kusikojulikana kwenda kutafuta maisha mkoa mwingine n kuacha mtoto wake kwa mama...
Siku hii ilianzishwa kama Kumbukumbu ya uasi uliotokea 16 Juni 1976 kwa Wanafunzi walioandamana kupinga Elimu Duni huko Soweto Nchini Afrika Kusini.
Maadhimisho ya Mwaka 2022 yanaangazia vitendo vya kikatili vinavyowakabili Watoto katika maisha yao ya kila siku, na tathmini ya hatua...
Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?
Siku hii ilianzishwa kama Kumbukumbu ya uasi uliotokea 16 Juni 1976 kwa Wanafunzi walioandamana kupinga Elimu duni huko Soweto Nchini Afrika Kusini
Licha ya jitihada za Mataifa na Bara katika kutokomeza vitendo vya kikatili dhidi ya Watoto, Kamati ya Wataalamu wa Haki na Ustawi wa Mtoto Afrika...
Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi unaofanyika mjini Geneva umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto", na kuzitaka nchi zote duniani kutoa kipaumbele kwa tatizo la utumikishwaji wa watoto na kuchukua hatua halisi na zenye ufanisi za kutatua tatizo hili.
Inaweza kuonekana kama utani lakini hii imetokea juzi tu mtoto wa miaka miwili alimuua baba yake kwa kumfyatulia risasi kwa bahati mbaya
Kuna madai kuwa baba na mama wa mtoto huyo walikuwa wametoka gerezani kwa parore siku si nyingi kwa kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya hali inayoshangaza...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga, Iringa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa dada yake mwenye umri wa miaka 12.
Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa...
Siyo tabia nzuri kubusu watoto wa watu hasa midomoni pale tunapowatembelea. Midomo ya watu wazima hasa wasio wazazi wa mtoto husika haiwezi kuwa salama, pia ni ngumu kujua mhusika kapita wapi kabla ya hapo. Huu siyo upendo wala usasa. Tunapaswa kuikemea tabia hii.
Chanzo: AfyaInfo
Rachael alipata kazi katika shirika la kimataifa, akiwa pale alikutana na James kijana kutoka Cameroon, wakaka wa Cameroon wako very romantic, Rachael alijikuta ameingia mazima. Walipata mtoto na baada ya hapo James alipata uhamisho kwenda Angola. Kama aliomba uhamisho ule ni siri yake lakini...
Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika.
Alfred Garza ameitaka kampuni hiyo itoe taarifa kuhusu utangazaji wa biashara zao kwa vijana na watoto...
Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili.
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda...
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha.
1. Jambo hili linaweza kuwa limefanywa na mtu kwa wivu tu wa kuionea wivu familia. Ukitazama familia inavyoonekana haikosekani...
Mwanamke mmoja mkazi wa Njombe, amejinyonga baada ya kujifungua mtoto mwenye ulemavu, ambapo Kamanda wa Polisi mkoani humo Khamis Issah, akawasihi wanawake kuwa na huruma na watoto na kuhoji kama mzazi amejinyonga mtoto aliyemuacha atalelewa na nani.
Kamanda Issah ameongeza kuwa kama kuna mtu...
Habari,
Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa.
Asante
“Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili.
“Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto...
Wakuu Salaam,
Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo.
Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua akaenda nyumbani kwao kupata msaada wa karibu. Alijifungua vizuri mtoto wa kike na baada ya miezi 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.