George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,018
- 4,909
Habari wanajukwaa?
Mtoto wangu ana miezi mitatu na siku kadhaa, shingo yake bado haijakaza, ukimkalisha anainamisha shingo kwa mbele, yaani anaangalia chini.
Hii hali inanitia wasiwasi, naombeni ushauri nifanye nini ili shingo ya mwanangu ikaze.
Nimeoa, na ninaishi na mama wa mtoto.