mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Miaka 39 sina mke wala mtoto. Je, hii ni kawaida?

    Natamani kujua kama hii ni kawaida au mimi ni mtu ajabu. Nakaribia miaka 39 na sina mke wala mtu naetegemea awe mke wangu. Sina mtoto japo ninauwezo wa kuzalisha vizuri sababu nilishawai wapa mimba wanawake watatu tofauti tukazichomoa. Japo bado sina mke lakini naamini sana kwenye ndoa na kuzaa...
  2. Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?

    Tuliopo kwenye ndoa! Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?
  3. Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  4. Binti yangu (miaka 24) anataka kuondoka nyumbani akapange

    Habari wadau, Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
  5. B

    Baba adaiwa kumuua, kumzika mtoto wake wa miaka 5 porini

    GEITA: Mtoto Dickson Elias (5) mkazi wa Chikobe, Kata ya Butundwe, Wilaya ya Geita mwenye ulemavu wa viungo, ameuawa na baba yake mzazi kisha kuzikwa porini kwa madai ya kushindwa kuendelea kumlea baada ya mama mzazi wa mtoto huyo kurudi kwao. Kufuatia mauaji hayo, Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  6. DOKEZO Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaelezwa kuwa Wanawake takribani 287,000 hadi 300,000 hufariki wakati wa ujauzito na kujifungua na zaidi ya Watoto milioni mbili hufariki katika siku 28 za mwanzo baada ya kuzaliwa. Takwimu hizo ni za Mwaka 2020. Takwimu hizo zimenisukuma kutoa ya...
  7. Nick Cannon yuko tayari kuongeza mtoto wa 13 lakini azae na Taylor Swift

    Cannon ambaye ana Watoto mapacha aliozaa na #MariaCarey huku wengine wakiwa na mama tofauti amesema hana uhakika kama anahitaji mtoto mwingine lakini kama itatokea, basi mama wa mtoto anatakiwa kuwa mzuri na wa kuvutia sana. Mtangazaji wa kipindi cha 'The Howard Stern' kinachorushwa na SiriusXM...
  8. Mbeya: Atuhumiwa kumuua mtoto wa kambo kwa kumpiga na kitu kizito kichwani kisha amtupa kwenye shimo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ZAWADI SASTONI NZUNJE [30] Mkazi wa Igalako Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo aitwaye MESHAKI FAZILI MLAWA [12] Mkazi wa Kapyo kwa kumpiga kwa kitu kizito kichwani na kukimbia kusikojulikana. Kamanda wa Polisi...
  9. Ushauri: Ndugu yangu hakubaliani na hali ya mtoto wake ilhali mtoto wake ashaikubali, pesa zinapotea na ni mwepesi kudanganyika, kipi kifanyike ?

    huyu ni mama mdogo wangu na nipo karibu sana na mtoto wake ambae huwa ananiambia vitu vingi. Ni kwamba mtoto wa mama mdogo alipokuwa mdogo akiwa na umri wa miaka 9 aliumwa malaria, hali yake ilikuwa mbaya sana ikabidi apigwe sindano za quinine (kwinini) Hii dawa kama mtakumbuka hapo zamani kwa...
  10. Mimba Kutoka: Hivi ndivyo utakavyofanya Kupata mtoto Salama

    MIMBA KUTOKA; HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA KUPATA MTOTO SALAMA. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi Binti yangu endapo utakutwa na mkosi wa Aina Hii, naamn ndio Tatizo la mimba kutoka basi Mimi Baba yako sikukusahau katika hili. Tena Kijana wangu ikiwa Mkeo utakayemuoa, unayempenda, atakuwa na...
  11. Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

    Habari muda huu Wana JF, Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba. Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda wote niliokuwepo hapa, sehemu niliokuwa naishi Ina nyumba 3 Ila ziko kwenye fensi moja Jirani yangu...
  12. Godbless Mushi adaiwa kujaribu kumbaka mtoto wake wa miaka mitano

    Jeshi la polisi mkoani Mwanza limemkamata na linaendelea kumhoji Godless Mushi (39) mfanyabiashara wa kuza vifaa vya magari kwa tuhuma za kujaribu kumbaka mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka mitano Taarifa ya jeshi la polisi kwa vyombo vya Habari inasema mnamo Aprili 2/2023 saa nne usiku...
  13. Waliomuua na kumtoa kizazi mtoto wahukumiwa kunyongwa

    Watu wawili, akiwemo mganga wa kienyeji, Mbwana Makamba, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtoto, Samira Said (4), kisha kumtoa kizazi na kuondoka nacho. Waliohukumiwa adhabu hiyo ni Richard Kimweri (43) ambaye alikuwa mlinzi na mkazi wa eneo la Makaburi ya...
  14. Kipi bora kuuza mali zako kumsomesha mtoto ili aje akusaidie baadae au ubaki na mali zako na mtoto umpa elimu ya maisha

    Familia nyingi zimefeli baada ya kumaliza mali kama mashamba,mifugo n.k kwa kuwasomesha watoto wao mwisho watoto wao wamekuja na vyeti nyumbani. Elimu ya maisha yamekosa hata elimu waliyoipata huko shuleni wamerudi mtaani haitumiki. elimu yako ndo inayokutesa.... kazi unayofanya sasa hivi...
  15. Chuo sio sehemu salama ya kumpeleka mtoto asiyejielewa

    Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, malezi ya watoto wakike Pamoja na kiume wote kwa Pamoja ni magumu mno kama ukilegeza, namuelewa sana mzee wangu kwa kutupiga vipigo vya mbwa koko ukifanya makosa ya hovyo au akikukuta na kampani ya kijinga. Nipo mkoani huku Kuna chuo Cha kati, kinachukua watoto...
  16. Msanii Mimi Mars atamani kupata mtoto

    MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ ameweka wazi kuwa anatamani kupata mtoto. Mimi Mars amesema baadhi ya watu wanadhani kuwa hapendi kuwa na mtoto, isipokuwa aliamua kujipa muda kidogo na kwamba hivi karibuni ataitwa mama. “Kila kitu ni mipango hivyo nilikuwa najipanga nikiwa...
  17. Mtoto wa Rais Museveni asema Uganda itaisaidia Urusi Wanajeshi wake ikiwa itatishiwa na Mabeberu

    Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho. "Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
  18. Kati ya single mama na Asiekuwa na mtoto Nani anafaa

    Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli nilimpenda Ila alikuja nisaliti kwa mshikaji mmoja akampiga na mimba juu akanimwaga chini kwa madharau na...
  19. Maombi yenu tafadhali

    Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF, Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29🙂. Namtakia kheri ya kuzaliwa na ningependa kusheherekea nanyi ndugu zangu. Pili, Leo hii tuko hospital magomeni...
  20. Mtoto aliwahi kuniletea mali, nikashindwa kujiongeza

    Hivi kwa nini mwanamke wengi huwa hawawezi kuomba penzi. Yaani hawawezi kusema leo nataka unifanye?! Jambo hili liliwahi kunigharimu ndugu yenu miaka hiyo nikiwa mshamba-mshamba kwenye tasnia. Mtoto nilianza kumpenda sana akiwa mwanafunzi wangu wa tuition nikiwa form six. Nikamtongoza miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…