mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwezi mmoja afariki baada ya wazazi kumuangukia wakipigana

    Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
  2. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Pale ambapo mimi na wewe tumeshindwa kumlinda mtoto wa kike, teknolojia ya habari na mawasiliano haina budi kuingilia kati

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi kupelekea kukatisha masomo yao kutokana na kubeba Mimba na kuathirika kisaikolojia jambo ambalo...
  3. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto za Mtoto: Jinsi Jamii na Viongozi Walivyomsaidia Mtoto Kufikia Malengo Yake

    NDOTO ZA MTOTO: JINSI JAMII NA VIONGOZI WALIVYOMSAIDIA MTOTO KUFIKIA MALENGO YAKE Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Ndoto ni malengo ya mtu katika maisha. Watoto wana ndoto mbalimbali, lakini si wote wanafikia ndoto zao kutokana na shida kama umaskini, ujinga, magonjwa, ukatili, ubaguzi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Songwe: Amuua mtoto wa mumewe akimtuhumu kupoteza ng’ombe wawili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha kumkamata Veronica Petro (24) mkazi wa Wilaya na Mkoa wa Songwe akituhumiwa kumuua mtoto wa mume wake, Mageshi Usiga (7) aliyekuwa akimlea. Kamanda wa polisi mkoani humo, Theopista Malya, amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya mtoto huyo...
  5. AIZZY

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mtoto wa kike

    Habari ya mda huu!! Nina swali la kuhusu mahusiano kwa nn wadada kati ya umri 17-20 katika mahusiano wanakuwa na mambo mengi? Inayopelekea kutokuelewa ukweli na kua na jeuri, ujuaji,ubishi n.k?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu. Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs). Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
  7. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

    Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje? Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi? Cc: Dr Lizzy say...
  8. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Ombi la mtoto kwa baba yake mzazi (SHAIRI)

    watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni. watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana. baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
  9. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

    Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview) Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Aliyetuhumiwa kunajisi mtoto wa miaka 5 ashinda rufani

    Mahakama Kuu mkoani Mwanza, imemwachilia huru Daudi Kanyengele, baada ya kushinda rufaa aliyofungua kupinga kifungo cha miaka 30 jela, aliyohukumiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumnajisi binti wa miaka 5. Hukumu hiyo iliyotowa Juni 23, mwaka huu...
  11. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Sumbawanga: Mtoto auawa kwa kuliwa na nguruwe

    #HABARI Mtoto aitwaye Haruna Mwanakatwe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kumi (10) mwenye ulemavu wa viungo na mkazi wa mtaa wa Edeni B Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameuawa kwa kuliwa na Nguruwe nyumbani kwao. Tukio hilo limetokea jana Juni 25, 2023, baada ya mtoto huyo kubaki ndani...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtoto Huyu ananyanyasika kingono

    Ni Binti wa umri wa miaka 11 ambae yupo darasa la tano. Binti huyu pamoja na umri wake mdogo lakini ameeathirika sana kisaikolojia kutokana na kutumika kingono kutoka kwa vijana wenye umri mkubwa. Binti huyu mamake aliachana na Baba yake na kwenda kuolewa sehemu nyingine na kumuacha binti...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baba, mtoto wako yuko huru kukueleza jambo lolote?

    Wakuu, Wewe unayeitwa baba, uwe mlezi au mzazi, mtoto wako yuko huru kuongea na wewe kuhusu jambo lolote ikiwa anahitaji kusikilizwa na wewe? Au ndio wawe wale wazazi wakali mpaka mtoto akueleze kitu inabidi atume barua ya maombi kwanza? Mbali na kuwa na uangalizi wa mama, kusikilizwa na...
  14. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

    Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

    Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala. Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Utata kesi Askari Polisi aliyetuhumiwa kumjeruhi mtoto wake kisha kesi kufutwa

    Miezi mitano tangu kutokea kwa tukio la Askari Polisi, Abati Benedicto kumjeruhi mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 na kesi kufikishwa mahamani, kesi hiyo imefutwa kwa kinachodaiwa kuwa ni kukosekana kwa mashahidi wa kuthibitisha tuhuma zilizomkabili askari huyo aliyekua akifanya kazi kituo cha...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afikishwa Mahakamani kwa kumbaka na kumuambukiza VVU mtoto

    Deogratias Wiliam (45) Mkazi wa Mombasaraha Kata ya Butundwe Wilaya ya Geita amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Geita akishtakiwa kwa makosa mawili ya kumbaka na kumuambukiza Virusi vya Ukimwi mtoto wa miaka 17. Mbele ya hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Nyakato Bigirwa Wakili wa...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wanne washikiliwa kwa tuhuma za kumteka mtoto na kudai milioni 50 kwa baba yake ili wamwachie

    Jeshi la polisi mkoani Katavi linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumteka mtoto wa kike, mwenye umri wa miaka 9 mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mizengo Pinda iliyoko manispaa ya Mpanda kwa kumfungia chumbani na kudai pesa kwa baba yake kiasi cha Shilingi milioni 50 ili...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huwa unaruhusu mtoto wako kupigwa picha na watu mbalimbali ikiwemo ndugu? Unajua madhara yake?

    Wakuu kwema? Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa. Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako...
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Huwa unampongezaje mtoto wako akifanya kitu cha kukufurahisha?

    Hello Africa, Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
Back
Top Bottom