Chuo sio sehemu salama ya kumpeleka mtoto asiyejielewa

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,499
4,788
Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, malezi ya watoto wakike Pamoja na kiume wote kwa Pamoja ni magumu mno kama ukilegeza, namuelewa sana mzee wangu kwa kutupiga vipigo vya mbwa koko ukifanya makosa ya hovyo au akikukuta na kampani ya kijinga.

Nipo mkoani huku Kuna chuo Cha kati, kinachukua watoto waliotoka form four, aisee Hawa watoto Wanapigwa pipe vibaya mno, vijana hao bodaboda ndio wamewaoa, yaani hawezi maliza week ni pipe tu tena kwa watu tofauti tofauti, wazazi wanalipiwa ada Lakini wanayoyafanya huko sio poa.

Mtoto anarudi home na vyeti Viwili Cha utaaluma na Cha umalaya.

Siku tatu zilizopita nimeingia dar- es-salam nikakutana na rafiki yangu tukisoma nae o-level, kajenga nyumba yake kibaha hapo, Bado hajaoa na hana mpango, alinishtua niende kwake Kuna HOUSE PARTY nisikose.

Yeye ni mtu wa pombe sana so anakutana na wanachuo huko club na ametengeneza bond nao (ni marafiki), nao aliwaalika kwenye hiyo house party inayofanyika kwake, kama unavyojua wanachuo wakike wanavyopenda kubebana.

Kufika pale kwa rafiki yangu yupo na washikaji zake, pombe zimetawala kwenye meza Kila Kona, tunawasubiri watoto wa kike kutoka chuo X huko dar. Aisee vimeingia vitoto vya chuo wakaanza kufakamia pombe, kwa kufupisha story nyumba nzima Ilikua uwanja wa fujo, watu walikua wanacharazana miti kweupee kama movie ya SPARTACUS.

Kuanzia sebuleni chumbani jikoni ni miti tu ukichoka kwa huyu unamvuta yule, hivi hii kitu inaitwa HOUSE PARTY Ndio hiko hivi?...Mimi kijana wa kisabato nikapepea bila taarifa nikawaacha vijana wakiendelea kuburudika.

Mithali 22:6
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hatoiacha hata hatakapokua mzee.

Hayo ni maneno ya biblia ni halisi na hakika, tujitahidi kulea watoto wetu vizuri, mzazi mtoto wako wa kike akianza kunywa pombe utashindwa kujua kweli?.

Jioni njema!
 
Back
Top Bottom