Msanii Mimi Mars atamani kupata mtoto

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
mimi-mars.jpg

MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ ameweka wazi kuwa anatamani kupata mtoto.

Mimi Mars amesema baadhi ya watu wanadhani kuwa hapendi kuwa na mtoto, isipokuwa aliamua kujipa muda kidogo na kwamba hivi karibuni ataitwa mama.

“Kila kitu ni mipango hivyo nilikuwa najipanga nikiwa tayari nitakuwa mama sio wa mtoto watoto tumuombe Mungu atusaidie katika kila jambo.” amesema Mimi Mars.
 
Maisha yamebadiliki. Miaka hiyo ilikuwa aibu kubwa kwa wazazi binti kubeba ujauzito bila kuwa ameolewa. Siku hizi wanapanda madhabahuni na tumbo la karibia miez tisa na ni poa tu.
Inafungwa ndoa ya watatu yaani me,ke na huyu aliyepo tumboni.
 
Back
Top Bottom