mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kijana anayesadikiwa kusafiri kwa njia haramu afariki, mwili wake wakutwa kwenye tairi ya ndege

    Mwili wa kijana mdogo uligunduliwa katika sehemu ya gurudumu la ndege ya Boeing 777 ya shirika la ndege la Air France iliyokuwa ikitokea Abidjan, Cote d'Ivoire, mapema Jumatano wiki hii, kwenye uwanja wa ndege wa Roissy, nchini Ufaransa. Shirika la ndege la Air Ufaransa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

    Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda. Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako. bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba. Huyo mtoto anahesabiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuanza kudai Tume Huru ya uchaguzi au kuvunja tume iliyopo tafadhali tusaidieni kujibu maswali haya

    KABLA HUJAANZA KUDAI TUME HURU AU KUVUNJA TUME ILIYOPO TAFADHALI TUSAIDIENI KUJIBU MASWALI HAYA. UKIKOSA MAJIBU YAKE BASI UTAKUWA HUNA TOFAUTI NA JAMAA WA TIGRIS AND EUPHRATES WALIORUHUSU MGENI KUJENGA KWENYE KIHAMBA CHA UKOO. Disclaimer: huenda kweli tunahitaji tume "nyingine". Nasema "huenda"...
  4. JamiiForums Tanzania Njia 6 za kupata matokeo chanya unayoyataka kutoka kwa mtoto wako

    Wazazi/walezi wengi duniani kote wamekuwa katika mahangaiko ya kutafuta njia sahihi za kuzitumia katika kupata matokeo chanya kwenye nyanja mbalimbali za maisha ya watoto wao: wachache sana wamefanikiwa, lakini wengi wameshindwa kutokana na kutojua njia mbalimbali wanazoweza kuzitumia ili...
  5. JamiiForums Tanzania Giggy Money: Lazima nifanye mapenzi na mtoto wa Zari

    Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady. Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema atafanya hivyo ili Zari aweze kumuheshimu kama mkwe wake. "Sasa Zari, mimi ninachokuaidi kitu kimoja...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Bdozen amekua

    Katoto ka dozen wa clouds fm kamekuaaa... Very handsome mwenyewe...naona kajitoa copy...
  7. JamiiForums Tanzania Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

    Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi. Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mtoto kufa baada ya saa 3 toka kuzaliwa

    Habari wakuu Kuna binti kajifungua salama kwa njia ya kawaida leo saa 10 alfajiri akaruhusiwa kurudi nyumbani punde tu baada ya kujifungua. Aliporudi nyumbani akapumzika kwa kulala yeye na mtoto kwa uchovu wa uzazi. Saa 1 asubuhi akaamka na alipojaribu kumuamsha mtoto alikuta ameshafariki...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    BAADHI YA WADAU WENYE TATIZO HILI --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA KUHUSU TATIZO HILI Ukosefu wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa...
  10. JamiiForums Tanzania If your parents attain old age, do not repulse them or look at them as a burden, but speak to them a gracious word, be cool, obedient, humble and kind

    An 80 year old man was sitting on the sofa in his house along with his 45 years old highly educated son. Suddenly a crow perched on their window. The Father asked his Son, 'What is this?' The Son replied, 'It is a crow'. After a few minutes, the Father asked his Son the 2nd time, 'What is...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums, Naomba msaada katika jambo hili. Nina ndoa ya kama miaka kumi. Nina mume wangu ambae najua ananipenda, nami pia ninampenda. Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na jambo ambalo limenitia simanzi sana na sijui hata nifanyeje, kuna wakati siamini kama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…