Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha.
Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.
Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa.
Juzi Rais Katoa agizo kuwa...
Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga wa miezi 10.
Maambukizi hayo yanaifanya Rwanda kuwa na idadi ya visa 17 vya maambukizi ya virusi vya corona.
Walipatikana na maambukizi hayo wote walikua wametoka katika...
Hakika Chadema inateseka kutokana na kaulimbiu na tambulisho inazotumia!
Makamandaa kunja kunja kunja ngumi! Bado sijaona/sijasikia! piiipoooz, pawa! Sasa ni NO HATE NO FEAR!
Ni majina mabaya ambayo baba "mwamba" anayafyatua kadri atakavyo bila kuwaza vyema!
Tatizo hili liliwahi kuikumba CUF...
Mtoto wangu ana miaka5 ana tatizo la kukohoa hasa usiku lakini cha ajabu mchana hakohoi.nimejaribu kumpa dawa kama mucolyne lakini imedunda nimejaribu kumpa zecuf nayo hazina msaada nikawaza labda ni kile wanaita kimeo nikaenda kumkata lakini bado imeshindikana bado anakohoa sana..sijui shida ni...
Herode anamtafuta mtoto ambae amezaliwa.
Herode alifadhaika Sana moyoni, kusikia mfalme Yesu amezaliwa katika Bethlehem nchi ambayo Herode aliitawala.
Mtoto mfalme alie tabiriwa kuchukua ufalme wa Bongo Fleva, amezaliwa usiku wa Jana tarehe 14 March 2020 @ Mlimani City
Mtoto mchanga chini ya miezi sita hapaswi kupewa chochote kile tofauti na maziwa ya mama, mtoto mchanga chini ya miezi sita hatakiwi kupewa maji, kwasababu maziwa ya mama yana maji yakutosha ndio maana mtoto anakojoa, na ukitaka kufahamu kwamba maziwa ya mama yana maji ya kutosha yakamue kisha...
Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Mauti yalipomfika jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa.
An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his...
Life bwana kuna muda unawaza daaah..!! "hivi kwa mfano BABA Angekuaga MO DEWJ sahvi maisha mtelezo tuu!! " Wakati huohuo baba nae unakuta anawaza hivi mfano "MWANANGU angekuaga SAMATTA "loooh..!! Ningekua nakula maisha tu... Yaani we acha Halafu kuna kipindi MTOTO Anawaza "dingi akifa tu nauza...
Ndugu zangu mim ni mwanafunzi wa chuo ambae nipo kwenye mahusiano na msichana ambae ni mdogo kiumri kwangu pia bado mwanafunzi yupo form6 fedha girls saivi na ni msichana ambae kwao kuna uwezo na mimi nipo kwenye standard level.
I mean maisha ya kati but mwanzo nilimfata baada ya kuwa tuna...
Kumekuwa na imani kuwa kitovu cha mtoto kikiangukia mahala fulani mtoto huyo anakuwa hanithi na hata hivi karibuni Haji Manara amepost video ya Boban akimtuhumu Jerry Muro kuwa huenda wakati anazaliwa kitovu chake kiliangukia sehemu mbaya sasa kisayansi limekaaje
Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Willium Mwakatage anayedaiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba, ambaye ni mtoto wa askari mwenzake amefukuzwa kazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni amesema taratibu za kijeshi zimekamilika ikiwa ni pamoja na kumfukuza kazi...
Samahani naomba mnisaidie ushauri kuhusu huyu mwanangu ana 2 years amepatwa na vipele usoni, shingoni masikioni nk. Vingine vikikauka vinatoka vipya tena vingine.
Nilimpeleka hospital huku wakampa Ethromycin na Pricostant Cream ila bado hali inaendelea na dawa zimeisha.
Vipele vipo vinakuwa...
Unaweza kujua mtoto sio wako kwa jaribio rahisi tu. Nalo ni kutumia blood test. Angalia chati hii:
Kutoka kwenye blood group chart:
1. Kama ukipima na kukuta group la mtoto linaendana na magroup ya damu ya wazazi, sio guarantee kuwa mtoto ni wa kwako. Kwa sababu kuna uwezekano wa mwanaume...
1. watu wanahangaika kutafuta watoto kwa gharama kubwa mno..........
2. watu wanafikia hatua ya kuiba watoto mahospitalini na mitaani na kukimbia nao ili wakawe na furaha....
3. watu wanafikia hatua ya kuweka matambara ili waonekane wana mimba, ukifika muda anaibwa mtoto mahali na kuwa...
JESHI la Polisi wilayani Chato mkoani Geita, limemfikisha mahakamani Kazimili Dotto, akituhumiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kambo, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili.
Mshtakiwa huyo ambaye ni mkazi wa Kijiji na Kata ya Makurugusi wilayani hapa, anadaiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wa...
Niko hosptali moja hapa Goba naona kilio na simanzi vimetawala.
Nilipouliza baadhi ya ndugu wakasema dada wa kazi alikuwa akimlazimisha mtoto kula mchele ukaingia koo la hewa.
Walipomfikisha wakakuta mtoto bado anahangaika, Hospitali wakajaribu kumsaidia ndipo wakatoa punje kadhaa za mchele...
Wapelelezi wa kaunti ya Kitui wanamtafuta binti wa miaka 13 wakimhusisha na mauaji ya kijana wa miaka 5 ambaye mwili wake ulikutwa ukiwa umetupwa kwenye kichaka kilicho karibu na mto Mutendea.
Taarifa zinaeleza kuwa siku ya ijumaa wawili hao walikwenda kuchota maji katika mto uliopo karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.