mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mtoto wa kiume jikaze, acha kulegea, mtoto wa kiume halii! Tusipobadilika tutawapoteza!

    Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
  2. Suley2019

    Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano. Wakifafanua sakata hilo Wazazi wanadai kuwa walipata mashaka baada ya kuona mtoto wao wa miaka 6 anajinyea mara kwa mara na...
  3. Equation x

    Siku niliyokutana na mtoto wa Kinyarwanda

    Wakuu, mjuavyo tena; mahusiano ndio yanayofanya dunia iwe sehemu sahihi na tulivu kwa kuishi. Mjuavyo tena, sisi tunaopataga maji ya 'gold' huwa ni vigumu kunyimana kwenye mahusiano. Kama pisi kali ikikuelewa, inakuelewa kweli. Ndio maana waswahili wanasema, kwenye kinywaji cha rangi ya 'gold'...
  4. miles45

    Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako. Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni. Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi. Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia...
  5. Analogia Malenga

    Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
  6. Mjanja M1

    Huyu ndio muigizaji aliyepata mtoto akiwa na miaka 80

    Mwigizaji na mtayarishaji wa Movies kutokea nchini Marekani, Mzee Robert De Niro amepata mtoto wake mwengine akiwa na miaka 80. Robert De Niro akiwa na umri wa miaka 80 na mtoto wake wa miezi 10 Alipata mtoto wake wa kwanza zaidi ya miaka 46 iliyopita. ✍️ Mjanja M1
  7. Pleasepast

    Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    Habarini za usiku wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji msaada wa Mawazo chanya iko hivi kuna mwanamke nilipata naye mtoto lakini kwa bahati mbaya sana tukaja kutengana na sasa kila mtu anaishi kivyake yeye yupo na mtoto. Kuna wakati mzazi mwenzangu anapata hasira za...
  8. Financial Analyst

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Habari. Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable. Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda...
  9. Ester505

    Malipo ya kufundisha tuition ni kiasi gani kwa mwezi mtoto akifatwa nyumbani kwao?

    Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
  10. Pdidy

    Mtoto ajinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku

    Inasikitisha sanaa Naangalia taarifa ya Habari ITV mtoto wa darasa la pili amejinyonga baada ya kuona wazazi wakipigana kila siku Baba mzazi alipoulizwa alikiri n kwelli ye na mzazi mwenzie walikuwa na tofauti na baadae mkewe akamua kuondoka siku 5 zilizopita Jana anarudi anakuta watu wanejaa...
  11. M

    Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Habari wadau. Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6. Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi...
  12. Suley2019

    Mazishi ya mtoto anayedaiwa kuuliwa kwa kuchapwa na mwalimu yaahirishwa. Mwili wake unaendelea kufanyiwa uchunguzi

    Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika. Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
  13. Eli Cohen

    "AIM LOW ENOUGH": Njia ya kusaidia kukuza ujuzi wa mtoto mwenye uwezo mdogo

    Tunapush sana watoto katika level ambayo sio uwezo wao. Kinachofatia ni mtoto kuwa muoga zaidi wa kuthubutu na kukuogopa wewe bila kukuheshima. Tambua uwezo wa mtoto wako alafu mwekee challenge ya chini ambayo unayojua akitumia uwezo kidogo wa ziada atashinda tu. Hii itamfariji mtoto ila pia...
  14. Sankinga

    MSAADA: Je, hiki kinyesi kwa mtoto ni kawaida?

    Habarini wakuu! Mtoto wangu mwenye umri wa miezi 11 ametoa hiki kinyesi, kina shida yoyote kwa anayefahamu? Ninaomba msaada tafadhali.
  15. Mtemi mpambalioto

    Walimu kupiga watoto mpaka kuua! ipo siku atauliwa mtoto wa kiongozi ndipo tutaamka

    Hii tabia imekithiri sana ya kupiga watoto kwa mangumi, mateke, na mbaya zaidi kupiga watoto mgongoni ambako ndiko kuna uti wa mgongo! Tabia ya kuficha na kutoa taarifa za uongo kumkandamiza aliyeuliwa na kukosesha haki ndiko kunafanya walimu waendelee na tabia hii mbaya kabisa! Halafu kuna...
  16. kayanda01

    Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

    Kwa wenye uzoefu na malezi/uzazi... Kila mzazi hutamani shape nzuri ya kichwa kwa watoto wake. 1. Je, ni kweli kuwa 'UTOSI' kufunga mapema sana husababisha komwe (forehead kuwa kubwa)? 2. Je, ni kweli kuwa 'CHANGO LA MTOTO' husababisha komwe? 3. Ni njia zipi (kienyeji au kitaalamu)...
  17. R

    Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, Shalom. Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu. Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo...
  18. M

    Mama anafaa atambue kwamba kumnyonyesha mtoto ni jambo lenye kumpatia faida nyingi mtoto

    233. Na wazazi wa kike wanyonyeshe watoto wao miaka miwili kamili, kwa mwenye kutaka kutimiza kunyonyesha. Na ni juu ya mzazi wa kiume kuwapatia chakula chao na nguo kwa mujibu wa ada. Hailazimishwi nafsi ila kwa iliwezalo. Asidhuriwe mzazi wa kike kwa ajili ya mwanawe, na wala mzazi wa kiume...
  19. Kaka yake shetani

    Wazazi na walezi sehemu za choka mbaya wanaona sifa mtoto kusoma shule za msingi walipo mbali na mjini

    yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz. Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili...
Back
Top Bottom