mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  2. Izogi

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna mliotuaminisha kwa Urusi kukimbia Kherson ni mtego, haya Rais Zelensky afanya ziara Kherson

    Haya tuone kama rais atanasa kwenye mtego wenu, mlisema Urusi ametoroka ili kuwavuta Ukraina waingie kichwa kichwa kwenye mtego, fanyeni sasa. Nakumbuka hata wakati Warusi wanaikimbia Kyev mlisema ni mtego fulani hivi...hii mitego lini itanasa, maana kila Mrusi akitoroka sehemu mnasema mtego...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume kupewa kipaumbele Kliniki za watoto ni mtego

    Bila kupoteza Muda nijielekeze moja kwa Moja kwenye Mada. Wanawake wamekuwa wakipambania sana usawa 50/50 na serikali imekuwa ikitumia mbinu Nyingi sana ili kufanikisha jambo hilo ambalo ni kinyume kabisa na tamaduni zetu, hata kwenye vitabu vyetu vya dini ambavyo vinataka mwanamke awe msaidizi...
  6. Vocal Fremitus

    JamiiForums Tanzania Nishaurini namna ya kutoka kwenye huu mtego

    Kuna kabinti kamenielewa. Nilikutana nae njiani katika pita pita zangu nikadaka namba. Naweza sema kwenye vigezo vya mwanamke wa ndoto zangu ametimiza 6/10. Kwahyo wakati namtongoza lengo langu lilikua kutuliza ham zangu tu na kusepa. Ingawa awali sikumfahamisha hilo. Mwanzoni nilimdanganya...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, mambo yako hayaendi? Tegua mtego!

    JE MAMBO YAKO HAYAENDI? TEGUA MTEGO! Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi! Mambo haya ni bure, wala sitakuchukulia chochote Kama faida. Nimeyaandika haya kama kumbukumbu Kwa hao watakaona yatawafaa, tena isihesabike maneno haya ni kifungo kwa yeyote bali yawe ufunguo Kwa hao waliofungwa...
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

    Habari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu? Kwakuwa mara nyingi nakuwa na safari za kwenda Dodoma kikazi (maana ndipo ilipo Serikali), basi gari langu...
  9. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  10. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

    Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei. Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri. Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei 1. Upungufu wa mafuta 2. Tangazo la...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtego Muhimu kwa Kocha wa Simba SC Pablo ambaye pia anatakiwa sana na Orlando Pirates FC wasio na Kocha Mkuu kwa sasa

    Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa. GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Huu ni upendo, utu wema au mtego?

    Nilikwenda mahali kupata huduma. Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu. Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo. Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu. Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliongozwa na CHADEMA, Hayati Magufuli akaongozwa na Kigogo2014; Rais Samia ameanza kuongozwa na CHADEMA, ataweza kuondoka kwenye huu mtego?

    Wakati wa JK mfumo uliona Rushwa ilivyokithiri ukaona namna Mali za umma zinavyoliwa na watu wachache . Walimwona JK alivyo mwanasiasa mahiri lakini ambaye siyo mwepesi wa kusoMa sana na kwake yeye wasaidizi wake wanaweza wakafanya Kila kitu. Watu walimwona alivyokuwa busy kuzunguka Duniani...
  15. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

    Si mtego mgumu...lakini ni mtego mkali... CCM kwa miaka yote imejitahidi sana kukwepesha na wakati mwingine kuahirisha milongas ya mihimili. Kuanzia wakati wa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere na mjadala wa Uafrika na Uraia wa Tanzania hadi huu wa mkopo na Tozo wa Rais Samia. Migongano...
  16. mwakavuta

    JamiiForums Tanzania Unaujua mtego wa wauaji wa ndoto zako katika maisha?

    Je ni biashara gani ulikusudia kuifanya lakini ukaahirisha kwa sababu kuna mtu alikuambia haifai kufanya na ukaua ndoto zako milele? Watu wengi wanakutana na wauaji wa ndoto kila siku na bahati mbaya sana ni wachache wanaofanikiwa kuwakwepa na kuendelea kufanya kazi ndoto zao. Umepata wazo la...
  17. Medecin

    JamiiForums Tanzania Through Back Days: Watoto wa mwaka 2000 watajua huu mtego wa panya.

    Life is too fast
  18. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Epuka mtego wa shetani, kuwa makini sana

    Punda mmoja alikuwa amefungwa kwenye mti. Shetani (Pepo) akaja akaifungua ile kamba. Punda baada ya kujiona yuko huru, akaingia kwenye shamba na kuanza kula kila kitu. Mke wa mwenye Shamba (Mke wa mkulima) akahofia Punda anataharibu kila kitu, hivyo akachukua bunduki, akamuua yule Punda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumtega mhadhiri wa UDOM kwa rushwa ya ngono, sasa tuwatega madaktari hospitalini kwa dhambi hiyo hiyo

    Nasikitika hadi Kushangaa kuona Watanzania tukijikita zaidi katika Kupambana na Rushwa ya Ngono kwa Wahadhiri wa Chuo dhidi ya Wanafunzi wa Kike Vyuoni huku tukilisahau eneo lingine Muhimu. Sasa leo nawataarifu kama kuna Sekta ambayo kwa miaka ya hivi karibuni kama Miaka Kumi inaongoza kwa...
  20. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

    Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
Back
Top Bottom