Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza kijana mdude Nyagali, ameonyesha uthabiti wa nia wa kupambana na udikteta na uvunjifu wa sheria na katiba nchini.
Mdude ni aina ya vijana jeuri ambao mwalimu Nyerere alisema anataka kuwaona katika nchi hii, ambao wakimuona Bwana mkubwa anakosea basi...
Nawasalimu kwa salamu ya mama yetu:
Kwa wale msiopenda kusoma nyuzi ndefu ntajitaidi kuwakwepa mapema.
Taifa la Tanzania lipo katika mtanzuko mkubwa hasa pale Taaluma inapogaragazwa na kundi la WANASIASA tena wanasiasa wachumia tumbo ambao ndio waliojaa kwenye vyombo vya maamuzi.
Mfano,mwaka...
Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu...
Kwanza kabisa haijajulikana kama Sherehe hizi yeye ndiye atakuwa mgeni Rasmi au nayo itapita kimya kimya kama ilivyokuwa jana Sherehe za Muungano kwa sababu ya kuomboleza Msiba Mkubwa wa Jiwe.
Rais Samia ameamua kutojitenganisha na Hayati JPM - Mpango Kazi wa Mwaka 2020-2021 umejadiliwa lakini...
Rais alipohutubia mara ya pili na mara ya Tatu alipokuwa akiwahotubia Mawaziri na Makatibu wakuu alizungumzia habari ya Uonevu, kesi na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua maramoja, akaongeza bango litakalo onekana DC au Mkurugenzi hawana kazi sisi hatujamuelewa vizuri hili swala la bango...
Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.