JE MAMBO YAKO HAYAENDI? TEGUA MTEGO!
Anaandika, Robert Heriel
Yule Shahidi!
Mambo haya ni bure, wala sitakuchukulia chochote Kama faida. Nimeyaandika haya kama kumbukumbu Kwa hao watakaona yatawafaa, tena isihesabike maneno haya ni kifungo kwa yeyote bali yawe ufunguo Kwa hao waliofungwa...
Habari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu?
Kwakuwa mara nyingi nakuwa na safari za kwenda Dodoma kikazi (maana ndipo ilipo Serikali), basi gari langu...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023.
UTANGULIZI:
Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023.
UTANGULIZI:
Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.
Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la...
Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa.
GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
Nilikwenda mahali kupata huduma.
Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu. Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo. Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu. Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake...
Wakati wa JK mfumo uliona Rushwa ilivyokithiri ukaona namna Mali za umma zinavyoliwa na watu wachache . Walimwona JK alivyo mwanasiasa mahiri lakini ambaye siyo mwepesi wa kusoMa sana na kwake yeye wasaidizi wake wanaweza wakafanya Kila kitu. Watu walimwona alivyokuwa busy kuzunguka Duniani...
Si mtego mgumu...lakini ni mtego mkali... CCM kwa miaka yote imejitahidi sana kukwepesha na wakati mwingine kuahirisha milongas ya mihimili.
Kuanzia wakati wa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere na mjadala wa Uafrika na Uraia wa Tanzania hadi huu wa mkopo na Tozo wa Rais Samia. Migongano...
Je ni biashara gani ulikusudia kuifanya lakini ukaahirisha kwa sababu kuna mtu alikuambia haifai kufanya na ukaua ndoto zako milele? Watu wengi wanakutana na wauaji wa ndoto kila siku na bahati mbaya sana ni wachache wanaofanikiwa kuwakwepa na kuendelea kufanya kazi ndoto zao.
Umepata wazo la...
Punda mmoja alikuwa amefungwa kwenye mti.
Shetani (Pepo) akaja akaifungua ile kamba. Punda baada ya kujiona yuko huru, akaingia kwenye shamba na kuanza kula kila kitu.
Mke wa mwenye Shamba (Mke wa mkulima) akahofia Punda anataharibu kila kitu, hivyo akachukua bunduki, akamuua yule Punda...
Nasikitika hadi Kushangaa kuona Watanzania tukijikita zaidi katika Kupambana na Rushwa ya Ngono kwa Wahadhiri wa Chuo dhidi ya Wanafunzi wa Kike Vyuoni huku tukilisahau eneo lingine Muhimu.
Sasa leo nawataarifu kama kuna Sekta ambayo kwa miaka ya hivi karibuni kama Miaka Kumi inaongoza kwa...
Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
NA PILI MWINYI
Hakuna ubishi kwamba China sasa ni nchi yenye nguvu kubwa duniani. na ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani. Kwa nchi nyingi, kutoka Asia, Afrika hadi baadhi ya sehemu za Ulaya, China imekuwa mshirika muhimu na mkubwa wa kiuchumi. Mwaka 2009, China iliipindua Marekani na...
Katika zama hizi tunapaswa kuwa makini Sana na ila za movu shetani kupitia akili za wanadamu wenye madaraka. Mahakama ya mafisadi katika kesi ya Mbowe na wenzake naona kuna Askari wamewahi ndani kukaa raia wasipate nafasi za kukaa, wanaulizwa wanadai Wana haki yakusikiliza kesi na raia...
Mbunge wa Bumbuli January Makamba alikuwa Waziri wa Mazingira katika serikali ya awamu ya 5 kwa miaka minne mpaka alipotenguliwa mwaka 2019.
Inasemekana January Makamba kwa kuwa alikuwa Waziri wa Mazingira kwa hiyo kimya kimya alikuwa anapinga mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa eti utasababisha...
Hivi eti wachawi wanaweza kuzulika kwa kukanyaga mitego ya panya pindi waingiapo kimiujiza kwenye majumba yetu
Halafu kwa nini wachawi hawaonekani kwenye CCTV camera
Nimeshangazwa sana na Ndg. Gerson Msigwa kunaswa na mtego huu.
Sina hakika kama kafanya hivi makusudi akiwa anajua uhalisia, ama anajua huu ndiyo uhalisia.
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Sasa Msemaji Mkuu wa Serikali ameshindwa kuona kwamba hii video imetengenezwa tu kwa...
Salaam wana jukwaa!
Miaka ya nyuma nikiwa shule nilikuwa na mpenzi (ambae tulianza mahusiano tukiwa kidato cha 3), huyu mpenzi alinipenda kwa kuwa nilikuwa napata mia kwenye hisabati na fizikia na kemia na bayolojia n.k
Tuliishi kikavu kavu mpaka kidato cha 4 tukamaliza bila kutikisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.