mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbowe anawachezea akili vijana wake wa CHADEMA, mwisho wa siku wataangukia kwenye mtego wake

    Baada ya hotuba yake kwenye mazishi ya Mzee Mtei (RIP), vijana wengi wanaonekana kukoshwa na hotuba hiyo, wengine wakimpongeza kwa hashtags kwenye social media. Wengine wanaona kama ni mwelekeo mzuri wa Mbowe kurudisha heshima iliyotetereka ndani ya chama chake cha CHADEMA kwa siku za hivi...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

    Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania? Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

    Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunawindwa kwenye suala la dini, mtego wake hauna mshindi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema. Akizungumza na wananchi wa...
  5. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

    My people, Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati...
  6. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania D25 ni mtego mwingine kwa Chinjachinja, asivyo na akili atauvaa kama ulivyo

    It's very unlikely hiyo D25 kwa watu kotoka na kuandamana kwa wingi kama ilivyokuwa O29. Ila hilo ndio lengo halisi, serikali ijitutumue kisha ionekane inakandamiza haki za wakristo, siku ya Krismasi wamefungiwa ndani. Ukisoma kwa makini matamko ya serikali ya Marekani pamoja na baadhi ya...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mtego wa maandamano ya amani leo D9

    Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili maandamano haya yawe ya amani na kusiwepo uharibifu wa mali na miundombinu.. Vibaka na wezi wameshapewa onyo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  9. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tusikubali kuingia kwenye huu mtego wa CCM

    Kukubali kushindwa ni hatua moja ya kuwa mshindi wa kweli. Ni njia ya kujifunza, kukua, na kuona mambo ambayo zamani hukuweza kuyaona. Katika nchi hii, hakuna chama kikubwa na chenye historia ndefu kama CCM. Tunaweza kukosoa, tunaweza kulalamika, lakini ukweli unabaki kwamba CCM imejenga...
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania D9 ni Mtego mwingine kwa Polisi na Vyombo vya Dola?

    D9 Police inatakiwa Disiplini yetu iwe juu nidhamu ya hali ya juu sana huu ni mtego kwenu. Tumeona mauji ya October 29 police na vyombo vya dola vimefanya mauaji makubwa ya watoto...
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Kumbe NO REFORM NO ELECTION ulikuwa ni mtego ?

    Nimepewa taarifa muhimu na mtu muhimu Sana ndani ya TISS Kwamba no reform no Election ulikuwa ni mtego kwa Samia baada ya kushauriwa apumzike 2025 kugombea. Sasa anasema kweli kanasa kwenye mtego huo na jamaa anasisitiza Hana chake baada ya mwezi huu kuisha. Anasema Lissu na Mange Sasa Tesha...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Yanga tumeshaingia kwenye mtego wa wachambuzi uchwara tayari

    I salute you kinsmen. Rejea uzi wangu uliopita niliposhauri kuwa tatizo la yanga hasa ni mkurugenzi wa ufundi bwana Moalim aliyeondoka.. Leo najaribu kuelewesha deep sana. Well let's goo. Huyo bwana kitaalamu ni kocha kabisa na ana vigezo vya kusimama kwenye pitch line. Huyu alikuwa na...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Ile Oktoba 17 Israel ilishirikiana na Hamas wasio waaminifu kufanya ule Mtego

    Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu. Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Makubaliano kati ya DRC na Rwanda, bado kama mtego tu

    You neutralize the FDLR, Rwanda lifts its defense measures. As for the M23, there is the Doha process between Kinshasa and the M23. Kwa miaka kadhaa, inasemekana FDLR walishaingizwa kwenye jeshi la DRC. Na intelligensia ya Rwanda, inazo taarifa kamili na majina. Rwanda inadai kwanza, FDLR...
  17. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini barabara ya coco beach ni mtego wa kifo (death trap)

    Habari za jioni ndugu na dada zangu Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho. Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana...
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Huu ni mtego au mthiani?

    Nimemtongoza mdada mmoja At the first time alinikataa akasema tayari ameolewa Sikukata Tamaa mara ya pili tena nimemtongoza amesema ana mimba. Nikamuuliza mimba ya nani akasema mwenye mimba amekataa.. Kwa kumpima tu nikasema ntalea mimba Fanya mtoto awe wangu. Akasema sawa na amekubali Ila...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

    Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni. Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yanaandaliwa Mazingira ya kufungia Mikutano ya 'No Reforms, No Election'. CHADEMA msiingie kwenye mtego

    Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa. Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya...
Back
Top Bottom