Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,758
- 11,731
Kuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti.
Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu wanachadema huu ni mkakati wa kuwagawa.
Kinachotafutwa hapa ni kuwagawa na kupoteza imani dhidi ya raia, mmewashika pabaya, mtego wa October 29 wanatokaje?
Vichwa vinawawaka moto wamefanya kila namna ila wapi raia wamekaza, nina wasiwasi na hao waliorudi kundini, huenda kunamkakati maalumu dhidi yao. Msilale wenzenu wanahaha. Over