mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maadili na uwajibikaji ukokotezwe katika utamaduni wa Mtanzania kustaarabisha mifumo ya kisiasa na kijamii nchini

    UTANGULIZI Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mfumo wa maisha, hakuna namna mtanzania ataacha kujihusisha na siasa.Tuwaache waongee,wakosoe. Uzalendo na maslahi ya taifa yazingatiwe

    Wanabodi Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kauliza swali, sikia alivyojibiwa!

    Kwa nini wanatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye sheria? Mtanzania kajibiwa; Kwani walipomtuma Kitenge na Zembwela Dubai wale ni wana Sheria? Au walipomtuma Msukuma class seven B aite waandishi wa habari kuelezea Dp wedi,kwani Msukuma ni mwanasheria? Nchi kuna maigizo hata kwa vitu...
  4. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Naanzisha vita Rasmi na huyu jamaa anayejiita GENTAMYCINE

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani...
  5. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mtanzania afutiwe Kodi za Ardhi na Majengo

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada viwanja/nyumba ambazo hazazijalipiwa, ni Watanzania wangapi watakosa makazi na kwenda kuishi mitaani? Sipati...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wajitokeza kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari

    Wananchi wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari iliyofunguliwa na wanasheria Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip Mwakilima, wakisema mkataba huo hauna maslahi kwa Taifa na haujashirikisha maoni ya Watanzania ili...
  7. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni kutoka Mtanzania anayeishi Dubai

    Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni. Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli. Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
  8. Mag3

    JamiiForums Tanzania Bila aibu wala woga, CCM yaitangazia dunia kuwa hakuna Mtanzania mwenye uadilifu!

    Baada ya CCM kuitangazia dunia... Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu! Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo, Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

    Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaji aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabidi achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia...
  10. MulegiJr

    JamiiForums Tanzania SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kila Mtanzania anapozaliwa anakuwa mwana CCM

    Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
  13. DON YRN

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya ya mtanzania mikononi mwa baba na mama ntilie

    Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na magonjwa, yapaswa azingatie kula vyakula vyenye virutubisho vyote kama protini, wanga, mafuta. Anatakiwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Gibson Kawago kuwania Tsh. Milioni 74.7 za Royal Academy of Engineering ya Uingereza

    Nyota ya Mtanzania, Gibson Kawago imeendelea kung’ara baada ya kutajwa katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya ubunifu katika uhandisi Afrika inayoratibiwa na Chuo cha Uhandisi cha Uingereza - Royal Academy of Engineering. Wabunifu watatu wengine wanatoka Nigeria, Afrika Kusini na Uganda...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kwa kila Mtanzania kuchukua jukumu la kujilinda dhidi ya Mashambulizi ya Kimtandao

    Mashambulizi ya kimtandao ni jambo la kawaida katika enzi hizi ambapo teknolojia ya habari na mawasiliano inakua kwa kasi. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta faida kubwa katika maisha yetu, lakini pia yameleta changamoto na tishio la usalama wa kimtandao. Teknolojia inaendelea kuwa sehemu...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu ni Muhimu Kulindwa kwani Zinahakikisha Usawa, Heshima, na Hadhi ya kila Mtanzania

    Haki za binadamu ni msingi muhimu katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ukiukaji wa haki za binadamu si jambo la kuchukulia mzaha, na inahitaji tahadhari na hatua thabiti. Katika muktadha wa Tanzania, takwimu zinaonesha umuhimu wa kukabiliana na suala hili kwa dhati. Katika Ripoti ya Haki za...
  17. Joannah

    JamiiForums Tanzania Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

    Jamani kwema? Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee ni Mtanzania? Mbona huwa anatrend sana?

  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tubadilike siyo lazima Nahodha wa timu awe Mzawa

    Kumekuwa na huu utaratibu wa muda mrefu wa timu za Simba na Yanga kuhakikisha nahodha na wakati mwingine nahodha msaidizi ni Watanzania. Sijajuaga dhana hii ilijengwa kwa sababu gani ila naona ilishapitwa na wakati. Kuna vigezo inabidi tuvizingatie katika kuchagua nahodha wa timu, kikubwa...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania ajivunie IKULU mpya ya Chamwino

    Jumamosi, tarehe 20 Mei 2023 Tanzania, imeandika historia nyingine kubwa katika Bara la Afrika na duniani. Ni kwa kuzindua Ikulu mpya katika Makao makuu ya nchi, Dodoma. Ikulu mpya ya Chamwino ilizinduliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, huku wageni mbalimbali wakishuhudia. Ni Ikulu ya...
Back
Top Bottom