mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekutwa amefariki Marekani mwaka 2020 abainika alikuwa Mtanzania

    Wapelelezi nchini Marekani wamefanikiwa kuutambua mwili wa kijana aliyekutwa amefariki dunia kwenye fukwe huko Galveston sland, Texas miaka mitatu iliyopita. Polisi wa Galveston wameutambua mwili huo ulikuwa wa Calvin Mbwambo (26), na kudai kuwa ni Mtanzania aliyekuwa masomoni nchini Marekani...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mtanzania apeperusha vema bendera ya Taifa kwenye Boston Marathon. Ashika nafasi ya 2

    Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani Geay alifanikiwa kumaliza mbio baada ya saa 2:06:04 akimaliza nyuma ya kinara, Evans Chebet kutoka Kenya aliyekimbia mbio...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Elizabeth M. Mrema atajwa na TIME kwenye orodha ya Watu wenye Ushawishi Duniani

    Jarida la TIME limetoa orodha ya Watu 100 Mashuhuri wenye ushawishi zaidi duniani ambapo katika orodha hiyo ametajwa Elizabeth ambaye ni Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Mkataba wa Biolojia Anuwai wa Umoja wa Mataifa (UN). Pia wametajwa, Waigizaji Michael B. Jordan, Shah Rukh Khan, Colin...
  4. Seth saint

    JamiiForums Tanzania Habari kwako ewe Mtanzania

    Habari za wakati huu wana wa Adamu, wana wa Ibrahimu baba yetu wa imani. Nipo hapa kukupa ujumbe ewe ndugu yangu kuwa ni wakati sasa tunahitaji kufanya mabadiliko katika mienendo yetu na maisha yetu hapa duniani. Ni kipindi sasa tunashuhudia matukio mengi hapa duniani ambayo hakuna ajuaye nini...
  5. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada, Naulizia power tiller zuri,lenye nguvu kwa pesa ya Mtanzania

    Wasalaam.. Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa.. Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na baada ya kufika shambani kutazama shamba nasikitika tu, mazao ni kidogo mno, nimewaza huwenda nyenzo...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watanzania Jessica Mshama na Isaack Buhiye watajwa Forbes Under 30

    Jarida la Forbes katika toleo lake la 9 limetoa orodha ya ‘FORBES AFRICA 30 Under 30’ Vijana 30 wenye ushawishi mkubwa Barani Africa kwenye Sekta za Ujasiriamali, Uvumbuzi na Uongozi ambao unakuza uchumi na unaongoza mustakabali wa Afrika ambapo Tanzania imeingiza Vijana wawili akiwemo Mtanzania...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania inamilikiwa na nani. CCM, Dola, au kila Mtanzania?

    Kuna wakati nawaza sana kuwa nimo kwenye nchi ambayo sijui kama mimi ni mmiliki wake ama nani ndiye anayeimiliki. Nadharia ziko nyingi lakini sijaona hata moja inayonifanya nijue nani hasa ni mmiliki wa hii nchi ninayoishi. Kila siku nikiwaza umiliki wangu kwa Tanzania nautilia shaka sana...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii Timu Imechaguliwa kwa Ubaguzi sana, Alafu kuna Mzungu Mtanzania!

    Naichungulia timu ya Taifa inayokipiga muda huu, siwaoni wachezaji wa timu unayosema ni bora humo, lakini naona kuna mchezaji wa kizungu huyu au ni macho yangu mabovu!. ☝🏾Picha zingekuwa zinafunga magori nadhani Uganda ingeona cha mtema kuni.
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuwatambua watu wenye ulemavu wa viungo waliofanikiwa ili kuwatia moyo wengine wasikate tamaa

    Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa. Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana nafuu, bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Abdallah Posi, Albino flani (R.I.P), n.k. Ila sasa kuna...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

    Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni.. Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south...
  12. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Uzalendo kwa Mtanzania ni mtoto wa nje ya ndoa

    Nikiwa naendelea subiri mzigo wangu Kariakoo, ngoja niwape nondo moja. Je, upo tayari kupigania nchi yako kwa jasho na damu endapo kuna adui kaingia? Je, unahani una sababu yeyote ya kupigania nchi hii? Kama unasoma nakala hii na kujibu "ndio," naona kabisa akili inasaliti moyo. Moyo unasema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hasara ipi ningepata nisingekuwa Mtanzania?

    Nimekuwa najiuliza ni hasara ipi ningeweza kupata nisingekuwa Mtanzania au ni faida gani special ambazo napata kuwa Mtanzania. Nikitazama maisha ya nchi nilizowahi kupita naona zina fursa zaidi ya Tanzania kwa utafutaji mfano Malawi, Zambia, Botswana, South Africa, huku biashara zinalipa kuliko...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri. Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa Hii ni kinyume na katiba. 👇
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Adaui wa mwafrika na mtanzania ni wivu na roho mbaya.

    Hey
  16. R

    JamiiForums Tanzania HANDSHAKE Kati ya Raila na Ruto anasukumwa na nguvu ya umma, handshake ya CCM na CDM inasukumwa na ulaghai wa dola au utashi wa kiongoz aliyepo juu

    Watanzania wengi wanafuatilia siasa za Kenya kuliko siasa za Tanzania. Kenya wanao Uhuru wa kufanya siasa na uchakachuaji WA matokeo hakuna kama ilivyo Tanzania. Tanzania watumishi WA umma wanafundishwa kuheshimu chama tawala wakati Kenya watu wa umma wanafundishwa na katiba kujitenga na siasa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chuo fulani Kilichoungua leo kina Kashfa Nzito, ila Kinalindwa na Mtanzania Muhimu sana

    Mmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na...
  18. The Boss

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?... Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
  19. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

    Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani. Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Wanaojua Dkt. William Mtanzania wa USA. Je, Profile picha ni yake?

    Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William. Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah...
Back
Top Bottom