mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu...
  2. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je, we Mtanzania kwanini unaichukia sana Hamas?

    Wana Bodi, Matumaini yangu kuwa nyote hamjambo! Swali langu lipo hivi wewe mtanzania kwanini unaichukia Hamas?Ni maslahi yapi unapata kwa kuichukia Hamas? Na kwanini usiichukie Israel kwa kuvamia Palestine kwa nguvu wakati kiukweli ardhi ni ya wa Plestina. Wapelestina wakidai wanashushiwa...
  3. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ya mtanzania yapigwa MTV BASE

    Ni ngumu sana kuona kwenye channel za wenzetu wakipiga ngoma zetu za kibongo yaan labda ya msanii mkubwa Sana Africa na sehem zingine duniani. Sisi channel zetu zinaweka sana utimu mbele na kupiga ngoma za wanaigeria,wamarekani na kudidimiza sanaa ya bongo na ndy maana wasanii wanawaiga...
  4. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo.. "Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Haki ya kutoa maoni ni haki ya kila Mtanzania kulingana na katiba ya nchi

    Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni. Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri. Katika Katiba...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ukimkuta mtanzania anaitetea CCM ujue anakula na kuishi CCM, ila ukimkuta mpinzani anatetea haki na hali Upinzani.

    Tutafakari haya maelezo.
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Nilikutana na mtanzania mwenye logic za ajabu nikabaki mdomo wazi.

    Huyu ndugu tunajuana hapa na pale. Ila nilikuja kugundua ana logic za ajabu sana na za kushangaza. 1. Kuhusu UTI. Anadai kuwa kwenye vyoo vya umma wanaume wanapata UTI wakati wa kujisaidia haja ndogo. Kwamba unapokojoa mkojo unaruka kutoka kwenye sinki na kuingia kwenye njia yako ya mkojo. Huo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ninajivunia kuwa Mtanzania

    1. Amani, 2. Uongozi Bora, 3. Siasa Safi, 4. Demokrasia. NB: nadra Sana kupata tunu hizi Kwa nchi nyingi Kusini MWA jangwa la Sahara. Mfano Somali, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Burundi, Rwanda, Niger, Mali, Burkina Faso n.k
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ijue Artificial Intelligence aliyoiunda Mtanzania KitongaAI

    Mtanzania, Elias Patrick kutoka ameunda Kitonga AI ambayo inafanya kazi kwa namna ambayo AI nyingine zinafanya kazi. App yake inapatikana playstore na appstore kwa kuweza kuitumia. Moja ya tofauti ya Kitonga AI na AI nyingine ni kuwa yenyewe inaweza kufanya kazi kwa Kiswahili. Kitonga, Elias...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

    Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
  11. uran

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

    Wakuu hebu tujibu hili swali, Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu? Kama unajua litaje. Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha yetu. Kuangalia (kucheck) ni gharama ndogo sana. Btw who is your blood group partner here JF...
  12. Tawire

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania anafanya kazi Canada?

    Kama kuna Mtanzania anayefanya kazi Canada, tafadhali naomba tuwasiliane, kuna moja na mbili za huko naomba kufahamishwa.
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Wa/Mtanzania ni miongoni waliopata maafa ya hamas uko Israel

    Hatujui zaidi kuhusu kama wamekufa, kujeruhiwa au kutekwa ila kama kuna mtu mwenye kumjua au kuwajua watu hawa atupe updates.
  14. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Tumsaide huyu mtanzania mwenzetu

    Ni mtumishi wa umma. Mshahara umeingia kupitia ac ya bank flani naihifadhi. lakini ukawa na nyongeza ya shilings kiasi cha milioni plus. Kutokana na hicho kiasi kilichongoozeka akaunti yake imeshikiliwa. Hawezi hata kuangalia salio. Kila alipokuwa anaenda kuwaomba waachie account yake ni...
  15. Candela

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtanganyika kufungua duka Zanzibar

    Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business. Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ushelisheli: Mtanzania awekwa Mahabusu akihusishwa kumsaidia Mpinzani kwenye masuala ya Uchawi

    Ni Patrick Herminie, kiongozi wa Chama cha United Seychelles ambaye ametajwa kuwa tishio kwa Rais Wavel Ramkalawan anayehifia kuondolewa Madarakani baada Herminie kuonesha nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Waendesha mashitaka wamesema jina la Herminie lilipatikana kwenye...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kujiita Mtanzania

    Naona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi nyingine kuwa natoka nchi yenye matatizo yanayosababishwa na ujinga wa baadhi ya viongozi
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande: Mtanzania Aliyeongoza Taasisi 3 Nyeti ndani ya saa 96

    Ikumbukwe kuwa aliteuliwa mnamo 25/09/2021 kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO Na ndani ya saa 96 zilizopita ndugu Maharage Chande ameongoza taasisi 3 nyeti. 1. TANESCO 22/09/2023 (cheo cha awali) 2. TTCL 23/09/2023 (cheo kipya) 3. TPC 25/09/2023 (cheo kipya kabisa) Nahisi ana kitu unique sana...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Maskini wenye hasira kali Zambia wamuua kwa kumchoma moto Mtanzania

    POLISI ZAMBIA wamethibitisha kifo cha Mfanyabiashara maarufu wa Nkeyema, Zambia, Sikaonga Ernest almaarufu Yakaipa na rafiki yake David Mwakyoma Mtanzania aliyechomwa moto na kundi la maskini wenye hasira kali. Wawili hao wameuawa katika Wilaya ya Mumbwa na kundi la maskini wenye hasira kali...
  20. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya R 4 za Rais Samia inakupa Mtanzania uhuru wako wa kweli

    Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi". Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania...
Back
Top Bottom