mtandao

  1. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtandao maarufu wa WhatsApp GB hii kitu kitaalamu inakaaje

    Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa mtandao wa www.dq-video.xyz unaohusu malipo baada ya kutazama video

    Habari wakuu? Ningependa kufahamishwa juu ya huu mtandao unaohusika na malipo ya USD 400 baada ya kutazama video online kama ni halali au utapeli. Yeyote mwenye ufahamu wa huu mtandao naomba anipe maelezo.
  3. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania TCRA fuatilieni matapeli wa mtandao wanaojiita" Digital Master"

    Kumeibuka kikundi cha watu wanaojiita Digital Master kikiongozwa na mtu anaejiita Saidi Mbondela jijini Daresalaam ambao kazi yao ni kutangaza wana uwezo wa kutengeneza programme katika simu kwaajili ya kufuatilia message, na simu za watu,aidha mtu huyo mwenye namba 0757039596 anakuhitaji...
  4. leonaldo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

    Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu. Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia...
  5. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia fahamu kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa elimu, Wakuu wa wilaya na walimu wakuu wana mtandao wa wizi wa pesa za madarasa

    Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa watendaji wakuu wilayani na halmashauri. Wizi mkubwa ni wa Sementi, mbao na mabati kiasi kwamba...
  6. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Fursa ni lazima uwe Fursa

    Ukiitiwa Fursa Ujue wewe ni Fursa. Je umewahi kuitiwa Fursa?Je umewahi kujiuliza kama ni fursa kweli kwa nini haitumii mwenyewe?Je umekuwa mtu wa wasi kila mara unapoona fursa na kuhisi kuwa unapoteza?Kama jibu ni Ndio Basi hauko peke yako.Wako wengi sana ambao wamejikuta katika mtego huo ni...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

    Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia? Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria...
  8. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Mtandao Judiciary mnazingua sana! Mtandao haupatikani, nyaraka zina 'limitation of time' na hawapokei 'hard copies'

    Mahakama wanajifanya wapo vizuri kimtandao, wanataka nyaraka zote tusajili mtandaoni, lakini shida, mtandao wao upo low na tangu asubuhi haupatikani, na wametoa maelekezo hakuna kupokea hard copy. Ajabu yake baadhi ya nyaraka tunasajili ziko na limitation of time na hawapokei hard copies...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Telecom ya China yatoa huduma bora yenye bei rahisi ya mtandao nchini Kenya

    Kampuni ya Telecom ya China ni moja ya kampuni tatu kuu ya TEHEMA nchini China. Katika miaka ya hivi karibuni kampuni hiyo pia imeanzisha shughuli katika nchi mbalimbali barani Afrika, na kutoa hoduma bora yenye bei rahisi ya mtandao katika nchi hizo. Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Duru za biashara za mtandao: Kuna dalili za watu kulizwa huko kwenye soko la forex, wajuzi wa haya masuala njooni huku

    Wakuu hii nawaletea baada ya dogo fulani kunitafuta huku amefura analalamika ameingia kwenye biashara ya kudownload pesa na kampuni fulani inaitwa 360 Capital na kushindwa kutoa pesa zake. Nikazama kwenye mitandao ya kijamii na kuitafuta kiundani maana jina lake ni kama niliwahi kulisikia...
  11. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Sitakaa nihame mtandao wa Tigo!

    Kwa kweli napata unafuu sana kwa upande wa Internet. Hizi Gb zote zinaningoja tu mimi nizipasue pasue mitandaoni Tuma neno BURE kwenda namba 15166 Unaweza pata hio ofa, 5.5GB for 14days kila mwezi NB: Ukihitaji viwanja ama nyumba za kununua kwa.mikoa ya Mwanza na Dar usisite kunicheki. Namba...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam

    Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia. Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba contacts zao.
  13. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

    Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa. Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
  14. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo na JF ni underrated. Wapewe heshima wanayostahili, wao ni zaidi ya akina tiGO, Voda na wengine

    Ki ukweli Melo na JF kwa ujumla ni wadogo sana ukilinganisha na akina Tigo, Voda na wengine. Lakini hawa Jamaa pamoja na udogo wao wamepambana waziwazi mahakamani kulinda faragha ya watumiaji wa mtandao wao. Hawa Jamaa wamepambana uso kwa uso na Polisi. Wamepambana uso kwa uso mahakamani...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nadhani wanaoendesha Mtandao wa Airtel wameshachoka kwa sasa

    Yaani nipo maeneo ya Tabata ukipita KB kuna car wash huku kila napokuja mtandao hausomi 4G. Unasoma 3G na sometime Edge kabisa. Inashangaza sana kwa Mtandao mkubwa kama huu. Nimewahi kutana na kadhia hii pia maeneo flani ya Banana. Tigo unakuta inasoma 4G but airtel 3G. Je ni kwamba...
  17. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Mtandao wa Instagram, umeshawahi kukumbana na hili?

    Habarini wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikilog in wanataka niverify kama akaunt ni ya kwangu, kwa hio wanatuma verification code kwenye namba ambayo nishaipotezaga Na hamna option nyingine ya kupata hizo code. Msaada kwa anae fahamu jinsi ya kusolve hilo🙏🏽
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Huku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
  19. C

    JamiiForums Tanzania Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.

    Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify. 1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M 2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M 3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M 4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani una bando nzuri kwa USIKU

    Habar wadau nimekwama hapa Kuna file lima 60 GB nataka kulidownload halotel 1500 unapata GB 5 Total 18000 Wapi nafuu niende
Back
Top Bottom