Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada.
Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
Habari wakuu?
Ningependa kufahamishwa juu ya huu mtandao unaohusika na malipo ya USD 400 baada ya kutazama video online kama ni halali au utapeli.
Yeyote mwenye ufahamu wa huu mtandao naomba anipe maelezo.
Kumeibuka kikundi cha watu wanaojiita Digital Master kikiongozwa na mtu anaejiita Saidi Mbondela jijini Daresalaam ambao kazi yao ni kutangaza wana uwezo wa kutengeneza programme katika simu kwaajili ya kufuatilia message, na simu za watu,aidha mtu huyo mwenye namba 0757039596 anakuhitaji...
Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu.
Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia...
Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa watendaji wakuu wilayani na halmashauri. Wizi mkubwa ni wa Sementi, mbao na mabati kiasi kwamba...
Ukiitiwa Fursa Ujue wewe ni Fursa.
Je umewahi kuitiwa Fursa?Je umewahi kujiuliza kama ni fursa kweli kwa nini haitumii mwenyewe?Je umekuwa mtu wa wasi kila mara unapoona fursa na kuhisi kuwa unapoteza?Kama jibu ni Ndio Basi hauko peke yako.Wako wengi sana ambao wamejikuta katika mtego huo ni...
Inawezekana vipi 'Wanamume' wameumia Darasani huko UDSM, SAUT na Mzumbe halafu Wewe uliyesoma OUT ( hapo Biafra ) na Kupata Degree ( Shahada ) yako tukikutana Vijiweni uwe na la Kuchangia?
Elimu ya Masafa 'inamheshimisha' Mtu kweli au ndiyo labda 'inamdharaulisha' mbele ya wale Waliohudhuria...
Mahakama wanajifanya wapo vizuri kimtandao, wanataka nyaraka zote tusajili mtandaoni, lakini shida, mtandao wao upo low na tangu asubuhi haupatikani, na wametoa maelekezo hakuna kupokea hard copy.
Ajabu yake baadhi ya nyaraka tunasajili ziko na limitation of time na hawapokei hard copies...
Kampuni ya Telecom ya China ni moja ya kampuni tatu kuu ya TEHEMA nchini China. Katika miaka ya hivi karibuni kampuni hiyo pia imeanzisha shughuli katika nchi mbalimbali barani Afrika, na kutoa hoduma bora yenye bei rahisi ya mtandao katika nchi hizo.
Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye...
Wakuu hii nawaletea baada ya dogo fulani kunitafuta huku amefura analalamika ameingia kwenye biashara ya kudownload pesa na kampuni fulani inaitwa 360 Capital na kushindwa kutoa pesa zake. Nikazama kwenye mitandao ya kijamii na kuitafuta kiundani maana jina lake ni kama niliwahi kulisikia...
Kwa kweli napata unafuu sana kwa upande wa Internet.
Hizi Gb zote zinaningoja tu mimi nizipasue pasue mitandaoni
Tuma neno BURE kwenda namba 15166 Unaweza pata hio ofa, 5.5GB for 14days kila mwezi
NB: Ukihitaji viwanja ama nyumba za kununua kwa.mikoa ya Mwanza na Dar usisite kunicheki.
Namba...
Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia.
Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba contacts zao.
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
Ki ukweli Melo na JF kwa ujumla ni wadogo sana ukilinganisha na akina Tigo, Voda na wengine.
Lakini hawa Jamaa pamoja na udogo wao wamepambana waziwazi mahakamani kulinda faragha ya watumiaji wa mtandao wao.
Hawa Jamaa wamepambana uso kwa uso na Polisi.
Wamepambana uso kwa uso mahakamani...
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz
1. Diamond Platnumz - 33.6M
2. Rayvanny 20.9M
3. Alikiba 13.6M
4. Harmonize 11.8M
5. Zuchu 11.4M
6. Mbosso 11.3M
7. Lavalava 4.77M
8. Nandy 4.73M
9. Macvoice 3.1M
10. Marioo 2.9M
Yaani nipo maeneo ya Tabata ukipita KB kuna car wash huku kila napokuja mtandao hausomi 4G. Unasoma 3G na sometime Edge kabisa. Inashangaza sana kwa Mtandao mkubwa kama huu.
Nimewahi kutana na kadhia hii pia maeneo flani ya Banana. Tigo unakuta inasoma 4G but airtel 3G.
Je ni kwamba...
Habarini wana jamvi,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nikilog in wanataka niverify kama akaunt ni ya kwangu, kwa hio wanatuma verification code kwenye namba ambayo nishaipotezaga
Na hamna option nyingine ya kupata hizo code.
Msaada kwa anae fahamu jinsi ya kusolve hilo🙏🏽
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.
1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M
2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M
3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M
4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.