Mtandao pekee wenye huduma nzuri zaidi za malipo kwa wafanyabiashara na wauzaji Tanzania.

Aug 24, 2021
27
16
Sokokuu online ni mtandao unaouza vitu online kwa mfumo mpya na wa tofauti kabisa. Na mfumo huo upo ivo ili kumrahisishia mteja namna ya kununua vitu mtandaoni.

Kwanza Sokokuu online inakupa uhuru. Wa kuweka bidhaa zako mwenyewe na kupanga bei ndani ya Dashboard yetu. Hii inakuhakikishia kuwa sokokuu ndio best online shopping Tanzania.

Kwa sababu unakutana na wafanyabiashara ambao. Wameshasajiliwa kabisa kuwa wao ndio watakao shindana kwa kukufikishia bidhaa zenye ubora.

Nikimaanisha kuwa mfanyabiashara yeyote anaekidhi vigezo. Anaweza kujiunga kwenye tovuti yetu ya sokokuu online ili kuanza kuweka bidhaa zake.

Inafahamika kuwa tumekuwa tukitumia mitandao mbali mbali. Ikiwemo facebook,Whatsup na mitandao kama kupatana. Ili tuweze kuweka bidhaa zetu online na zifikiwe na watu wengi.

Lakini mara nyingi inaonesha kuwa inachukuwa mda mrefu. Sana kuweza kupata mteja wa kweli mtandaoni. Na wengi wanaojifanya wateja huwa. Wanakuwa labda wanaulizia tu na kuondoka.

Au utakuta wanakuwa na wasiwasi flani kuhusu ubora wa bidhaa zako. Na uaminifu wako wewe kama muuzaji. Na mfanyabiashara. Izi zote ni tabia za mtu ambae anataka kununua vitu online.

Pia tujiulize kwamba ni kitu gani kinafanya wateja wanaotaka kununua. Vitu mtandaoni kuwa na tabia kama izo?. Na kitu gani kifanyike ili kuweka urahisi. Zaidi wa maamuzi kwa mteja anaetaka kununua bidhaa?.

Ikiwa ni wakati wa mteja kutaka kununua. Bidhaa aliona mtandaoni. Huwa kwanza anataka kuwa na uhakika. Kwamba anachokifikiria kununua. Kipo sawa na mtarajio yake?

Ndio maana mara nyingi huwa tunatumia picha. Kuonesha mteja kumuonesha bidhaa kabla hajapanga kuinunua.

Wateja sa nyingine huwa hawaaminishwi tu na picha. Lakini pia ni utofauti ulionao katika kutangaza vizuri bidhaa zako. Na ukiwa unatumia kabisa tovuti yako ya online shopping unakuwa unawaongezea wateja Imani katika kununua bidhaa zako.

Kitu kingine kinachofanya wateja kutokuwa na utayari wa kununua bidhaa online. Ni uhakika kama ile bidhaa itawafikia vizuri na kwa usalama.

Ndio maana Kwa kupitia Sokokuuonline. Ukiwa mteja wetu na kuanza kuagiza bidhaa tutakusafirishia mpaka pale ulipo.

Na kwa wale wateja ambao watakuwa waaminifu wataanza. Kupata punguzo zuri la bei ambalo litawapelekea kuongeza kasi. Ya kuagiza na kuongeza faida katika kazi zao.

Sokokuuonline ni online shopping website inayokuwa kwa kasi sana.

Na kutokana na waliojiunga kuendelea kuongezeka. Kilasiku wengi wao wakiwa ni wafanyabiashara wakubwa. Tunakuhakikishia kuwa utapata bidhaa ambazo ni bora na zenye ufanisi wa hali ya juu.

Kitu kingine kinachofanya wateja wasiwe tayari kununua bidhaa online. Ni ugumu uliowekwa katika kufanya malipo.

Mteja huwa akishafanya malipo anakuwa katika kipindi flani. Akijiuliza kichwani kwake je ni lini mzigo utanifikia?

Na je mzigo utakaofika utakuwa ndio wenyewe? Lakini kwa kutumia tovuti ya sokokuuonline co tz. Utapata uhakika Zaidi wa kusafirishiwa mzigo wako. Ukiwa sehemu mbali mbali za Tanzania.

Urahisi huu upoje na unauhakika kiasi gani?​


Kwanza Sokokuuonline shopping imeunganishwa na. System nzuri sana inayokuhakikishia swala zima la usafirishaji. Linafanyika vizuri. Na ukishafanya malipo kwa njia ya mitandao ya simu.Au njia zingine zote za malipo tulizoziweka. Utakuwa na uhakika wa kufikishiwa bidhaa yako hadi mlangoni.

Kingine kinachotofautisha sokokuuonline na online shopping yeyote ile. Ni ubora wa bidhaa ambazo zimewekwa. Maana adi saivi tunajua kwamba unaweza kujiunga kama mfanyabiashara kwenye. Tovuti yetu ya sokokuuonline. Au unaweza kuingia kama mteja na kununua bidhaa kwa muuzaji yeyote.

Kitendo hiki cha kuwakubali wauzaji mbali mbali. Kimefanyika kwa ufanisi Zaidi ili kujua kwamba bidhaa zao ziwe ni bora na zina bei nzuri kwa wateja wetu.

Maswali 5 ambayo wateja wetu wamekuwa wakiuliza. Na majibu yake.

Njia gani ya malipo mnayotumia?​


Sokokuu online tunatumia mfumo wa malipo. Ambao unarahisisha Zaidi kulipa kupitia mitandao ya simu. Utaweza kutumia line yako ya voda ,Airtel Au tigo kuweka pesa taslimu na kufanya malipo. Kwa kitendo tu cha ku checkout (bofya lipa) utatumiwa ujumbe kwenye line yako. Kwamba je upo tayari kulipa jumla ya kiwango ambacho umechagua? Na ukiweka namba ya siri na kumalizia. Malipo tutapokea pesa yako kama kampuni. Na tutaishika mpaka uhakika wa wewe kupata mzigo wako. Pia na urahisi wa kukufikia uwe tayari. Ndio tunaanza kuutuma.

Kwa mara ya kwanza kabisa tunatumia system(njia). Ya malipo ambayo tumeitengeneza wenyewe kama kampuni. Ili kuweza kuongeza urahisi katika swala zima la kufanya malipo.

Zingatia kuwa ukishalipa pesa yako. Itakuwa kwenye mikono salama kabisa. Ya kampuni kabla hatujaifikisha kwa muuzaji ambae umenunua kwake.

Je Sokokuuonline shopping ni salama?​


Ndio ni salama kabisa, nikimaanisha kuwa. Ni sehemu pekee ambapo tuna kupa uhakika wa pesa yako. Kuwa ipo mikononi mwa watu wenye utayari wa kuendelea kufanya na wewe biashara.

Lakini pia swala la usalama kwenye usafirishaji. Tukiangalia usafirishaji wa bidhaa hauzingatii aina ya bidhaa inayosafirishwa. Ikiwa kwamba wasifirisha bidhaa wengi huwa hawatengi vizuri. Namna ya kusafirisha bidhaa. Mfano tunajua kuwa haitakiwi. Kusafirisha sehemu moja, nguo na bidhaa za majimaji.

Haya yote kwanzia swala la malipo na usafirishaji.Tumesha kurahisishia kwaio ni wewe tu kujiunga leo na sokokuuonline ili upate. Uwe na uhakika wa manunuzi yalio salama.

Bidhaa zenu zinatoka wapi?​


Kama nlivoeleza hapo juu bidhaa zetu zinatoka. Kwa wafanyabiashara mbali mbali wanaohitaji kuuza kwenye online shopping yetu. Ya sokokuuonline dot co dot tz.

Pia wafanyabiashara wenye bidhaa zenye ubora. Zaidi ndio walio sajiliwa hadi saivi. Ndani ya tovuti yetu ya sokokuu online.



Je uhakiki wa bidhaa unaotokana na wateja wetu adi sasa upoje?​


Hadi saivi tumegundua kuwa. Wateja wetu wanafurahia huduma zetu. Kwa maana wengi wamekuwa wakirudi mara kwa mara kuagiza kitu kingine, Na wateja wengi wameelekeza watu wao wenyewe. Kuja kununua vitu kwa kupitia online shopping yetu. Inayoitwa sokokuuonline.

Kama oda yangu hajanifikia nifanyaje?​


Ukitumia sokokuuonline kufanya online shopping. Pale tu utakapoweka oda. Pesa yako itakuwa ipo mahali salama. Nikimaanisha kuwa si rahisi mtu kutumia pesa yako na kukimbia. Kwaio uhakika wa oda yako kukufikia upo. Kwa asilimia zote maana. Wauzaji wetu ni waaminifu na wanahitaji kuendelea kufanya biashara Zaidi na sisi. Kitu ambacho kinawalazimu kufanya vizuri ili wapokee pesa zao na kuendelea kutengeneza mahusiano mazuri na sisi.

Kwaio kuna utofauti gani kati ya sokokuuonline na online shopping zingine?​


Kwa kumalizia kuhusu Sokokuuonline izi hapa sifa zinayoifanya. Iwe tofauti kabisa na online shopping zingine zilizopo Tanzania. Sifa kama kuwa na njia tofauti ya malipo kwa kupitia line zako za simu. Ambayo itarahisisha kabisa ufanyaji wa malipo online.

Kingine ni usalama wa pesa yako kabla ya mzigo wako kukufikia.​


Pia uwepo wa wauzaji mbali mbali wanaoweza kuendelea. Kuwa katika hali ya ushindani wa bidhaa bora na zenye uhakika. Kulinganisha na online shopping zingine ambazo wengi wao wanaweka. Vitu vya watu wachache ambavyo havina ushindani na havibadiliki.

Kwenye sokokuuonline pia kuna swala la usafirishaji. Kusafirisha bidhaa zako ukishaweka oda. Na mpaka mtandao huu tunauleta kwenu usafirishaji ilikua ndio moja ya kitu ambacho tulitaka kikae vizuri Zaidi. Pia na hudum bora na nzuri ya malipo.Tupigie kwa namba 0756 591 943/0655 591 943. kwa maswali na hoja yeyote.
 
Back
Top Bottom