mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. yasini jawadu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

    Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
  2. Herman Gx

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa 1,600,000 nataka kufungua biashara ya gesi naomba ushauri

    Ushauri naomba ndugu; mtaji ni 1.6m nimefikiria kuanza uwakala wa gas naomba ushauri labda nini tofauti na uwakala wa gas naeza fanya kwa maeneo ya Kigamboni.
  3. Mnyakyusa Ipinda

    JamiiForums Tanzania Ushauri - mtaji wa laki moja

    Wakuu habari za wakati huu, i hope mko wazima wa afya na mlio dhaifu basi Mungu awatie nguvu. Niende direct kwenye hoja yangu. Nimekua very broke kwa kipindi cha miezi michache tangu kibarua changu kipeperushwe na issue ya Corona, sasa nimepata kamtaji ka laki moja ninako hapa. Nahitajo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mtaji mkubwa kisiasa kuliko CCM na ACT wazalendo, ruzuku na madaraka visiwaondoe kwenye reli

    Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi. Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana. Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
  5. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Eneo la kufungua biashara ya huduma za ufundi simu, laptop, smart Tv nk kwa Dar kwa mwenye mtaji mdogo

    Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo? Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi...
  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CORONA isiwe mtaji wa kisiasa, hawakujali hata kama tungeisha wote

    Tusipotoshwe kua Korona haikua na athari, huende sisi tuliadhirika zaidi kuliko mataifa menginge ni kwa vile hatukua na takwimu za walipoteza maisha walizificha. Ni kweli tulimpoteza ndugu zetu wengi sana kwa gonjwa hili na kwa sababu haikuwekwa wazi basi wanaendelea kutotuambia ukweli. Sasa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ule mtaji wa 'vijana hawapigi kura' safari hii haupo

    CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa. Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika mikutano yao lakini vijana hawa hawapigi kura pale muda wa kufanya hivyo unapowadia. Dhana hii...
  8. Jacob wa bush

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli harusi ni mtaji?

    Niliwah kushiriki kwenye kamati ya harusi ya mtu Wang wa karibu, ilikua ni Mara ya kwanza kwangu kushiriki ktk kamati ya maandalizi ya harusi nilijifunza Mambo mengi lakin kitu kilichoniacha mdomo wazi ni gharama ya harusi kwa Zama hizi, budget ya harusi ilikua km hivi: *Mapambo mil 1 *Picha...
  9. SheriaE

    JamiiForums Tanzania Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

    Habari za uzima ndugu zangu. Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake : 1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume , 2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu 3.Inasemekana kwamba...
  10. Mbu

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  11. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

    Kwenu maharusi watarajiwa watia nia na hasa wale wa urais. Kuna maeneo nyeti ya nchi hii kwa hakika yatawabeba sana watia nia. Katika picha hii ni hali ya leo katika barabara hii kuu pande za wilaya ya Biharamulo na Ngara. Kwa hakika pana mtaji wa kura za kutosha huko. Si kwa wenyeji tu bali...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo

    Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo kwa hapa Dar es Salaam. Je, nifanye nini kwanza cha msingi? Mchango wa mdau
  13. Thread Starter

    JamiiForums Tanzania Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

    MAWAZO YA BIASHARA NDOGO NDOGO, KUANZIA MTAJI WA ELFU 10-50 1,DAGAA WA BUKOBA Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani kifuko buku Kwenye kilo moja unaweza toa...
  14. Dam55

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Salaam wakuu, Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020. Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mtaji watu na Uchumi wa Kati Tanzania

    Leo nitajaribu kuandika katika namna ambayo nitakayoyandika yatakuwa yanatawaliwa kwa kiasi kikubwa na nadharia ya uwekezaji kwenye raslimali watu kwa sababu ya umuhimu wake hasa wakati huu ambapo ndiyo kwanza tumeanza kuelekea kwenye shauku ya Taifa letu yaani kukua kiuchumi na kufikia hatua ya...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC?

    Mada: Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC kwa haraka zaidi Habari za leo wa kuu, Mimi ni kijana wenu, leo nimekuja na mada hii yenye tija kwa taifa. Taifa letu linayo gesi asilia ambayo, ina matumizi mengi 1. Gesi asilia inatumika kupikia majumbani 2. Gesi asilia inatumika...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Nani ana mtaji tuanzishe biashara ya PLASTIC WELDING?

    Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu na kuyeyushia plastics, Wire mesh laini, makret yaliyopasuka kwa kuungia plastics za wateja, hivi Ni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa biashara ya juice ya miwa, mtaji ni milioni 1-2

    Habari za leo. Naomba ushauri, nataka kufanya biashara ya juice ya miwa. Ni hivi sitaifanya mimi nitamuweka kijana afanye. Kwahiyo naomba ushauri juu ya hii biashara ikiwa itaweza kunilipa maana nachukua hela ya mkopo. Nikiwa na maana kwamba biashara nitakayofanya naitegemea inipe rejesho...
  20. pet geo pet

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi itakayonipatia mtaji

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza, Nimejaribu kutafuta kazi katika fani yangu ya uwalimu, kwani nimehitimu shahada ya ualimu mwaka jana katika taasisi kubwa tu hapa nchini lakini mpaka sasa hivi bado sijapata kazi. Nimekuja kwenu wana JF kwani hapa kuna watu tofauti tofauti, hivyo naomba mtu...
Back
Top Bottom