mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nchi haipaswi kuendeshwa kisiasa. Afya ya mwananchi isifanyiwe kama mtaji wa kisiasa

    Habari wadau! Nawasalimu kwa jina la Bwana na Allah. Hivi mpaka lini serikali itaendelea kufanya siasa kwenye maswala ya msingi kama Afya? Kila siku wanajinasibu kwamba matibabu ni bure kwa wajawazito na watoto, ila ukweli swala hili nilipingana sana na wife baada ya kuniaminisha kwamba...
  2. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Kwanini unasema huna mtaji? Ni kisingizio?

    Leo nataka nigusie eneo tata na ambalo ni moja kati ya kitu kinatamkwa sana na vijana na watu wengine wanapotaka kufanya Biashara nalo ni ukosefu wa MTAJI. Mtaji ni nini? Ni uwekezaji wa mmiliki katika biashara yake,yaani ni kile ambacho wewe mmiliki wa biashara unaingiza katika biashara...
  3. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

    Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
  4. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

    Baada ya ishu ya CAG nikasema niingie mitandaoni nione reaction ya wananchi juu ya serikali ya JPM. Twitter na JF kama kawaida ni matusi tu na kejeli kwa mwendazake, ila awa ni wachache na tumeshawazoea hawanaga madhala. Nikasema niingie kwa majority ya wananchi huko Facebook na Instagram...
  5. Kichochoro

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi naweza kufanya kwa mtaji Tsh 800,000/=?

    Habari wanajamvi naomba ushauri, nina pesa kidogo kiasi cha laki nane naomba ushauri kwa wazoefu na biashara. Ni biashara gani ninaweza kufanya na ikaniletea faida ijapo pesa ya kula. Naombeni ushauri kwa wazoefu wa biashara nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Zaidi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini (Almasi na Dhahabu) bila mtaji

    Habari za leo wakuu, Nahitaji kufahamishwa jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini bila mtaji. Karibuni wakuu.
  7. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mnyonge na masikini, mtaji wa wanasiasa

    Huyu mhubiri toka Mwanza kaeleza yote
  8. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara niliyoiyona kichwani

    Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru. Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo...
  9. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Hivi shule ni mtaji?

    Huwa nakaa nafikiri hivi hii shule tunayosoma na tunaosomesha hivi ina umuhimu saaana? Sipo kuharibu fikra ya mtu ila ngoja niseme yangu na ku-comment chochote ruksa ila sio povu ok. Kiupande wangu, wasomi ni wengi miaka hii halafu miaka ya kukaa shule ni mirefu mno tofauti na nchi za mbele...
  10. demarine

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata mtaji wa biashara

    Tatizo la kukosa mtaji limekuwa kubwa mno, watu wengi wanandoto za kufanya biashara ili kujikwamua kiuchumi, kila mtu anatamani walau afanye kitu kwaajili ya kupata rizki ila wanashindwa namna ya kuanza kufanya yote kwasababu ya kukosa fedha. Hizi apa njia kazaa ambazo unaweza tumia ili kupata...
  11. Regent

    JamiiForums Tanzania Wapi wanawezesha mtaji wa vijana wanaotaka kufanya Biashara?

    Wapi unaweza pata usaidizi wa mtaji just kwa kuwasilisha unachotaka kukifanya? Nazungumzia 40,000 mpaka 70,000 maana ndio pesa nayoweza kukopa. Nina mradi wangu unahitaji pesa.
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kudhania janga la Covid 19 litakuwa mtaji wa kisiasa ni kufilisika kisiasa

    Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa. Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani amekomaa kuikosoa serikali ya Ccm bila hata kuwa na hoja zenye mashiko. Mfano Mkuu wa nchi anaesema...
  13. Digital base

    JamiiForums Tanzania Connection kati ya walio na Mtaji wa Pesa na walio na Mawazo Mazuri ya Biashara

    Habari ya leo wakuu, Vijana tunapitia changamoto sana katika kupata support ya kiuchumi hasa tukiwa na wazo la kuanza biashara naamini mtaji wa kwanza ni wazo la biashara then pesa ina fuata baada ya hilo wazo. Changamoto unaweza kuwa na wazo zuri lenye faida na uka jaribu kuanza lakini Kuna...
  14. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

    Ndugu zanguni mawazo ndio benki kuu kabisa ya kila wazo unalotaka kufanya, basi kwa uzoefu wa waliopitia changamoto fulani za kiuchumi na kijasiriamali ni vyema mngetushirikisha biashara ndogo ambazo mlizibuni na maeneo mlikofanyia hizo shughuli zenu hadi mkafikia hatua ya mafanikio mliyo nayo...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Business Partner kwa ajili ya kusimamia biashara ( Mtaji upo)

    Wadau Natafuta mtu wa kusimamia biashara ninayotaka kuanzisha ( bidhaa ndogo ndogo) , awe na sifa zifuatazo; 1. Awe na uzoefu na upeo wa kufanya biashara hasa za bidhaa ndogo ndogo 2. Awe na uzoefu katika mambo ya kutafuta masoko 3 .Awe na elimu ya kawaida lakini ambayo imempa upeo...
  16. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe

    Leo nimekumbuka hii ngoma ilivuma Sana enzi zile wakati bado blackberry na apple ni matunda hayajawa simu. Title ya wimbo ilitokana namsemu wa aliyekuwa raisi wa JMT awamu ya 3 Bwana Ben Mkapa kuwa anapenda kusema "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe." Pia ukanikumbusha uncle yangu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. =========== SIMILAR CASES: =========== May 18, 2012: May 10, 2014: May 16, 2014...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania , Afya yako ndio mtaji wako , Usiburuzwe na yeyote kwa sababu zozote zile , fuata mwongozo halali tu.

    Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa yoyote ile aliyetokana na udiwani wa kata hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kuamuru mtu yeyote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani? Michango ya wadau Zaidi soma>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
  20. Chris wood

    JamiiForums Tanzania Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

    Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua. Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia. Maisha Dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa...
Back
Top Bottom