mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utandawazi umesaidia sana kuingiza kipato katika jamii, smartphone ni mtaji wa maisha

    Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani. Kufua, kupiga pasi, kusafisha vyombo, usafi wa nyumba, kupika nk. Si watu wengi wanahitaji...
  2. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

    Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/-...
  3. Chimulenge

    JamiiForums Tanzania Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

    Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage. Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu. Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, Wamachinga bado ni mtaji wa Wanasiasa au waanze kufuata sheria bila shuruti?

    Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM. Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
  5. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Aache kazi aliyonayo ili akafungue duka la rejareja kwa Tsh. milioni 5...

    Habari za muda huu, kuna jamaa yangu ni masonry yaani fundi uashi. Amejikusanya kwa muda mrefu amefanikiwa kukusanya kiasi cha pesa shilingi 5m, amepanga kufungua biashara ya duka la rejareja ili aachane na hii kazi ya masonry uashi ili aweze kuisimamia biashara yake mwenyewe. Je, hii biashara...
  6. Disaba

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. milioni 1

    Habari za humu ndani ndugu zangu. Katika hali ya kuchakarika na kutafuta maisha hatimaye leo nimekuja na wazo langu ambalo nahitaji msaada toka kwenu wadau au kama kuna wazo zuri zaidi ya hili unaweza pia nishauri. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya nguo za wadada na watoto, kwa mzoefu au...
  7. Mwanza kwetu pia

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
  8. Kandulla

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara /kilimo mtaji 400,000/=

    Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara, nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je, nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu? Nina ujuzi wa kompyuta na ualimu tu. Mawazo yenu wakuu. Asanteni. ======= Nyuzi unazoshauriwa kusoma: 1...
  9. Wax wings

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2, naomba ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini wanajamvi wenzangu, Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia ushauri juu ya baishara halali yenye manufaa ya kimaemdeleo ya maisha. Nipo Dar mtaji wangu ni million mbili pia sina...
  10. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

    Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27 Mama yangu kanipa milioni 1 nifanye biashara ambayo itanipa faida ya kukizi mahitaji yangu madogo. Naombeni ushauri wenu ni...
  11. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuwastaafisha wafanyakazi mapema wakajiajiri kuliko kuwaambia vijana wasio na mtaji wajiajiri

    Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja kujiajiri na kuajiri kundi kubwa la watu wasio na ajira Badala ya kukaa miaka 30 au 40 kazini mwisho iwe...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika mchanganuo huu lakin kwa upande wangu nitawekeza nguvu zaidi (yaani Sina mtaji). Update: Biashara yetu...
  13. intellect_reality

    JamiiForums Tanzania Kwanini mshahara mkubwa hauhusiani na kipato?

    Habari wanazengo, Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya kufanikiwa, lakini nimeona nisikae tena kimya wakati naona vijana wenzangu wanapotea, hivyo nimeamua...
  14. Grahams

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

    Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
  15. Uswiss

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuanzisha biashara ya sigara

    Waheshimiwa baada ya mapambano makali sana. nimefanikiwa kupata mtaji wa shilingi milioni nne. Sasa kutokana na mimi mwenyewe kuwa mvutaji wa sigara. Nimefikiria kufanya biashara ya sigara kwa jumla na reja reja. Naomba kama kuna mwenye ufahamu kuhusu biashara hii anipe muongozo . Box moja la...
  16. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Ushauri biashara ya kuosha Magari na pikipiki

    Naombeni ushauri nataka kuacha kazi ya kuajiriwa maana naona wanazingua now nataka niingie kwenye biashara ya kuosha pikipiki na magari. Jetwasher nzuri na original zinauzwaje iwe used au mpya Ni sehemu gani nzuri za kukaa ili kufanya biashara hii Je, ina mabaya gani au shida yake Mtaji wake...
  17. Gien Banks

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha kijiwe cha kuuza magari used, kuna eneo mbele ya barabara ya lami

    Husika na kichwa cha habari. Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm). Mwenye gari anaetaka uza anakuja ku park gari inakua sokoni tukiuza napata %, walengaji na walengwaji kama kawa...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wazo la biashara, nifanye biashara gani ninaishi jijini Dodoma nina mtaji wa 380000/=naombeni ushauri

    Habar wana JF Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000. Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa...
  19. Baba ilham

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanza biashara ya kufuata vijora Mombasa ushauri tafadhali

    Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima wa afya, Ndugu zangu ninaomba kujuzwa kwa wale wazoefu wa biashara ya kwenda Mombasa kufuata vijora ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata na mtaji ama kianzio cha biashara na tax pia wanatozaje, naombeni michango yenu na nataguliza shukrani za dhati kwenu...
  20. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa sh. 60,000 nifanye biashara gani kwa Iringa?

    Shalom, Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu. Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara...
Back
Top Bottom