Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

khadija mandingo

Senior Member
Apr 9, 2018
171
225
Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27

Mama yangu kanipa milioni 1 nifanye biashara ambayo itanipa faida ya kukizi mahitaji yangu madogo.

Naombeni ushauri wenu ni biashara gani naweza fanya hapa Dar.

Michango ya wadau
#1. Chukulia kuwa una TZS. 500,000, kiasi kinachobakia hifadhi benki.

#2. Gawa tena mara mbili tena hicho kiasi.
- 2.1: 250,000 Tafuta mahitaji/ Vifaa vya kuanzisha biashara ya kukaanga Miogo/viazi/ chipsi.

Je wapi utafanyia biashara. Tafuta shule ya karibu, fuata taratibu za hapo shuleni ili uweke banda lako la biashara, shule ya msingi ni bora ziadi.

- 2.2: Anza biashara kwa mtaji wa 250,000 - Tegemea faida ya kati ya TZS 15,000 hadi 30,000 kwa huo mtaji wa 250,000.

Biashara mashuleni zinalipa sana.
Yes ni uahauri mzuri.

Kama ukihitaji kujifunza au kuelewa zaidi.. una weza kuwafata maeneo tofauti wanaofanya biashara kama hiyo, ukawauliza maswala kutokana na biashara unayotaka kuanza pamoja na kujifunza kutokana na uzoefu wao...

Pia kwenye hzio, ongezea na ice cream za bar, vijiti na zakugunga zile
Lengo ni kuuza vitu vidogo vidogo vingibkwa mtaji huo wa 250.

Unashauriwa kusoma nyuzi hizi
1. Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

2. Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,575
2,000
milioni 1 nifanye biashara ambayo itanipa faida ya kukizi maitaji yangu madogo naombeni ushauri wenu ni biashara gani naweza fanya hapa dar
#1. Chukulia kuwa una TZS. 500,000, kiasi kinachobakia hifadhi benki.

#2. Gawa tena mara mbili tena hicho kiasi.
- 2.1: 250,000 Tafuta mahitaji/ Vifaa vya kuanzisha biashara ya kukaanga Miogo/viazi/ chipsi.

Je wapi utafanyia biashara. Tafuta shule ya karibu, fuata taratibu za hapo shuleni ili uweke banda lako la biashara, shule ya msingi ni bora ziadi.

- 2.2: Anza biashara kwa mtaji wa 250,000 - Tegemea faida ya kati ya TZS 15,000 hadi 30,000 kwa huo mtaji wa 250,000.

Biashara mashuleni zinalipa sana.
 
6Was9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,187
2,000
Broo wazo lako zuri nalifanyia kazi
Yes ni uahauri mzuri.

Kama ukihitaji kujifunza au kuelewa zaidi.. una weza kuwafata maeneo tofauti wanaofanya biashara kama hiyo, ukawauliza maswala kutokana na biashara unayotaka kuanza pamoja na kujifunza kutokana na uzoefu wao...

Pia kwenye hzio, ongezea na ice cream za bar, vijiti na zakugunga zile
Lengo ni kuuza vitu vidogo vidogo vingibkwa mtaji huo wa 250.
 
Shomary47

Member
Feb 12, 2021
55
125
#1. Chukulia kuwa una TZS. 500,000, kiasi kinachobakia hifadhi benki.

#2. Gawa tena mara mbili tena hicho kiasi.
- 2.1: 250,000 Tafuta mahitaji/ Vifaa vya kuanzisha biashara ya kukaanga Miogo/viazi/ chipsi.

Je wapi utafanyia biashara. Tafuta shule ya karibu, fuata taratibu za hapo shuleni ili uweke banda lako la biashara, shule ya msingi ni bora ziadi.

- 2.2: Anza biashara kwa mtaji wa 250,000 - Tegemea faida ya kati ya TZS 15,000 hadi 30,000 kwa huo mtaji wa 250,000.

Biashara mashuleni zinalipa sana.
Umetisha mkali
 
Milling

Member
May 3, 2021
5
45
Pesa kubwa sana hiyo kama Utatulia kwenye kufanya maamuzi. kwasisi ambao tupo kwenye Uzalishaji kwa hiyo Pesa unapata magunia 20 ya mahindi kwa bei ya Sasa, kwahiyo sio pesa ndogo kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom