Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,833
Leo nimeenda kukodisha mbao.

Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest.

Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
 
Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Watu wa hardware wanapiga sana pesa kwenye hii biashara na ukipasua mbao yake unailipa..!!!
 
Duh
Katika fani uliyonayo au biashara unayofanya au mazingira unayoishi siyo kila mtu ana experience nayo unapokuwa unawaelekeza watu jambo elekeza kama hakuna mwenye idea zaidi yako wenye kujua watachangia zaidi na wasiojua watakuwa wamejifunza

Hujaelezea vizuri mfano mbao zinatumika kwenye ujenzi na shughuli nyingine za useremala labda nikikodi mbao si inabidi nizirudishe kwa mwenyewe sasa kazi ambayo naenda kuifanya na hizi mbao ni ipi ikiwa natakiwa kurudisha kwa sababu nimekodi tu sijanunua
Me napataje hela na huyu aliyenikodishia anapataje hela
 
Mbao za kukodi

unazitumia kufanya nini
Umeongea kama unamwaga maji mkuu
Ila wabongo sijui kwann tunapenda kuwaona wengine wavivu
Uvivu umetoka wapi tena?
Mtoa mada imekuchukua miaka mingapi hadi ukafikia hatua ya kwenda kukodi hizo mbao?
Huu uzi na kilichojibiwa ni vitu viwili tofauti
 
Duh
Katika fani uliyonayo au biashara unayofanya au mazingira unayoishi siyo kila mtu ana experience nayo unapokuwa unawaelekeza watu jambo elekeza kama hakuna mwenye idea zaidi yako wenye kujua watachangia zaidi na wasiojua watakuwa wamejifunza

Hujaelezea vizuri mfano mbao zinatumika kwenye ujenzi na shughuli nyingine za useremala labda nikikodi mbao si inabidi nizirudishe kwa mwenyewe sasa kazi ambayo naenda kuifanya na hizi mbao ni ipi ikiwa natakiwa kurudisha kwa sababu nimekodi tu sijanunua
Me napataje hela na huyu aliyenikodishia anapataje hela

Duh
Katika fani uliyonayo au biashara unayofanya au mazingira unayoishi siyo kila mtu ana experience nayo unapokuwa unawaelekeza watu jambo elekeza kama hakuna mwenye idea zaidi yako wenye kujua watachangia zaidi na wasiojua watakuwa wamejifunza

Hujaelezea vizuri mfano mbao zinatumika kwenye ujenzi na shughuli nyingine za useremala labda nikikodi mbao si inabidi nizirudishe kwa mwenyewe sasa kazi ambayo naenda kuifanya na hizi mbao ni ipi ikiwa natakiwa kurudisha kwa sababu nimekodi tu sijanunua
Me napataje hela na huyu aliyenikodishia anapataje hela
Mara nyingine ukiona kitabu hukielewi hujaandikiwa wewe.
 
Back
Top Bottom