mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri watu mkawa makini Mtu kama Mh. Mbowe yuko na Mtaji wa watu hivyo kutaka kumpoteza nikujilisha upepo tu.

    Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya. Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani. Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje. Mimi naona hii ligi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza

    Naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza
  3. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nitafanya nini sasa na wakati sina mtaji? Sijui nianzie wapi, wala sijui pia nikakope kwa nani?...

    Haya ndiyo mengi yanayotawala katika vichwa vya watu wengi, kutokana na kila mtu anawaza kwa namna yake. Tatizo la ajira limeifanya jamii itafute njia thabiti itakayoweza kuwakomboa watu katika janga hili la ukosefu wa ajira. Lakini swali la kujiuliza vipi litamalizika tatizo hili katika bara...
  4. Nominee

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nilivyotengeneza kipato kwa mtaji wa Tsh 50,000 tu

    Habarini wakuu. Najua kuna wimbi kubwa sana la vijana wasio na ajira. Hata wanaothubutu kujiajiri nao bado wanapata changamoto mbalimbali na mitaji yao inapotea pasipo kufanya jambo la maana. Hebu soma kisa changu. Ilikuwa ni mwaka jana(2020) mwezi wa saba nilipoamua kutoka mjini na kuhamia...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

    Habari za Jumapili wanajamvi. Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa. Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa. Hatukuwahi kuwa na migogoro mikubwa ingawa mikwaruzano ile midogo ilikuwepo. Sasa katika kipindi cha...
  6. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mtaji unaotosha kufungua duka la vifaa vya umeme

    Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III. Pia Ni fundi mzuri naweza kufunga wiring ya nyumba vizuri from the scratch mpaka finishing. Changamoto...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafanikiwa wao tu?

    ✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU? 💧 MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi uwezo lakin kwa nini saivi wanatuzidi?😇( hapa kichwa kinauma) ✍🏿 Ukimtizama Mo na BAKHERSA wana...
  8. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unavyoweza kufanya biashara bila mtaji

    Picha na mtandao Usuli Biashara ni kitendo cha kubadilishana huduma au mali kwa fedha au huduma kwa huduma. Kwa kawaida kumekuwa na dhana kuwa ili mtu aweze kuanzisha biashara yeyote nilazima awe na mtaji au fedha ya kuanzishia biashara hiyo. Jambo hili limekuwa gumu sana kwa watu hasa...
  9. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo za chakula zinazoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo kabisa

    1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia. 2 Sambusa. Mapishi ya sambusa pia ni biashara nyingine isiyohitaji mtaji mkubwa. 3 Maandazi. Biashara ya kuuza mandazi...
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Njia tofauti za kupata mtaji wa biashara

    Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza kuzitumia kufikia malengo yako Ya biashara Mbinu ya Kwanza naweza kuelezea ni ni kuhifadhi pesa hii ni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya rangi za nyumba, kwa mtaji wa mil. 30

    Habari wadau, Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)? Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je, kwa huo Mtaji unaweza kuuza jumla jumla? Je, ipi njia sahihi ya kufanya biashara ya Rangi? Kwenye...
  12. Itug

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtaji wa kuanza biashara: Mtaji wa biashara kwa wajasiriamali wadogo

    Biashara (kuuza na kununua au kubadilishana bidhaa) imedumu duniani tangu enzi za kuumbwa kwa dunia. Kazi hii imekuwa ikifanywa na watu wa kila aina. Hapo awali biashara ilifanyika kwa kubadilishana bidhaa (barter). Mwalimu wa sayansi ya jamii (Anthropology) Prof. Chapurukha Kusimba kutoka chuo...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 5, ninaomba mwongozo biashara ya nafaka

    Habari za mchana. Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
  14. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

    Habari wadau..! Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa. Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwapa mtaji wanaohitimu mafunzo JKT

    SERIKALI imesema itaangalia namna ya kuwapa mtaji vijana wanaohitimu mafunzo katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili ujuzi wanaoupata usipotee badala yake wakautumie uraiani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandika wakati akikagua mradi wa...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

    Wanabodi, Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba Mwenge wa Tanzania mpya, ambayo haki na uhuru kwa wananchi unaheshimiwa na kulindwa tusikubali kuogozwa na wahuni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ni asilimia ngapi kwa mwezi unatakiwa kuanza kuipata unapoanza kufanya biashara kwa mtaji ulionao?

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kujua ukiwia unamtaji wako wa kiwango chochote cha pesa, unatakiwa upate kiasi gani cha faida kwa mwezi kwa mahesabu ya asilimia? Wengine wanasema minimum angalau upate 20% ya mataji kwa mwezi, wengne wanasema 30% kwa mwezi ndio utasema...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

    1.Dox la viatu soko lake memorial Moshi Kilimanjaro 2.Sigara maeneo ya city center 3.Vitabu mbali mbali 4.Vitu vya watoto na urembo 5.Ma cover ya simu na protector 6.Mikoba
  19. girango

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani naweza anzisha yenye mtaji mdogo?

    Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
  20. mdizi 2021

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kuuza nguo kwa mtaji wa Tsh. 50,000/-

    Habarini wana group, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. mwishoni mwa mwezi huu nina mpango wa kuanza biashara ya NGUO, akiba yangu ni elfu 50. Sehemu nilioiwaza ya kununua mzigo ni Karume nasikia hapo ukiwahi asubuhi saa 11 au 12 unapata nguo mzuri sana kwa bei ya elfu 5 au chini...
Back
Top Bottom