mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Siasa za nchi yetu na wingi wa vifo mitaani

    Habari wadau wa JF Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19. Tukiangalia mtaani vifo vimekuwa vingi lakini hatujui chanzo chake nini. Tunaambiwa kuwa covid19 wagonjwa wapo lakini hawafiki hata 1000 maana last time Gwajima kuongelea hilo...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wekundu wa Msimbazi wamekuwa wapole mno mtaani

    Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jersey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo ulofanyika. Mbaya zaidi ni baada ya juzi wachezaji wao wawili wawategemeao saaana kuthibitika kuondoka ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya unapoishi (Local Democracy) huanzia mtaani, kijijini mjini, wilayani hadi mijini kufikia Demokrasia kamili

    Pamoja na mambo mengine yote siasa ni majadiliano, au mgogoro wa hoja baina ya watu, vyama katika kutafuta kutwa madaraka au mamlaka. Mtazamo wa mwanafilosofia aitwae Aristotle kuhusu siasa anamfananisha mwanasiasa na fundi kwamba mwanasiasa ni mtu alie na elimu wezeshi (practical knowledge) na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Sungura

    Nimefuga Sungura kwa miezi saiz ya vitatu lakini kila wanapozaa watoto huda Mars tu wanapochangamka na hawajaonyesha dalili za mgonjwa hivi tatizo hasa ni nini mana natumia nguvu nyingi lakini napoteza.
  5. JamiiForums Tanzania Huku mtaani Rais Samia hakubaliki kivile, Upinzani wangekuwa na Mikakati 2025 wangeichukua nchi

    Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha. Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru kusema ukweli. Wazazi wangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu karibu wote ni CCM. Kipindi cha JPM...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Serikali itazame ujenzi holela wa vibanda mitaani

    Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani. Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
  7. JamiiForums Tanzania Hela zimesharudi mtaani?

    Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani. Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu. Vipato vya wananchi wake ni vya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

    Salamu zimfikie ndugu Samia Huku mtaani ndugu rais kuna malalamiko, wananchi wanasema hawakusomi, hawakuelewi, na nitakueleza nilichosikia huku mtaani! 1. Suala la tozo za miamala Wananchi wanakusikilizia tu waone utafanya nini, lakini wameanza kuona dalili za wewe kupiga konakona. Kuna kila...
  9. JamiiForums Tanzania Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

    Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto. Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Mwanzo, nitaelezea maisha ya mtaani, changamoto zinazo wakabili...
  11. JamiiForums Tanzania Huwa nikiwambia tuibadiLishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani

    Huwa nikiwambia tuibadirishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani. Tungezalisha petroli yetu kupitia gesi bei ya dunia isingetuathiri.
  12. JamiiForums Tanzania 'Street codes' za kukusaidia uishi vizuri na watu mtaani kwako katika mji wowote Tanzania

    Vipo vitu ambavyo hufundishwi popote. inatakiwa utumie akili yako ya kawaida kujiongeza ili uweze ku-survive Leo nawaletea codes za kitaa ambazo kama ukizifata zitakusaidia uishi vizuri na watu wa mtaani kwako katika mji wowote hapa tanzania. 1. Jizoeshe kusalimiana na watu wa mtaani...
  13. JamiiForums Tanzania Je, mifuko iliyopo mtaani sio ya plastiki?

    Nimefanya utafiti nikagundua serekali imepiga marufuku mifuko ya plastic maafuku kama "Rambo" au "malboro" lakini kiuhalisia kama hatujatatua tatizo. Iliyopo mtaani ambayo tunaiita "Vifungashio" ila ukweli ni plastic iliyoboreshwa. Inakua disposed kwa kiasi flan lakini haimaanishi kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

    Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..
  15. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Kwa bajeti hii ya Rais Samia hela zitamwagika mtaani watanzania tujiandae kuzichota

    bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia. Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...
  16. JamiiForums Tanzania Mtaani wanauliza, kwanini wanaoachiwa ni matajiri wenye kesi za ufisadi?

    Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa. Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi? Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela! Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
  17. JamiiForums Tanzania Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

    Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu. Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe. Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi...
  18. JamiiForums Tanzania JKT hata ukae miaka 5 hakuna ujuzi wa maana utakaoupata kiasi kwamba utaleta challenge mtaani

    Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita . VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani. VETA cheaper ukilinganisha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya mtaani kwako hutoa taarifa za mapato na matumizi ya fedha?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha. Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
  20. JamiiForums Tanzania Je, mtaani kwenu kuna maji?

    Mtaani kwetu maji yamekatika week ya 2 sasa. Inasemekana lkn eti, baada ya mh rais aliyepita kuondoka kuna watu washaanza michezo ile ya zamani ya kukata maji ili wawe wanauza kwenye maloli! Hebu tuambie kama na mtaani kwenu maji yamekatwa kwa muda mrefu. Huwezi jua labda mama ataliona kisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…