mtaani

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumtoa pusha wa mtaani bila kutumia Polisi, sitaki dhambi ya kumfanya mtu atoke jela akiwa mzee

    Mtaani kwangu kuna kijana yupo hapa kwa miezi miwili, yupo kwenye rika la miaka 24 hivi, ana frem anauza mahitaji ya nyumbani na vilevi, lakini biashara yake kuu yenye wateja wengi ni Bangi ambayo wanunuzi huvuta hapo hapo ama maeneo ya karibu, eneo sio la barabarani, huwa kuna watu wachche...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Soda za Coca Cola zimeadimika mtaani pia maziwa fresh ya packet

    Hizo bidhaa hazipatikani ama kama zipo ni kwa uchache sana. Kunani? Sambamba na hilo, vitu vimepanda saaaana bei , wachumi mnasemaje?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanin watu wanaoitwa jina la utani BIG huwa wanaheshimika sana mtaani?

    Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii. Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar...
  4. Translator and 97 others

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    hizi siasa za kutuaminisha eti mnakopa ma trioni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kujifanya hamuoni hali zetu sisi tuliozingatia kitabu kama mlivyotuagiza ni uzandiki mtupu. Leo hii tunaonekana kama mizigo kwa wazazi na ndugu nyie mko bize kulumbana kisa uchu wa madaraka, tunakoelekea...
  5. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Mlio-overspend jana, karibuni tena mtaani

    Kwa wote mlio-kula bata mpaka mkamaliza akiba yote, vipi mnaendeleaje. Hizi sikukuu zipogo na zitaendelea kuwepo zisikufanye uwehuke.
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Daudi akiwa ana play low key mtaani

  7. chuki

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kila kitu bei juu, mahindi, mchele na mafuta havishikiki mtaani

    Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia. Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida...
  8. babukijana

    JamiiForums Tanzania Koffi hatunaye mtaani

    Wadau wa mandombolo na rhumba. Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France. Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki.. Miaka miwili Mopao akagoma kutia mguu France.. Wakampa go on akajisahau km wale mabeberu tu wanamlia timming...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

    Mtaani hakunaga watu wanaheshimika Na kuogopeka kama madalali. Madalali wengi wa mjini Daslamu inasemekana wanakuwaga wanashirikiana Na mtandao wa majambazi katika Ku enforce maagano/ mapatano wanayo ingia Na watu wanao wasaidia kuuza property zao. Kanuni Moja ya mtaani kuhusu madalali ambayo...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  11. 2019

    JamiiForums Tanzania Asante serikali kwa kuwapanga wamachinga, lakini je umejipanga kukabiliana na uhalifu mpya mtaani?

    Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa. Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana...
  12. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa mambo ya kuchezesha games, mtaani naomba msaada

    Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye uangalau, na PC izo nataka nitafute mtaani, sio shop, coz Huku kwetu wanapenda PES so FIFA
  13. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Je, huko waliko vyuma vimekaza au vimelegea?

    Habari, Sekeseke la kuwabana wakwepa kodi kwa kutumia task force na kufunga biashara zao lilizua mjadala kila kona kwamba hilo zoezi linawasababishia hao wakwepa kodi ugumu wa maisha na vyuma kukaza hivyo TRA wakaamuliwa kuachana nalo. Sasa TRA wanakusanya kodi kwa kuwabembeleza wakwepa kodi...
  14. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Mtaani wizi umeshamiri sana, nini kifanyike?

    Hali ya usalama mikoa mbalimbali sio nzuri! Wizi ni kama umerudi kwa kasi sana, sasa hivi usalama wetu na mali zetu uko mashakani sana! Hata hapa JF kila siku lazima ukutane na nyuzi za watu kuibiwa hiyo ni ishara tosha kuwa hali ni tete. Jeshi la Polisi liko wapi? IGP Sirro yuko wapi? Mbona...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete. Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko

    Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko.
  17. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wenyeviti wa Serikali za mtaa ndio walikuja wanaongoza kwa kuwa na mabanda mtaani

    Yale mabanda maarufu ya wamachinga, kwa uchunguzi wangu binafsi nimegundua viongozi wa serikali za mtaa ndio walikuja na mabanda mengi barabarani na ndio walikuja wanapangisha wamachinga barabarani..so tusishangae zoezi hili kusua sua.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia akimsifia Waziri wa Maji, huku mtaani hatuna maji siku ya 3 leo

    Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza. Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara. Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TBS na TFDA okoeni maisha yetu kwa kupima ubora wa unga wa mahindi na muhogo unaosagwa mitaani

    Miaka ya hivi karibuni kumezuka viwanda vingi sana mitaani vinavyosaga unga wa mahindi na muhogo, ubora wa unga huo u atia mashaka kwani viwanda husika haviko kwenye usafi unaoridhisha. Kiwanda ambacho hakiko kwenye usafi hata ubora wa unga wake utatia shaka, ni wazi viwanda hivyo vina mashine...
  20. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Back
Top Bottom