Je, Serikali ya mtaani kwako hutoa taarifa za mapato na matumizi ya fedha?

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
ijkk.png

Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha.

Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo ya mtaa. Je, ni mara ngapi umekuwa ukifuatilia taarifa za usimamizi wa fedha za serikali ya mtaa wako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom