Serikali itazame ujenzi holela wa vibanda mitaani

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,656
2,000
Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.

Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.

IMG_4380.JPG
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,878
2,000
Naomba serikali yetu ya mama samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.

Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu

View attachment 1883535
Acha watu wajitafutie maisha nchi hi ilashaoza tu, masikini ndo wanafuatiliwa tu ila ufisadi wizi rushwa inaendelea miongoni mwa CCM, wanapeana vyeo na ajira nzuri tu.
 
Majoajosh

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
270
250
Naomba serikali yetu ya mama samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.

Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu [URL][/URL]

View attachment 1883535
Watu
Nilipita sehemu moja nikaona jinsi halmashauri yao imewajengea machinga vibanda vya biashara

View attachment 1883547
View attachment 1883552
Watu wanajitafutia riziki,
Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.

Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.

View attachment 1883535
Watu wanajitafutia riziki,wafanyeje Sasa?
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
10,387
2,000
Pale Mbezi barabara ya Malamba Machinga wameweka mabanda mpaka Barabarani.. Foleni ya pale sababu kuu ni watembea Kwa miguu wanaolazimika kutumia njia Moja na magari sababu njia yao imehodhiwa na mabanda ya wafanyabiashara.

Mama yuko bize anaupiga Mwingi kwenye kukamata wapinzani na Utalii.
 
Mimi sikulamba sukari

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
1,682
2,000
Unajari muonekano kuliko ridhiki ya mtu? Hivi wakivitoa na kubaki patupu unahic nini kitaongezeka hapo
Acha watu wainjoi nchi yao bhana walikotoka nimbali
 
iranna

Senior Member
Aug 4, 2021
151
500
Unajari muonekano kuliko ridhiki ya mtu? Hivi wakivitoa na kubaki patupu unahic nini kitaongezeka hapo
Acha watu wainjoi nchi yao bhana walikotoka nimbali
Kila Mwenyekiti wa mtaa afanye jitihada za kuwajengea machinga eneo la biashara. Liwe na vyumba kama 50 na ofisi ya utawala wa jengo. Mishahara itatoka kwenye kodi na kila mtu atafanya biashara kwa heshima.
 
drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,656
2,000
Unajari muonekano kuliko ridhiki ya mtu? Hivi wakivitoa na kubaki patupu unahic nini kitaongezeka hapo
Acha watu wainjoi nchi yao bhana walikotoka nimbali

siku wakija kujenga kibanda mbele ya nyumba yako hapo ndio utajua unavyosema ridhiki badala ya riziki
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
4,317
2,000
Unajari muonekano kuliko ridhiki ya mtu? Hivi wakivitoa na kubaki patupu unahic nini kitaongezeka hapo
Acha watu wainjoi nchi yao bhana walikotoka nimbali
Siku mtu akiwapitia na gari machinga hata 10 walioko pembezoni ya barabara mje hapa kusema ni kazi ya Mungu.

Kazi ya Mungu wakati tumeamua kuwa wapumbavu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom