msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kila nikiona Yanga inacheza Match ya kimataifa hua inanikumbusha Fainali ya UEFA Msimu wa 2007/2008

    Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea. Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi. Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Luke Shaw hatarini kuwa nje hadi mwisho wa msimu

    Klabu ya Manchester United inahofu kuwa kuna uwezekano wa kumkosa beki wake, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu huu wa 2023/24 kutokana na majeraha yanayomsumbua Shaw alipata majeraha ya misuli ya mguu katika mchezo uliopita dhidi ya Luton. Ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa msimu huu beki huyo alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

    Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji. Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua. Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri...
  4. JamiiForums Tanzania Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

    Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7. 1. Moroccan Botola Pro 2. Egyptian Premier League 3. Algerian Ligue 1 4. South African PSL 5. Tunisian Ligue 1 6. DR Congo’s Linafoot 7. Tanzanian Premier League 8. Angola’s Girabola 9...
  5. JamiiForums Tanzania Xavi kuondoka Barcelona mwishoni mwa msimu huu

    Kocha wa FC Barcelona, Xavi Hernández amesema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo aliyoanza kuinoa Novemba 2021 akitokea Al Sadd ya Qatari. Ametangaza uamuzi huo baada ya kushuhudia timu yake ikiwa nyumbani kukutana na kichapo cha magoli 5-3...
  6. JamiiForums Tanzania Kocha Jurgen Klopp atangaza kuachana na Liverpool mwisho wa msimu huu 2023-2024

    Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametangaza kuachana na timu hiyo mara baada ya msimu huu kwa kile alichosema kwamba ‘amechoka’. Klopp alijiunga na Liverpool Oktoba akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani na mkataba wake wa sasa na timu hiyo unafikia mwisho mwaka 2026 lakini ameamua kuachana na...
  7. JamiiForums Tanzania Suluhisho la konokono msimu huu wa masika ni kumdhibiti malkia wao

    Kuna kero kubwa ya Konokono kwa Msimu huu wa masika ukipanda mimea wanakula hasa bamia suluhisho sio kuwamwagia chumvi hutawamaliza kwa jinsi walivyo weng solution ni kumsaka malkia wake. Iko hivi malkia wa konokono anapenda kukaa kwenye Majani ya migomba ama chini ni mkubwa karibu na uzito wa...
  8. JamiiForums Tanzania Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

    Habari zenu Wakuu, Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU. Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Hotel/Lodge Bagamoyo msimu huu wa Sikukuu chini ya 100,000 kwa siku

    Nahitaji iwe na options ya vitanda double, iwe ufukweni au isiwe mbali na ufukwe. Iwe sehemu tulivu ya kuvutia. Gharama yake isizidi tsh 100,000. Maana sisi wengine si matajiri, ninataka kukaa hapo siku 7 tu nipumzike na mke na watoto wa 4. Naombeni msaada wenu.
  10. JamiiForums Tanzania Tambua kisha Thamini watu wa karibu na wa muhimu zaidi msimu huu.

    Mzuka wana jf, Ahsanteni kwa hivi vimaua vyeupe mfano wa falling snow vimenishawishi kutupia bandiko. Huu ndo ule msimu utatamani ujigawe mara kadhaa hautoweza... Huu ndo ule msimu utajua unawaganda rafiki wenye rafiki zao hapa mjini..... Huu ndo ule msimu utachagua kubaki town ule bata na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga bingwa tena msimu huu wa 2023/2024 , wanasimba tujiandae kisaikolojia

    Nikiwa kama shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba sc ,nathubutu kusema kwa kinywa kipana kuwa Yanga atatwaa tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024. Naitazama Yanga kwa jicho la kimpira naona kabisa kuwa wameizidi simba kwa vitu vingi sana. Wachezaji wa Yanga wana ari na shauku ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ansarullah: Msimu wa baridi kali umekaribia Ulaya; tukichokozwa tutapiga visima na meli za mafuta na gesi

    Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba, kama Yemen itashambuliwa, basi harakati hiyo itajibu kwa kupinga visima na meli za maafuta na gesi...
  13. JamiiForums Tanzania Wakatoliki kuweni makini na watoto wenu wanaoenda 'Mafundisho' msimu huu wa likizo

    Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki. Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican? Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukatika ovyo kwa umeme hasa msimu wa senene Muleba

    Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato. Kabla ya msimu huu wa senene...
  15. JamiiForums Tanzania Nizingatie nini msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka?

    Utangulizi Msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huwa na heka heka nyingi na watu hupendelea kufurahia kula na kusherekea walichopanda Kwa mwaka mzima. Hata hivyo Kwa kua ni msimu wenye matukio sio kidogo Kwa sababu ya asili ya shunguli nyingi ni vyema kuzingatia mambo kadhaa. Mambo ya jumla na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ujenzi: Wananchi wengi wamejenga maeneo hatarishi kama :kando ya mito, makorongo na kwenye njia za mito ya msimu chukueni tahadhari

    Nawasalimu wote. Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali. Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
  17. JamiiForums Tanzania Msimu huu wa Sikukuu ni vema ukatoa misaada kwa watu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ni vema kipindi hiki cha Msimu wa Sikukuu za Mwisho na Mwanzo wa Mwaka ukajitolea kusaidia watu kwa kiasi cha Pesa!. Haujakatazwa kufanya starehe lakini angalau tenga kiasi kidogo ambacho kitawagusa wengine ili nao wajihisi ni sehemu ya wanadamu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Msimu huu huenda Simba na Yanga kwenye makundi CAF champions league zikamaliza nafasi ya 3 au 4

    Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi limezidi kuwa zito baada ya Wydad kugongwa na galaxy. Vile vile Kwa upande wa Young African kama...
  19. JamiiForums Tanzania Tafadhali nishauri nipande mbegu aina gani yenye matokeo chanya?

    Wapendwa ndugu zangu, majirani, marafiki na familia ya wakulima wa mazao mbalimbali maeneo tofauti nchini,. Habari za kazi, majukumu na maandalizi ya msimu wetu pendwa wa kilimo? Nimewiwa kuwasabahi na kuwatakia Neema na Baraka za Mwenyezi Mungu katika maandalizi kabambe ya kuingia rasmi tena...
  20. JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Full name: Futbol Club Barcelona Nickname(s): Barça or Blaugrana (Team) Cules or Barcelonistas (Supportes) Blaugranes or Azulgranas (Supporters) Founded: 29 November 1899 League: La Liga Website...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…