msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waziri wa ujenzi: Wananchi wengi wamejenga maeneo hatarishi kama :kando ya mito, makorongo na kwenye njia za mito ya msimu chukueni tahadhari

    Nawasalimu wote. Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali. Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
  2. UMUGHAKA

    Msimu huu wa Sikukuu ni vema ukatoa misaada kwa watu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ni vema kipindi hiki cha Msimu wa Sikukuu za Mwisho na Mwanzo wa Mwaka ukajitolea kusaidia watu kwa kiasi cha Pesa!. Haujakatazwa kufanya starehe lakini angalau tenga kiasi kidogo ambacho kitawagusa wengine ili nao wajihisi ni sehemu ya wanadamu...
  3. L

    Msimu huu huenda Simba na Yanga kwenye makundi CAF champions league zikamaliza nafasi ya 3 au 4

    Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi limezidi kuwa zito baada ya Wydad kugongwa na galaxy. Vile vile Kwa upande wa Young African kama...
  4. Tlaatlaah

    Tafadhali nishauri nipande mbegu aina gani yenye matokeo chanya?

    Wapendwa ndugu zangu, majirani, marafiki na familia ya wakulima wa mazao mbalimbali maeneo tofauti nchini,. Habari za kazi, majukumu na maandalizi ya msimu wetu pendwa wa kilimo? Nimewiwa kuwasabahi na kuwatakia Neema na Baraka za Mwenyezi Mungu katika maandalizi kabambe ya kuingia rasmi tena...
  5. Nzokanhyilu

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Full name: Futbol Club Barcelona Nickname(s): Barça or Blaugrana (Team) Cules or Barcelonistas (Supportes) Blaugranes or Azulgranas (Supporters) Founded: 29 November 1899 League: La Liga Website...
  6. William Mshumbusi

    Mo asituvuruge Pesa yote aliyotoa usajili msimu huu ilimnunua kipa 1 tu Ayoub

    Licha ya kulalama. Mo aache kutuvuruga. Kwenye usajili wa msimu huu yeye kama yeye kasajili kipa tu ambaye ata hachezi. Aligoma kutoa pesa za usajili. Akina jaribu tena wakafumua zote kutoka CAF. Bilion 2.5. Kuona usajili umekamilika bila kutia ela yoyote. Akaagiza akina jaribu tena...
  7. N

    Hivi, kuna umuhimu wa kikosi Cha Simba kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya?

    Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu. Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
  8. THE FIRST BORN

    Team Ndogo na Mbovu ambazo zimekutana na Kipigo Kizito Hadi saiv kwenye NBC Msimu wa 2023/2024

    Zifuatazo ni Team Ndogo zilizokula Kichapo Kikubwa Msimu huu wa NBC 2023/2024
  9. Mkyamise

    Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  10. GENTAMYCINE

    Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

    GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa. Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    Luka Modric hajawahi kufikisha magoli 10 au Assist 10 kwa msimu katika Career yake

    Fundi maestro kutoka Croatia, Luka Modric (Mtakatifu Luka) ni miongoni mwa viungo washambuliaji kwa miaka 10 iliyopita. Hakuna asiyejua Modric alikuwa ni moja ya injini ya mafanikio huko Bernabeu wakati Real Madrid ikitwaa UCL mara 3 mfululizo. Lakini cha kushangaza kama sio kustaajabisha...
  12. JanguKamaJangu

    Neymar aumia goti, inawezekana akawa nje hadi mwisho wa msimu huu

    Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji. Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi miwili tangu aliposajiliwa na Al-Hilal ya Saudi Arabia na kupewa Mkataba unaomwezesha kulipwa Pauni...
  13. Pekejeng

    Ni kwa namna gani dunia inapata vipindi mbalimbali vya msimu (Kiangazi, Masika na Vuli)?

    Salama? Wataalamu naomba ufafanuzi kwa kurejea kichwa cha uzi maana nimeingia google naona wanaelezea kwa lugha ngumu za kisayansi. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wataalamu wakitoa somo hapa kwa lugha nyepesi zaidi ambayo hata kwa mtoto wa la saba akisoma atapata kitu. Nawasilisha.
  14. Patriot

    PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza! La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkubwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali...
  15. Kilimbatz

    Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

    Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo Simba ashafika nusu...
  16. William Mshumbusi

    Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  17. Boss la DP World

    Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

    Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
  18. T

    Kwa hili pira Gamondi, hakuna shaka kwa Yanga kubeba ndoo ya CAF CL msimu huu

    Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani. Na kwa anayenunua magoli, mwambieni mwaka huu ajipange. Maana kuna uwezekano hazina yeke ya...
  19. UtdProfile_

    Unazionaje Simba na Yanga huu msimu huu wa 2023/ 2024?

    Mienendo ya Simba na Yanga, kwa Upande wako unadhani nanii anatabiriwa makubwa kwa huu msimu 2023/2024?
  20. W

    Bei ya korosho msimu 2023-2024

    Tupo kwenye maandalizi ya msimu mkubwa wa zao la korosho hasa kwa wananchi wa mikoa ya kusini, ni ukweli usiopingika kuwa korosho ni zao kubwa kwa wananchi wa kusini na Tanzania kiujumla, athari zake ni kubwa kwenye kuongeza pesa za kigeni na kuchagiza mzinguko wa pesa kwenye nchi. Msimu wa...
Back
Top Bottom