msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  2. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Mayele kasaini kandarasi ya miaka mitatu, kuitumikia simba msimu ujao

    Zilizotufikia.... Mayele ni mwekundu. Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE. unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye simu,na ameshasaini mkataba wa miaka mitatu ,hivyo kuanzia msimu ujao atachukua namba ya fred ambaye...
  3. demigod

    JamiiForums Tanzania SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli. Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu. Game...
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Mechi ya Yanga na Mamelodi ni matokeo ya kiwango bora cha Yanga msimu uliopita na uwekezaji wa Mamelodi

    Nukta yangu naiweka hapa YANGA imekuwa ni moja ya timu tishio barani Afrika kwa sasa hii inatokana na kiwango kikubwa ambacho amekionesha kuanzia Makundi ya Shirikisho mpaka kufikia finali mwaka wa jana 2023,Kiwango hichi kimewashtusha wengi hasa ukiangalia yanga Alimpiga TP Mazembe na Waarabu...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote. Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane...
  6. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

    Habari Mwana-Jukwaa La Sports. Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana. Ulaya kwenye Nchi zenye Ligi Kubwa na Maarfu kama Vile England,Spain,Italy,Ujerumani,Ufaransa,Ureno,Uholanzi na Mataifa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu huu wa Simba dhaifu wekeni record mpya ya goli 12

    Kama mliweza kuwafunga goli 5 nina uhakika mkikutana tena mnaweza kuwafunga goli 9 au 12. Kwa ubora mlio nao kwa sasa na unyanya walionao Simba ya sasa nawashauri kaeni chini mkubaliane kuweka record mpya. Yaani goli chache ziwe ni 9
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

    Bingwa. Yanga Kocha bora. Gamondi Kipa bora. Diarra Beki bora. Yao Kiungo bora. atatoka Yanga MVP . atatoka Yanga Simba sijui mtapata nini msimu huu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Simba kushindana na Yanga msimu huu ni ngumu sana

    Huu ndo ukweli mchungu kwa wanasimba ni ngumu sana kushinda na Yanga kwenye mbio za ubingwa wa nbc premier league Nafasi ipo ila ni ngumu kutoka na aina ya mpinzani unayeshindana naye ambaye ni Yanga
  10. vvvv

    JamiiForums Tanzania Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo. Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
  11. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Dagaa Tunduma bei ya jumla pitia hapa

    Habari ndugu zangu. Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa. Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani. KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE. Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

    Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi. Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO...
  13. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kila nikiona Yanga inacheza Match ya kimataifa hua inanikumbusha Fainali ya UEFA Msimu wa 2007/2008

    Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea. Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi. Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Luke Shaw hatarini kuwa nje hadi mwisho wa msimu

    Klabu ya Manchester United inahofu kuwa kuna uwezekano wa kumkosa beki wake, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu huu wa 2023/24 kutokana na majeraha yanayomsumbua Shaw alipata majeraha ya misuli ya mguu katika mchezo uliopita dhidi ya Luton. Ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa msimu huu beki huyo alikuwa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

    Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji. Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua. Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri...
  16. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

    Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7. 1. Moroccan Botola Pro 2. Egyptian Premier League 3. Algerian Ligue 1 4. South African PSL 5. Tunisian Ligue 1 6. DR Congo’s Linafoot 7. Tanzanian Premier League 8. Angola’s Girabola 9...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Xavi kuondoka Barcelona mwishoni mwa msimu huu

    Kocha wa FC Barcelona, Xavi Hernández amesema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo aliyoanza kuinoa Novemba 2021 akitokea Al Sadd ya Qatari. Ametangaza uamuzi huo baada ya kushuhudia timu yake ikiwa nyumbani kukutana na kichapo cha magoli 5-3...
  18. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kocha Jurgen Klopp atangaza kuachana na Liverpool mwisho wa msimu huu 2023-2024

    Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametangaza kuachana na timu hiyo mara baada ya msimu huu kwa kile alichosema kwamba ‘amechoka’. Klopp alijiunga na Liverpool Oktoba akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani na mkataba wake wa sasa na timu hiyo unafikia mwisho mwaka 2026 lakini ameamua kuachana na...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la konokono msimu huu wa masika ni kumdhibiti malkia wao

    Kuna kero kubwa ya Konokono kwa Msimu huu wa masika ukipanda mimea wanakula hasa bamia suluhisho sio kuwamwagia chumvi hutawamaliza kwa jinsi walivyo weng solution ni kumsaka malkia wake. Iko hivi malkia wa konokono anapenda kukaa kwenye Majani ya migomba ama chini ni mkubwa karibu na uzito wa...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

    Habari zenu Wakuu, Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU. Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
Back
Top Bottom