Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,798
12,240
Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.

1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.

Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
 
Kwahiyo hawa Morocco hata mashindano ya Chan watakuwa wa Moto.
 
alikubagua vipi mkuu? watu weusi tupo very inferiors.
Siyo suala la inferiority bali ndiyo ukweli. Captain alisema Morocco siyo nchi ya kiafrika ila ni nchi ya Ulaya hivyo kushawishi ijitoe CAF.
 
Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.

1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.

Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
Linafoot haikuchezwa kabisa msimu wa 2022/2003 huo ubora umepimwa vipi wakati ligi haikuchezwa kwa kukosa mdhamini ?
 
Huwa nashangaa sana mtu anaongea bila facts withevidence, hii mitandao inawapotosha sana.
Usijitie mjuaji kumbe mjinga tu, kwani taarifa zote zinapatikana kwenye mitandao tu!
Pumbavu wahed!
 
Siyo suala la inferiority bali ndiyo ukweli. Captain alisema Morocco siyo nchi ya kiafrika ila ni nchi ya Ulaya hivyo kushawishi ijitoe CAF.

tatizo hapo nini? si ameongea fikra zake, kwani watu weusi wangapi wanajita wao sio waafrika na wa ulaya mbona hamulalamiki? Unamkumbuka Baloteli alizungumza nini alipopewa ofa ya kucheza timu ya Ghana?
 
Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.

1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.

Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
Sudan inakaa vipi hapo wakati hata haichezwi? Siasa za maji ya chooni hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom