mshindi

On May 28, 2016, a three-year-old boy climbed into a gorilla enclosure at the Cincinnati Zoo and Botanical Garden and was grabbed and dragged by Harambe, a 17-year-old western lowland gorilla. Fearing for the boy's life, a zoo worker shot and killed Harambe. The incident was recorded on video and received broad international coverage and commentary, including controversy over the choice to kill Harambe. A number of primatologists and conservationists wrote later that the zoo had no other choice under the circumstances, and that it highlighted the danger of zoo animals near humans and the need for better standards of care.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania mshindi wa tatu tuzo za biashara duniani

    TANZANIA imekuwa Mshindi wa Tatu kupata Tuzo za Taasisi zinazosimamia Biashara Duniani (WTPO 2020) katika kipengele cha matumizi bora ya ushirikiano katika huduma ya kliniki ya biashara inayosimamiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade). Tuzo hizo zimetangazwa juzi jijini...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msioolewa bahati iliyoje hii Mshindi wa 'Tuzo' ya Kimataifa 'amechoka' sasa kuwa 'Single' na anamtafuta Mwenza wake wale Kuku!

    "Panya Magawa yupo 'single' kwa sasa, kwenye vitengo kuna panya maalum kwa ajili ya kuzalishaji na tunawatambulisha kwamba huyu ndiyo mwenzake kama atakubali sawa maana anaweza kukataa na utaona dalili, na kama wamekubaliana utaona dalili za makubaliano yao," Mkufunzi wa Panya Magawa, Pendo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli

    Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda. Watu hawa wanashindana ili kutimiza wajibu. Magufuli hata angeamua kupunga tuu mkono, bado angepita kwa kishindo kutokana na mambo...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa Urais?

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa Urais? -------------- Tume ya Taifa ya Uchaguzi imejiaibisha kwa mara nyingine tena. Kumuita mgombea wa Chadema Tundu Lissu kwenye Kamati ya Maadili kumtaka ajieleze kwanini anasema lazima atashinda uchaguzi huu ni wazi Tume hiyo Ina mshindi...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Picha zingekuwa zinatoa taswira ya mshindi basi Lissu ungekuwa huna chako!

    Hii kampeni ya kuhakikisha hakuna shina litakalochipua naona inafanya kazi sawasawa na mpaka kesho bado kazi inaendelea... --------------------------------------------------------------- Picha ya chini anayemfaham huyu dada naomba amsalimie nampa 👊 yake na 🙏.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Tundu Lissu kwamba kama akishinda asipotangazwa mshindi " Patachimbika", anamtisha nani na anamaanisha nini?

    Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote. Je, ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni? Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa. Maendeleo hayana vyama!
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  8. Dam55

    JamiiForums Tanzania Zanzibar mnatoa dalili gani kila mgombea anapata nyomi la watu sasa mshindi halali atakuwa nani?

    Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa. Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi? Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye...
  9. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege atishiwa kuuawa, Umoja wa Mataifa wamuhakikishia usalama

    Umoja wa Mataifa umeagiza kikosi maalumu kwa ajili ya kuhakikisha usalama kwa mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege baada ya kupokea vitisho kutokana hatua alizochukua kudai haki kwa uhalifu unao tendeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Jitihada za kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia kama...
  10. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania NEC, kwanini hamkumchukulia hatua Babu Tale kujitangaza mshindi kabla ya mapingamizi hayajatolewa uamuzi na Tume?

    NEC nihalali mgombea kujitangaza kapita bila kupingwa kabla hajathibitishwa na tume? Tumeona Clouds FM & tv wakiadhibiwa kwa kutangaza matokeo kabla yakuthibitishwa na tume. Je, ni halali kwa mgombea kujitangaza kashinda kabla hajathibitishwa na tume? Na hata uamuzi wa mapingamizi haujatolewa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa nilichokiona na kukisikia leo katika Misafara ya Gwajima na Mdee Kawe huenda Mshindi akatangazwa angani na Mtangazaji akatokomea Kusikojulikana

    Kauli muhimu niliyosikia kutoka katika Msafara wa Gwajima ni hii nainukuu hapa chini: "Yaani CCM na Mwenyekiti wetu hawajajifunza kutoka kwa Wagombea wa huko nyuma na bado tu wameendelea na Upuuzi wao ule ule wa Kututeulia wale tusiowataka hapa Kawe. Kwakuwa tunajua huyu ana Hela na hata...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Lwaitama atabiri mshindi Uchaguzi Mkuu 2020

    24 Agosti 2020 Katika mahojiano maalum Mwanzuoni wa masuala ya binadamu, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDSM mwalimu Dr. Azavery Lwaitama amesema anaufuatilia michakato uchaguzi wa Oktoba 2020 kwa ukaribu Tukio la uchaguzi wa 2020 ni kuthibitisha wananchi ndiyo watawala halisi wa nchi...
  13. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Mshindi Miss Tanzania 2020?

  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania TSh. 100,000,000 Ni sawa kwa mshindi wa kwanza VPL?

    Uwekezaji unaofanywa na timu za ligi kuu ya Vodacom unafanana na zawadi ya mshindi wa kwanza inayotolewa? Tufanye Nini?
  15. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CCM na Magufuli mmejiandaa kisaikolojia kukabidhi nchi kwa mshindi au mtalazimisha mtolewe kwa "crane?"

    Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania.... Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote.... Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Mlimani City utalipuka kwa shangwe baada ya Lissu kutangazwa mshindi katika kinyang'anyiro cha kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa. Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele...
  17. Wakala

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Kada wa CCM kumtangaza "Mshindi" mgombea wa CHADEMA?

    Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA? Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana? Maendeleo hayana vyama!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta awa mshindi wa goli la mwaka Genk

    Fuatilia link hii kupata taarifa zaidi.
Back
Top Bottom