Tanzania mshindi wa tatu tuzo za biashara duniani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
TANZANIA imekuwa Mshindi wa Tatu kupata Tuzo za Taasisi zinazosimamia Biashara Duniani (WTPO 2020) katika kipengele cha matumizi bora ya ushirikiano katika huduma ya kliniki ya biashara inayosimamiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade).

1602759386714.png

Tuzo hizo zimetangazwa juzi jijini Geneva, Uswisi ambapo Tanzania imewakilishwa na Balozi Maimuna Tarishi, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika ofisi za Umoja wa Mataifa.

Tuzo hizo zinazosimamiwa na kutolewa na Kituo cha Biashara cha Kimataifa Duniani (ITC) ili kutambua michango ya taasisi zinazosimamia sekta ya biashara duniani (TPO) katika kusaidia wafanyabiashara wadogo na kati kuimarisha uzalishaji bora wa bidhaa zao, kuwajengea uwezo wa kufanya biashara na kuweza kuuza bidhaa wanazozalisha nje ya nchi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Theresa Chilambo, kwa mara ya kwanza Tanzania kupitia TanTrade imeweza kushiriki tuzo hizo katika kipengele cha matumizi bora ya ushirikiano kupitia huduma ya Kliniki ya Biashara kwa ushirikiano wa Benki ya Biashara ya Tanzania (NBC).

Huduma hii inalenga kutatua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wadogo, wa kati na wakubwa nchini baada ya serikali kuwa na andiko la Blue Print ili kujenga mazingira rafiki ya ufanyaji biashara na kuweza kufikia uchumi wa viwanda.

Tangu kuanzishwa kwake, huduma hii imepokea changamoto za wafanyabiashara 1,083 na kufanikiwa kutatua changamoto 229 na kero 705 zinashughulikiwa. Huduma imeweza kutolewa kwenye Maonesho 17 yaliyoratibiwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Zanzibar, Pwani, Geita, Singida, Simiyu na Arusha.

Mashindano ya tuzo hizo hutolewa kila baada ya miaka miwili ambapo Tanzania kwa mara ya kwanza amekuwa mshindi wa tatu akitanguliwa na Uswisi na Vietnam katika kipengele cha matumizi bora ya ushirikiano.

Nchi nyingine zilizoshiirki katika kundi hilo ni Colombia, Misri, Uholanzi na Zimbabwe ambazo ziliingia kwenye kwenye mchujo wa mwisho.
 
View attachment 1600996

Chadema lazima wapinge, ngoja wake utaona!
 
Sasa bado kuna watu wasio na uelewa na maendeleo wanasema hakuna kitu hapa Tz.

Mtu kama huyu natamani sana tumpuuze na tusimsikilize kabisa.

Leo hiii tuko uchumi wa kati,tumepata tuzo katika nafasi ya Tatu yote hayo kwa sababu ya JPM na sio mwingine,tupewe nini watanzania
 
SASAHIVI HAWANA CHA KUSEMA

UNAZIKUMBUKA HIZI

1: Tunataka Rais ambaye hata angalia sura ya mtu (John Mnyika 2012 akiwa Kirombero Morogoro).

2: Tunataka Rais mkali asiye cheka cheka na mtu (Peter Msigwa alikuwa akihutubia Mbeya).

3: Tunataka Rais asiye safiri safiri nje ( Freeman Mbowe akiwa kanda ya Ziwa 2013).

4: Nchi hii inahitaji Rais Dikteta na si-vinginevyo (Tundu Lisu akiwa Dar).

5: Tunataka Rais ambaye atakuwa anakusanya kodi (Freeman Mbowe akiwa Tandahimba).

6: Tunataka Rais ambaye atarudisha nidhamu serikalini (Godbless Lema Mbeya).

7: Nchi hii inataka Rais atakaye wafunga jela mafisadi (Heche Tarime).

8: Tunataka Rais atakayelinda Maliasili zetu (Mchungaji Msigwa 2014 Bungeni).
 
WAPINZANI WA TANZANIA WANATAKA NINI TENA?

Miaka ya 2010 kuelekea 2015 vyama vya upinzani vilipata nguvu kubwa sana ya kuungwa mkono mno na wananchi hasa kwa ajenda zao kubwa zilizowavutia sana Watanzania zilizobeba adhima ya kukemea vitendo vya ufisadi, rushwa, uzembe serikalini, matumizi mabaya ya rasilimali za nchi, miundombinu mibovu ya kiuchumi, kiafya na kijamii ndani ya nchi na mengine mengi ambayo vyama vya upinzani viliyapambania usiku na mchana.

Nakumbuka kipindi hicho vyama vya CUF na CHADEMA vilipata wafuasi wengi sana kila walipokuwa wanaenda. Wananchi wa Tanzania walichoka kusikia stori na habari za vitendo hivyo ambavyo vilishamiri serikalini kila mara na miaka hiyo wanasiasa wa vyama vya upinzani akina Wilbroad Slaa, Freeman Mbowe, Prof Ibrahim Lipumba na wengine wengi walikubarika na kupata uungwaji mkono mkubwa sana na wananchi kutokana na sera zao hizo za kupinga rushwa na ufisadi ambao ulikuwa mwiba mkali kwa wananchi na kuathiri sana maendeleo ya Taifa.

Nakumbuka ajenda kuu ya Mbowe na Dkt Slaa wakati wanagombea Urais mwaka 2005 na 2010 ilikuwa kupambana na rushwa na ufisadi serikalini na walizunguka nchi nzima kuwaambia ukweli wananchi na kupata uungwaji mkono mkubwa sana wa wananchi. Kipindi fulani Dkt Slaa alifikia mpaka kutaja majina ya mafisadi aliyoiita List of Shame, ambamo humo ndani alitaja majina ya manguli na vigogo wakuu aliowaita vinara wa ufisadi Tanzania. Upinzani ulipata nguvu kubwa kwa wananchi kwa sera hizo na walikubarika sana.

Kipindi hicho viongozi wa vyama vya upinzani akina Mnyika, Msigwa, Mbowe, Lissu, Lema, Heche, Halima Mdee na wengine wengi wa upinzani walipaza sana sauti kutaka Rais mkali, asiyeangalia sura, ambaye hatacheka na wezi na wala rushwa, wazembe, Rais atakayerudisha nidhamu Serikalini, Rais atakayekomesha misamaha holela ya kodi ambayo ilikuwa ikiigharimu sana Taifa, Rais atakayeweka mkazo mkubwa kwenye kukusanya kodi, Rais atakayelinda rasilimali za nchi kwa nguvu zake zote na mengine mengi. Hizo zilikuwa ndiyo ajenda kuu za upinzani na kwakweli kipindi hicho walipata uungwaji mkono mkubwa sana na Watanzania hasa kutokana na kushamiri kwa vitendo hivyo Serikalini.

Baada ya kuingia madarakani kwa Rais Dkt John Pombe Magufuli mwaka 2015 ni kama alikuwa akiishi kwenye ndoto za viongozi hao wa upinzani, alichukua ajenda na hoja zao zote walizokuwa wanazihubiri na zilizowapa nguvu kubwa sana wapinzani na kuzitekeleza kwa nguvu kubwa huku akinena kwa maneno na kutenda kwa vitendo.

Rais Magufuli akazichukua hoja za upinzani na kuzifanyia kazi kwa vitendo. Hapo ndipo pakaanza vuguvugu la tumbua tumbua ambayo ilisomba msululu mkubwa wa watumishi hewa na wenye vyeti feki zaidi ya elfu 40, akaanzisha mahakama ya mafisadi wala rushwa na wahujumu uchumi, akalala na wazembe na Rais akaweka msimamo mkali kulinda madini na rasilimali zetu zote ikiwemo kujenga ukuta wa zaidi ya Km 25 kule kwenye migodi ya Tanzanite pamoja na kuanzisha sheria kali za kulinda rasilimali zetu za madini kama ile ya permanent act ya 2017, ajenda ya mapato ikawa ndio ya kwanza ambapo suala la kulipa kodi likawa la kwanza, jambo lililopandisha mapato kutoka milioni 850 kwa mwezi mpaka zaidi ya trilioni 1 na nusu.

Hoja zote walizozilalamikia na kuwapa nguvu wapinzani na kupata uungwaji mkono mkubwa kwa wananchi, Rais Magufuli akazifanya za kwanza na kuzitekeleza kwa nguvu na vitendo vyote.

Leo upinzani umekosa nguvu kabisa kwa sababu kila wanalotaka na lililowapa nguvu kubwa huko nyuma, Rais Magufuli amelifanya na kulitekeleza kwa spidi ya ajabu kwa miaka mitano tu. Hii ilithibitika pia na mafuriko ya kihistoria ambayo haikuwahi kutokea toka Tanzania ipate uhuru kwa kushuhudia msululu wa hamahama ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani kwenda CCM kuunga mkono juhudi kubwa ya utekelezaji wa yale waliyoyataka huko nyuma.

Sasa hata hao wapinzani kidogo waliobaki wametepeta hatari. Hawana hoja tena wanayoweza kusimama jukwaani kuieleza wakakubarika tena kwa wananchi na ndio maana wengi wao wameishia kudanganya watu, kupotosha, kulalamika na kutia huruma. Wataongea nini Magufuli hajafanya, watanadi nini wakati hoja zao zote zimetekelezwa. Wao wenyewe wameona, Watanzania wameona na dunia imeona na ndio maana palikuwa na mfululizo wa takwimu ambazo ziliiweka Tanzania uchumi wa kati na kuwa moja ya nchi 10 zenye maendeleo makubwa Afrika kwa kipindi kifupi tu cha Rais John Magufuli. Wapinzani wanapinga nini? Wanataka nini tena?

Maendeleo hayaletwi kwa kupinga maendeleo yanayofanyika.

TUELIMISHANE KWA KUTUMIA AKILI NJEMA NA SIO KUONGEA TUUUU.

KAribuni kwa mawazo
 
Kwahiyo ulitaka wapinzani wakae kimya ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom