mshindi

On May 28, 2016, a three-year-old boy climbed into a gorilla enclosure at the Cincinnati Zoo and Botanical Garden and was grabbed and dragged by Harambe, a 17-year-old western lowland gorilla. Fearing for the boy's life, a zoo worker shot and killed Harambe. The incident was recorded on video and received broad international coverage and commentary, including controversy over the choice to kill Harambe. A number of primatologists and conservationists wrote later that the zoo had no other choice under the circumstances, and that it highlighted the danger of zoo animals near humans and the need for better standards of care.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CCM na Magufuli mmejiandaa kisaikolojia kukabidhi nchi kwa mshindi au mtalazimisha mtolewe kwa "crane?"

    Kuna kila dalili za wazi kabisa kabisa kuwa Oktoba 28, 2020 itaandikwa historia mpya ya taifa la Tanzania.... Naiogopa sana CCM ya Magufuli ambayo inajiapiza kila iitwapo leo kuwa watashinda tu uchaguzi wa mwaka huu bila kujali lolote.... Kwangu mimi, this time naiona hii ni kauli inayotoka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Mlimani City utalipuka kwa shangwe baada ya Lissu kutangazwa mshindi katika kinyang'anyiro cha kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa. Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele...
  3. Wakala

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Kada wa CCM kumtangaza "Mshindi" mgombea wa CHADEMA?

    Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA? Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana? Maendeleo hayana vyama!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta awa mshindi wa goli la mwaka Genk

    Fuatilia link hii kupata taarifa zaidi.
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Burundi: Tume ya Uchaguzi yamtangaza Evariste Ndayishimiye kama mshindi wa urais

    Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita. Jenerali mstaafu ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo...
  7. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Mimi kama mjasiriamali, hili ndio nililojifunza kwa Rais Magufuli: Ni mshindi asiyekubali kushindwa

    Introduction: Mimi sio mwanasiasa, mimi ni mjasiriamali. Shughuli zangu ni Pamoja na media, tourism, lodging, na transport services. Pia nafanya shughuli kati ya nchi ya Tanzania na USA. Ujasiriamali una faida sana, lakini pia una changamoto hasa ukiwa unasimamisha biashara mpya. Napenda...
  8. kalagabaho

    JamiiForums Tanzania Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

    Mengi yamesemwa eti ooh mbona washindi wa BIKO hawaonyeshi mshtuko wanapoambiwa wameshinda mamilioni!!.. Sasa leo ngoma imepata mchezaji baada ya mkazi wa mbagala "kuamua" kuzimia alipoambiwa na kajala pale ITV kuwa ameshinda mil 20! Mkazi huyo alipoulizwa na kajala eti umezimia? Akajibu...
  9. Wambuzi

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Habari wanaJF, Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako. Mfano: Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku Siku uianze...
Back
Top Bottom