Zanzibar 2020 Zanzibar mnatoa dalili gani kila mgombea anapata nyomi la watu sasa mshindi halali atakuwa nani?

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
4,317
2,000
Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa.

Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi?
Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye mkutano wake anaamini kwamba wote watamchagua na huwa mara nyingi yeye ndio huwa wakwanza kujitangaza ushindi kabla ya Tume kutangaza na anaamini kwa idadi ya watu kwenye mikutano yake basi huwa anashinda na kuibiwa Kura.
IMG_20200920_164757.jpg
IMG_20200920_164804.jpg

Kwa hali hii atakae tangazwa na Tume basi tutaamini ndio mshindi halali na si porojo za kuibiwa Kura .

Kujaa kwenu kwenye kila mkutano wakati idadi ya wazanzibar inahesabika itamfanya kila mgombea aamini kuwa anawafuasi wengi hivyo kauli ya Tume ndio itakuwa sahihi na singinevyo.
 
IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
2,444
2,000
Kizazi cha Seif kimepita, sasa kuna damu changa iliyozaliwa ndani ya Muungano, na wanaona matunda ya huo Muungano, wao wanakuja na kutoka bara, wana nunua viwanja na kufungua mabiashara watakavyo.
.
Sasa wakimtafakari Seif hawamwelewi kabisa.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,226
2,000
Kizazi cha Seif kimepita, sasa kuna damu changa iliyozaliwa ndani ya Muungano, na wanaona matunda ya huo Muungano, wao wanakuja na kutoka bara, wana nunua viwanja na kufungua mabiashara watakavyo.
.
Sasa wakimtafakari Seif hawamwelewi kabisa.
Kuna maccm kama Polepole yana DHAMBI. Unafunga MIRIJA ya UCHUMI Nchi nzima. Wananchi wanalia NJA.

Wakisema vyuma vimekaza eti unawafunga badala kufungua mirija ya Uchumi.

Huu ujinga wote unafanywa ili uweze kuwaDHIBITI siku ya UCHAGUZI kwa kuwapa buku mbili wajaze viwanja.
 
Kinjeketile

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
892
1,000
Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa.

Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi?
Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye mkutano wake anaamini kwamba wote watamchagua na huwa mara nyingi yeye ndio huwa wakwanza kujitangaza ushindi kabla ya Tume kutangaza na anaamini kwa idadi ya watu kwenye mikutano yake basi huwa anashinda na kuibiwa Kura.
View attachment 1575313 View attachment 1575314
Kwa hali hii atakae tangazwa na Tume basi tutaamini ndio mshindi halali na si porojo za kuibiwa Kura .

Kujaa kwenu kwenye kila mkutano wakati idadi ya wazanzibar inahesabika itamfanya kila mgombea aamini kuwa anawafuasi wengi hivyo kauli ya Tume ndio itakuwa sahihi na singinevyo.

Wanafunzi wa chekechea,shule za msingi na sekondari tokea lini wakawa wapiga kura? Watumishi wanalazimishwa waende kwenye kampeni za kepenzi cha wana Mkuranga lakini kura watampigia mtetezi wa maslahi ya wazanzibar.

Mpaka umeshamjua mshindi ni nani,endeleeni kubeba watu kwenye malori kama ng'ombe vile.
 
IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
2,444
2,000
Kuna maccm kama Polepole yana DHAMBI. Unafunga MIRIJA ya UCHUMI Nchi nzima. Wananchi wanalia NJA.

Wakisema vyuma vimekaza eti unawafunga badala kufungua mirija ya Uchumi.

Huu ujinga wote unafanywa ili uweze kuwaDHIBITI siku ya UCHAGUZI kwa kuwapa buku mbili wajaze viwanja.
Utaweweseka sana ndugu
 
Larson

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
253
250
Kuna maccm kama Polepole yana DHAMBI. Unafunga MIRIJA ya UCHUMI Nchi nzima. Wananchi wanalia NJA.

Wakisema vyuma vimekaza eti unawafunga badala kufungua mirija ya Uchumi.

Huu ujinga wote unafanywa ili uweze kuwaDHIBITI siku ya UCHAGUZI kwa kuwapa buku mbili wajaze viwanja.
Njaa utalia tu, kama macho yako ya akili hayazioni fursa zilizopo. Magufuli Safi, ccm Safi Sana.
 
MrFroasty

JF-Expert Member
Jun 23, 2009
880
500
Labda nikufahamishe tuu mikunano ya CCM inavyopata idadi ya watu:
- Wafanyakazi
- Vikosi vya SMZ
- Majeshi na Polisi
- Wanaonga mkono CCM, hili gurupu chache lenye kupigania maslahi yake binafsi kwa muono wangu wa haraka.

Aidha kuhusiana na uchaguzi, kama CCM inajiamini inashinda basi iache tuu kura zihesabiwe hadharani LIVE LIVE!Hapo hakutakuwa na ataebisha nani kashinda. Kama sio LIVE basi angalau kuwe na waangalizi binafsi na vyombo vya habari vikifanya matangazo.

Kinaogopwa nini na wazanzibari wataichagua tuu CCM kwasababu vizazi vipya vinaona faida ya muungano ? Labda nikudokeze tuu, naona hufahamu kuchanganua mambo. Hakuna anaesema hakuna faida ya muungano, kinachodiliwa hasara ni nyingi sana zaidi ya hizo faida chache.

Usijadili faida moja, halafu ukasahau hasara mia moja. Utakuja kuchekwa!
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,581
2,000
Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa.

Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi?
Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye mkutano wake anaamini kwamba wote watamchagua na huwa mara nyingi yeye ndio huwa wakwanza kujitangaza ushindi kabla ya Tume kutangaza na anaamini kwa idadi ya watu kwenye mikutano yake basi huwa anashinda na kuibiwa Kura.
View attachment 1575313 View attachment 1575314
Kwa hali hii atakae tangazwa na Tume basi tutaamini ndio mshindi halali na si porojo za kuibiwa Kura .

Kujaa kwenu kwenye kila mkutano wakati idadi ya wazanzibar inahesabika itamfanya kila mgombea aamini kuwa anawafuasi wengi hivyo kauli ya Tume ndio itakuwa sahihi na singinevyo.
2524639_IMG_20200920_164757_LI.jpg
2524639_IMG_20200920_164757_LI.jpg

Mbona hao waliokaa hapo mbele wamekaa mkao wa vijana wa JKT?
 
mtanzania in exile

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
483
500
Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa.

Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi?
Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye mkutano wake anaamini kwamba wote watamchagua na huwa mara nyingi yeye ndio huwa wakwanza kujitangaza ushindi kabla ya Tume kutangaza na anaamini kwa idadi ya watu kwenye mikutano yake basi huwa anashinda na kuibiwa Kura.
View attachment 1575313 View attachment 1575314
Kwa hali hii atakae tangazwa na Tume basi tutaamini ndio mshindi halali na si porojo za kuibiwa Kura .

Kujaa kwenu kwenye kila mkutano wakati idadi ya wazanzibar inahesabika itamfanya kila mgombea aamini kuwa anawafuasi wengi hivyo kauli ya Tume ndio itakuwa sahihi na singinevyo.

Ndugu yangu unaonyesha wewe ni mtu makini, kwa hivyo nitakuomba ufanye uchunguzi mdogo tu ili upate jawabu la suali lako. Angalia kwa makini kwa picha zako mbili za mwanzo tu , angalia watu waliokaa mistari ya mbele ambao wengi wana rangi kijani hadi hii sehemu ambayo imejaa njano, ukishaangali hebu niambie umegundua kitu gani? Halafu angalia sehemu zote nyengine kwenye picha hizo hizo mbili na niambie umeona tafauti gani?

Hiki ndicho nilichokikundua mimi nacho ni kuwa sehemu hiyo yote watu wamekaa kinadhamu zaidi yaani labda kwa lugha ya kigeni utasema wamekaa in order, mistari yao iko sawia sana, mikao yao (posture) ni ya kinidhamu na hata kimaumbile unaona kabisa kuwa hawa ni watu wa kutoka kundi la aina fulani. Na kwa muangazo wa haraka tu mtu yeyete yule anajua tu kuwa hili kundi ni la kuletwa na kuwekwa mbele ili kuonyesha kuwa kuna support kubwa ya CCm. Hili kundi ni la askari na wanajeshi kutoka kambi mbali mbali Tanzania. Anaepinga basi aidha ni kipofu au amezugwa. Haiwezekani kabisa kuwa watu ambao hawajuani wakusanyike mahali na kukaa kitako chini kwa mistari iliyonyooka namna ile. Ona tafauti na wale waliokaa nyuma yao, hao bila ya shaka yeyote ile hawajuani na wamefika mkutanoni kwa hiari yao.

Nadhani nimeweza kukujibu suali lako au angalau kukupa muangaza wa kuweza kugundua kilichotokea kwenye mkutano huu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom