mshahara

  1. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Jamaa hachukui mshahara lakini anaichuna nchi kisawasawa

    https://www.theatlantic.com/ideas/archive/2020/02/why-does-billionaire-charge-secret-service-650-night/606253/?utm_campaign=the-atlantic&utm_medium=social&utm_source=facebook&fbclid=IwAR3y_iyU3RnN2EFxwCwKcyEf9G4_tGJNo1u7cSjbUpfEEJCVZVE3mMdOAbY
  3. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

    Hongera kwa kuongezewa mshahara! Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya? HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid. Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, Katibu Mkuu wa CHADEMA analipwa mshahara? Mbona Dkt. Slaa na Dkt. Mashinji wameondoka wakiwa wadaiwa sugu wa benki?

    Jana nilimsoma pahala humu JF mkuu Douglas Sallu akiwa ametoa tangazo la benki fulani likiwataja kwa majina na picha wadaiwa sugu wa benki hiyo. Miongoni mwa wadaiwa hao yumo Dr. Mashinji. Dr. Slaa alipoondoka Chadema naye alikuwa na deni na nyumba yake kule mbweni almanusura ipigwe mnada sema...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali mmoja huku Idukilo kasema kwa masikitiko bado anatumia mshahara wa enzi za Kikwete

    Ameongea kwa masikitiko sana sana kuwa ameshindwa kutoa rejesho la mkopo niliomkopesha wa shilingi laki 3 kwa sababu mshahara anaoutumia mpaka sasa ni wa wakati wa JK haujapanda na wakati maisha yamekuwa magumu mno. Nikamwambia lkn vipi mbona watoto wenu wanasoma bure, huoni kama mmesaidiwa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mghwira aagiza Mkurugenzi Mwanga asilipwe mshahara kwa kushindwa kujibu swali

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga Zefrin Lubuva asilipwe mshahara wa Februari hadi atakapojirekebisha. Hatua hiyo imekuja baada ya Mghwira kukasirishwa na kitendo cha mkurugenzi huyo kushindwa kujibu maswali aliyomuuliza kwanini...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

    SUMAYE AREJEA RASMI CCM Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) Disemba 4, 2019 alitangaza kuachana na CHADEMA huku akidai alikosea kudhani kuna demokrasia ndani ya chama hicho. Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye alijtoa CCM...
  8. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Magufuli, usipoongeza mshahara 2020 ruhusu uhamisho

    Mheshimiwa Rais Magufuli wa Tanzania, wewe ndiye mwenye mamlaka ya mwisho kwa kila kitu hapa Tanzania. Mara nyingi umekuwa ukiwasihi watumishi wavumilie kuhusu kuongezewa mishahara kama inavyopaswa kuwa kwani sasa hivi unajenga nchi, lakini mheshimiwa unapaswa ukumbuke kuwa maisha hayasimami...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria: Nimepandishwa cheo ila bado mshahara wa zamani

    Heshima kwenu wakuu. Naomba ushauri wa kisheria. Ninafanya kazi kampuni binafsi. hawa wanaoitwa wawekezaji. Mwaka 2018, miezi kama 18 iliyopita nilipandishwa cheo.Cha ajabu nimeendelea kulipwa mshahara uleule wa cheo cha zamani na kila nikimuambiwa muajiri wangu anachukulia poapoa. Vilevile...
  10. matokeotz

    JamiiForums Tanzania What is the average salary of software engineer in Tanzania? Wastani wa Mshahara wa sofware enjinia ni kiasi gani?

    Hello, I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels? Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani. asanteni
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Walimu kama mmepata mshahara tulipeni madeni yetu.

    Walimu kama mshalipwa mtulipe bana hii gvt yenu si inawajali? It pays you on time and a lot of money na mmeongezwa mishahara sijui madaraja nk. So plz lipeni madeni yetu huku mtaani. Wiki hii ikiisha naanza kuwafukuza kwenye nyumba yangu.
  12. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri mshahara wa Januari tukutane hapa

    January ishaanza kufika ukingoni na saa tunasubiri ujira ambao ni haki yetu ya msingi. Najua kuna simbanking na internet banking lakini utamaduni wetu wa kupeana updates tuuendeleze. Ukiuona mshahara tuambie mithili ya Waislam wanavyojuzana pindi mwezi unapoandama ili wale Eid
  13. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

    Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani? Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma. Msaada tafadhali ====
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matumizi sahihi ya mshahara wako

    Mshahara ni malipo/ujira anaopokea mtu baada ya kutekeleza majukumu yako katika kipindi fulani kwa mujibu wa makubaliano. Mshahara unaweza kuwa mkubwa au mdogo kwa kulinganisha kiwango cha uzalishaji,gharama za maisha na mtazamo binafsi. Kuna mtu au mazingira ambapo mshahara wa TZS ni 170,000...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu

    Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta kazi ya kusomesha au ya uhasibu. Elimu yangu ni Diploma, mshahara ni maelewano chochote kitakachokuwepo basi tukikubaliana naweaz kuungana kufanya kazi. Nipo Zanzibar 0772 333 435.
  16. kidadari

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kampuni inayokopesha viwanja na kulipa kwa kukatwa kwenye mshahara

    Nahitaji kiwanja maeneo ya KIBAHA au CHANIKA ila sina hela cash hivyo kama kuna kampuni inayokopesha viwanja na kulipa kidogo kidogo kwa kukatwa kwenye mshahara wangu nipo tayari. -Kiwanja kiwe na sqm 600 au zaidi. -Bei isizidi milioni 3. -Muda wa makato ni miaka mingapi? -viwe vimepimwa itakua...
  17. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Tabia kumi za mshahara zinazokufanya uendelee kuwa masikini

    1. Mshahara haujawahi kutosha. 2. Ongezeko la mshahara huwa haliendani na ukuaji wa gharama za maisha. 3. Mshahara huwa unaleta uteja, unapozoea kupokea kila mwezi unakuwa kama mlevi. 4. Mishahara huwa haikutani. 5. Mshahara hutengeneza tabia ya ukopaji sugu ambayo inakuwa mzigo zaidi. 6...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi mmepata mshahara wa mwezi Oktoba na mmelipwa malimbikizo yenu kama ilivyodaiwa?

    Kwa kumbukumbu zangu, kuna uzi uliletwa hapa JF katika hili Jukwaa la Siasa ukituhabarisha kuwa mwezi huu wa kumi serikali italipa madai ya watumishi wa umma. Sasa kwakuwa tarehe za mishahara ndio hizi, watumishi tunaomba mtujuze kama kweli mmelipwa kama tulivyoambiwa maana siku hizi siasa...
  19. kigogo1ivi

    JamiiForums Tanzania iraisers ni kina nani? Sio matapeli kweli?

    Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu. Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa iraisers ni lazima utoe kiingilio Tsh 40000 baada ya hapo kila unapoweka pesa utalipwa 30% ya dau...
  20. pinno

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

    Wakuu! Wasalaam! Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema, Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki...
Back
Top Bottom