Ndugu wadau, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HELBS (board)?

Fya-fyafya

Member
May 2, 2019
43
125
Habari ndugu,

Najikita moja kwa moja kwenye swali, Mshahara wa 3.25M Take home ni Shilingi ngapi including HESLB (board)?
 
Ingia TRA PAYE Calculator for Tanzania Mainland kupata PAYE ni kiasi gani. Hakikisha umetoa % ya NSSF/PSSSF kabla ya kuingia kwa calculator.

Then utaondoa 15% Loan Board na makato mengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom